Watu na bahati zao

S V Surovikin

JF-Expert Member
Aug 8, 2015
13,607
32,698
Jamaa mmoja apewa fursa mbili kukumbuka nywila (password) kufungua disk yenye sarafu mtandaoni ya bitcoin yenye thamani ya dola za Marekani milioni 240.

Baada ya majaribio nane ya kutatanisha, sasa yamebaki majaribio mawili ya kukumbuka password kwenye disk ambayo ndani yake kuna sarafumtandao zenye thamani ya dola za kimarekani milioni 240.

Hali hiyo imemkuta mtengeneza programu wa Ujerumani Stefan Thomas ambaye sasa anaishi mjini San Francisco, ambaye miaka 10 iliyopita alilipwa bitcoin 7,002 kama malipo ya kutengeneza video akielezea jinsi sarafumtandao zinavyofanya kazi.

Toka alipolipwa hadi sasa thamani ya Bitcoin imepanda na moja kuwa na thamani ya dola za Marekani 34,000.

Aliyekuwa mtaalamu wa usalama wa Facebook Alex Stamos amejitolea kumsaidia kwa bahshisi ya asilimia 10.

FB_IMG_16108088508668223.jpg
 
Khaaaa, sasa mkuu mbona habari imeanza vzr inafika kati haieleweki?

Anyway labda Ni ule uji niliokunywa asubuhi.
Soma tena nimeedit mkuu. Hii habari nimecopy toka kwenye moja ya chombo cha habari cha mabeberu bila kuiedit ndio maana mwanzo hujaelewa.
 
Yani uwa naumia kwanini sikununua hizi coin maana zilianza coin moja inauzwa 0.8$ yani hata ningenunua za 10,000 leo ningekuwa naongelea milion kama 500 za ktz
Mbaya zaidi wakati huu wenye uwezo wa kununua coin moja ni wa kuhesabu kwa hapa Tanzania.
 
Yani uwa naumia kwanini sikununua hizi coin maana zilianza coin moja inauzwa 0.8$ yani hata ningenunua za 10,000 leo ningekuwa naongelea milion kama 500 za ktz
Itaongeza thamani yake zaidi ya mara mbili within 2 years ilo naamini. Ni sawa na kujutia kwa nini hukununua hisa za TSL wakati inaingia sokoni mwaka jana
 
Itaongeza thamani yake zaidi ya mara mbili within 2 years ilo naamini. Ni sawa na kujutia kwa nini hukununua hisa za TSL wakati inaingia sokoni mwaka jana
Sasa tufanyeje mkuu kama kununua bitcoin 1 kwa sasa ni zaidi ya millioni 20? 😀
Tuwaachie wenye pesa ndefu waendelee kupiga pesa!
 
Mimi nimekwishanunua satoshi za milioni moja la lak 6 kuanzia december mpaka leo. Kuna account yangu ya paypalikipokea ela zote nazinunulia coins kule localcoin. Ngoja nione hii fursa.
Mkuu hongera sanap
 
Mimi nimekwishanunua satoshi za milioni moja la lak 6 kuanzia december mpaka leo. Kuna account yangu ya paypalikipokea ela zote nazinunulia coins kule localcoin. Ngoja nione hii fursa.
Utapigwa hadi utajuta kuzaliwa
 
Back
Top Bottom