mpya

  1. D

    GE2020 Tundu Lissu atikisa ndani ya Wilaya mpya ya Nyehunge

    Wapo wanaodai kuwa Tundu Lissu anafanya mkutano mjini tu. Hapa ni wilaya mpya ya Nyehunge jimbo la Buchosa na Lissu anatikisa kila kona. Tukutane baadaye Geita mjini
  2. C

    GE2020 Kaliua, Tabora: Dkt. Magufuli aeleza sababu za Kapuya "kukatwa" na Kamati kuu ya CCM, asema amechoka amuachie kijana. Kaliua inahitaji spidi mpya

    Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt, John Magufuli ameweka bayana sababu za aliyewahi kuwa Waziri wa Elimu, Juma Kapuya kukatwa na Kamati Kuu ya CCM ingawa aliongoza kwenye kura za maoni za ndani ya chama na badala yake akapewa nafasi ndugu Aloyce Kwezi. "Kwenye mchakato...
  3. Kukosekana kwa Sura mpya za Wagombea ubunge CHADEMA kunaashiria kutokubalika

    Mwaka 2010 na 2015 Chadema ilifanikiwa kupata wagombea ubunge wengi ambao ni ingizo jipya. Mwaka huu sijasikia kamanda mpya anayetajwatajwa kujiunga na Chadema na kugombea ubunge. Kwa upande wa CCM wapo wagombea wengi wenye influence na ni damu mpya itakayoleta chachu ya majadiliano bungeni.
  4. GE2020 Yaliyojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu Mkoani Katavi na Kigoma, azungumzia Katiba Mpya

    Wakuu nawasalimu kwa salamu ya Ukombozi , leo tena Mh Lissu anaendelea kuwatembelea Watanzania wenzake kwa lengo la kuwaomba ridhaa ya kupewa kura ili awe Rais wa Tanzania , mikutano ya leo itapigwa Mkoani Katavi na Kigoma . Endelea kubaki hapa hapa JF kwa habari za uhakika. ---- Napenda...
  5. CCM mpya imetugawa sana Watanzania

    Ninapozungumzia CCM mpya ninamaanisha hii CCM iliyoibuka kuanzia 2015, kuna wanaoiita CCM ya Magufuli. Matatizo yalianzia kwenye kusimamisha shughuli za ziasa kwa vyama vya upinzani baada ya uchaguzi. Kazi ya vyama vya upinzani zaidi ya kuikosoa serikali ni kutoa elimu ya uraia kwa wananchi na...
  6. Wimbo mpya: Alicia Keys Ft Diamond Platnumz

    Huu wimbo ni mzuri na nimeusikiliza japo Diamond Platnumz kaimba sehemu ndogo sana peke yake, ila sehemu kubwa kafanya Back-Vocals. Mwanzo mzuri kwake na natumai atatumia nafasi hii kujinoa vizuri maana Alicia Keys na mume wake ni wataalamu na walimu wakubwa wa muziki. Ndugu Diamond Platnumz...
  7. Kabila Joseph ulingoni tena kwenye siasa za uwazi za Congo DR.Hii imekaaje kwa mustakabali wa taifa hili chini ya utawala mpya wa Rais Tshekedi?

    Wakuu salaam. Nasubiri kwa hamu kusikia wakubwa zangu mtu chake zitto junior mng'ato Na wengine wadau wa siasa za maziwa makuu mngesema neno kuhusu kurejea kwa Kabila Joseph kwenye seneti ya Congo hasa ukizangia tetesi kwamba na uhusiano wake na rais Tshekesi kwa sasa hauko imara sanA. Na kama...
  8. K

    GE2020 Mataga nielewesheni nini maana ya Tanzania Mpya, Zanzibar Mpya?

    Wakuu amani iwe kwenu, Bila shaka wengi wetu wameona kauli mbiu hizi kwenye mabango ya wagombea mbali mbali hasa wa chama cha mapinduzi (CCM). Mgombea wa Urais Zanzibar kwenye bango lake kuna maneno "Zanzibar mpya", Mgombea wa Ubunge kigamboni kuna neno "Kigamboni Mpya" kwingine kuna Tanzania...
  9. H

    Diamond Platnumz ameshirikishwa kwenye album mpya ya Alicia Keys

    Habari nzuri, Msanii wetu wa Tanzania Diamond Platnumz atakuwepo kwenye moja ya collabo ilipo kwenye album mpya ya Alicia Keys. Alicia Keys amethibitisha hivyo kwa kuonesha list ya nyimbo zitazokuwepo kwenye album yake hiyo mpya na moja Kati ya nyimbo ipo aliyomshirikisha Diamond. Tumekuwa...
  10. GE2020 Ilani ya Uchaguzi ya NCCR Mageuzi: Vipaumbele ni Katiba Mpya, Elimu, Muafaka wa Kitaifa, Afya na Ustawi wa Jamii, Mazingira na Makazi

    UTEKELEZAJI WA HII ILANI NA SIFA ZA KIONGOZI Serikali itakayoongozwa na NCCR-Mageuzi itaweka mkazo katika kuimarisha mifumo ya kiutendaji ya serikali kuu na serikali za mitaa ili ufuatiliaji wa utekelezaji wa Ilani uwe wenye tija kwa umma wa watanzania. Serikali itahakikisha usimamizi wa miradi...
  11. Ajira Mpya za Walimu zinaweza kuwaumiza zaidi wasio na kazi kabisa mtaani

    Sio muda mrefu Serikali imetangaza ajira 13000 kwa walimu wa sekondari na shule za Msingi. Jambo hili ni tumaini jipya kwa walimu hasa wale ambao walikuwa hawana 'michongo' tangu wamehitimu elimu zao Nawaza wale ambao wamejichimbia kijijini jinsi watakavyopata 'Bundle cost' (The newest form of...
  12. Dkt. Hussein Mwinyi ni Mandela mpya wa Visiwa vya Zanzibar

    DK. HUSSEIN MWINYI NI MANDELA MPYA WA VISIWA VYA ZANZIBAR Deogratias Mutungi Siasa imara ni zao la ustawi wa amani na maendeleo ya watu, Siasa ni chemichemi na kiungo cha utaifa wa mtu na mtu, Siasa mbovu ni chanzo cha matatizo na mifarakano inayo hatarisha utu na uhai wa binadamu aidha bila...
  13. M

    H. Polepole, Profesa Kabudi na Bashiru Ally juu ya Katiba Mpya na Muungano

    Profesa Kabudi alisema wazi, kuwa kwenye ishu ya muungano, wazanzibar mambo yao yako mezani, yako well documented isipokuwa yale ya Tanganyika. Akasema anaogopa siku watanganyika watakaponyanyuka na kudai mambo yao Humphrey Polepole akasema, Katiba ya Sasa inampa Rais wa sasa madaraka makubwa...
  14. Tanzania yaanza kuiga Kenya kisiasa - mwamko mpya Tanzania

    Watanzania waandamana
  15. GE2020 Kuhamisha Magoli ndiyo mbinu mpya ya CCM

    Anaandika Lord Denning wa JF, Leo nimecheka sana! Kuna clip watu wa CCM wameitengeneza na wanaisambaza ikimuonesha Tundu Lissu akiwa kwenye kampeni akiongelea suala la Bunge na wabunge hawajui bei wala mikataba ya ndege! Kwenye clip hii wana CCM wameunganisha na scene ya Halima Mdee akijadili...
  16. J

    Mahusiano ya Kimataifa: Rais Magufuli amefungua balozi mpya katika nchi 8 ikiwemo Israel, Mungu ambariki sana!

    Kwa ufupi kabisa kwa wale CHADEMA pamoja na Tundu Lisu mnaodai Rais Magufuli amefifisha mahusiano na dunia nataka niwakumbushe tu Rais Magufuli amefungua balozi katika nchi nane duniani ikiwemo Israel. Tunapokosoa jambo tuwe tunaweka na uhalisia wa ukosoaji siyo kukurupuka. Hata Ethiopia...
  17. CEO mpya Simba utawezaje kuitumikia klabu na kampuni ya TBL kwa wakati mmoja?

    Moja ya Habari iliyotamba kwenye duru la michezo na kwenye mitandao ya kijamii nchini mwishoni mwa wiki ni klabu ya soka ya Simba kumpata Afisa Mtendaji Mkuu mpya mwanamke , Barbara Gonzalez. Barbara Gonzalez, mbali na wadhifa huu mpya katika klabu hii kongwe ya soka nchini ni mfanyakazi wa...
  18. GE2020 Baada ya Vyombo vya Habari kuminywa kutoa habari za CHADEMA, wagombea Ubunge wabuni mbinu mpya ili kuwafikia wapiga kura

    Huyu ni Mgombea Ubunge wa jimbo la Makambako kwa tiketi ya CHADEMA akitumia njia mpya ya kujitangaza . Mytake : Tunaomba radhi kwa usumbufu wa nyuzi zetu nyingi za kampeni , hii ni kwa vile muda wa kampeni ni mfupi na tunazihitaji sana kura zenu
  19. Tetesi: Jezi mpya za Yanga hazitatolewa mpaka stock ya jezi za zamani iuzwe yote

    Habari wadau Inasemekana gsm wamegoma kutoa jezi mpya mpaka za zamani ziishe..
  20. Kocha mpya wa Yanga ni Zlatko Krmpotic

    RASMI: Kocha mpya wa klabu ya Yanga ni Zlatko Krmpotic, raia wa Serbia ambaye ameingia makubaliano ya mkataba wa miaka miwili kuitumikia klabu hiyo. Kocha huyo anatarajiwa kuwasili kesho jijini Dar es Salaam tayari kwa kushiriki kilele cha #WikiYaMwananchi
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…