Bandaling: Maneno yapi ya Kiswahili umekutana nayo yakawa Msamiati Mpya?

Mlenge

R I P
Oct 31, 2006
2,125
2,291
Pana siku nilikutana na neno "Bandaling". Sikuwa nimewahi kulisikia. Mafundi paa walikuwa wakilitaja.

Nini asili ya jina hilo? Neno lipi la Kiswahili ushawahi kukutana nalo ukabaki unashangaa?
 
haha...
neno ni "brandering" ni kingereza hilo boss wangu.
sidhani kama lina Kiswahili fasaha
 
Back
Top Bottom