Nani ungependa awe Mwanasheria Mkuu mpya wa Serikali ya Rais Mpya ?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,650
218,105
Kwa miaka yote tumeona Mwanasheria Mkuu akiwa ndio ofisa wa Kwanza kuteuliwa , na baadaye ndiyo baraza la mawaziri hufuatia , sijafahamu sheria za nchi zinataka AG ateuliwe baada ya muda gani tangu kuapishwa kwa Rais mpya .

Sasa kwa vile bado hajateuliwa basi ni vema wadau mkapata wasaa wa kupendekeza majina mawili matatu ya wanasheria nguli mnaodhani wanaweza kufaa kupewa nafasi hiyo ili pamoja na mambo mengine wasaidie kufutilia mbali sheria kandamizi zilizopitishwa katika awamu iliyopita .

Natanguliza Shukrani
 
Aliambiwa na Magu atulie atapewa kazi ya kufanya, kwa ujinga wake na kutokuona mbali akakimbia nchi; mtu mjinga namna hiyo atateuliwa na nani?
Kwa ufahamu wako kiduchu wewe ungeweza kuishi tanznaia iliyokua chini ya magufuli na upinzani mkubwa vile? f ikiri tena usiandike tu.
 
Back
Top Bottom