lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,154
- 33,367
Kwa kifupi Korea ya kaskazini imeshindikana,haiwezekani Tena,imeingia kwenye klabu ya wababe.
Leo tarehe 15 Januari 2021 imeonesha kombora jipya linalorushwa kutoka kwenye nyambizi.
Korea imetamba kuwa hilo Ni kombora lenye nguvu Sana hapa Duniani.
Tangu Korea ilipogawanyika na kuwa Korea mbili,ya kaskazini na ya kusini Mataifa ya Mgharibi yakiongozwa na USA yaliipiga Vita KK vya kuidhoofisha kijeshi na kiuchumi.
Maraisi wa USA toka kipindi hicho waliamua kuivamia kijeshi lakini walishindwa.
Kwa ufahamu wangu maraisi wa USA waliotamani Sana bila mafanikio kuipiga KK Ni Ronlda Ragan,George Bush Mkubwa na Mdogo,Bill Clinton,Barack Obama na aliemaliza kwa kutawala muhula mmoja Donald Trump.
Trump alijaribu kupeleka meli kubwakubwa za kubeba madege na Makombora hatari kabisa lakini ziliishia kugeuza na kurudi kambini huku wakiiacha KK ikitamba kwa kuvurumisha Makombora juu ya Japan.
"All options are on the table"
Haya yalikua maneno ya Trump wakati akiahidi kuitia adabu KK.
Nayo KK ikajibu
"Hebu tuone Kama ataweza maana hata waliotangulia walijaribu lakini hawakuweza"
Leo 15-1-2021 KK Haina wa kumzuia ikitaka kufanya chochote hapa katika sayari hii inayoitwa Dunia.
Imeoneaha silaha yake mpya.
Tumsubiri Joe Biden
North Korea parades new ballistic missiles
State news agency KCNA described it as: "The world's most powerful weapon, submarine-launch ballistic missiles."
It said the missiles "powerfully demonstrate the might of the revolutionary armed forces."
North Korea has test-fired several SLBMs from underwater. Analysts say it is seeking to develop an operational submarine to carry the missiles.