Wimbo wangu mpya kwa ajili ya John Pombe Magufuli unapatikana YouTube kwenye channel yangu HAITHAM KIM

Naona ukifika mbali...management ikisimama na wewe vizuri na kujua fitna za mziki wa aina yako utatoboa.
 
Wimbo wako mkali Haitham ni ule ulioimba na Wema Sepetu na wa kabla ya hapo kichupa chake mpo kwenye swimming nimesahau title ya hizi nyimbo.

Aisee hayo mangoma uliimba sasa hivi umekongoroka mwili hadi muziki wako lea tu wanao na mumeo.
 
Hayo mangoma sio poa kabisa alitisha Sana hiyo nyingine ambayo hajafanya na wema inaitwa "fulani"
 
Hayo mangoma sio poa kabisa alitisha Sana hiyo nyingine ambayo hajafanya na wema inaitwa "fulani"
Kalijitahidi sana, sasa hivi kameshajikwaa na nauhakika kanajua kalipokosea.

Tatizo ni kosa alilolifanya haliwezi kurekebishika, nilimuona kwenye interview Clouds Tv analalamika tu nikasema kwa sauti ina maana huyu anataka nini wakati nafasi aliipata na akaiacha iende
 
Back
Top Bottom