Naomba kujuzwa ninapoweza kupata pooltable mpya

Naomba kujuzwa ninapoweza kupata pooltable mpya

Samson Ngomboli

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2019
Posts
1,598
Reaction score
2,714
Wadau kama kichwa cha habari kinavyojieleza naomba kujua wanapouza pooltable mpya pamoja na bei yake, wauzaji wakiwa nyanda za juu kusini itapendeza zaidi.

Nb:kama huna cha kunijuza naomba upite kimya.
 
Hapa Arusha kuna sehemu wanayachonga. Unataka mangap mweshimiwa?
 
Back
Top Bottom