Nimepata mchepuko mwenye umri wa miaka 21; nafanyaje nisiendelee nao?

Nduka Original

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
1,012
816
Nina umri wa miaka 48 nimeoa na nina watoto wanne.

Kuna kabinti nilikakuta mahali nikakatania kama nakataka ila ni kazuri. Cha jabu last weekend kakanitafuta tukakaa sehemu na kupiga story. Baada ya hapo kenyewe ndio kanakuja speed kako tayari kuhama kwao eti mimi nikapangishie.

Kwa kweli mimi naona ni kadogo hata kwa mtoto wangu ila kenyewe kanapambana kuniita bae sijui na week kanataka tutoke.

Najiuliza nakaachaje kabla hatujaendelea mbali zaidi? Au nikale halafu nisepe? Au nikaambie tu ukweli siwezi kuwa na wewe!!!
 
Mkuu mtafune tuu ila angalia usije kufa, tukapata stori ya kupendezesha jamvi.... mtafune tuu mkuu, Tena ikiwezekana mpangie chumba kabisa ili umle ukiwa huru, ila pia angalia YALE UFANYAYO, MTOTO WAKO PIA ATAFANYIWA HIVYO HIVYO...
 
Ungejitahidi ujue kana lengo gani pia...isije kuwa kameona wewe ni fursa...kuwa makini na kuzaa na vitoto vidogo uzeeni....ni aibu kwako na familia
 
Vitoto vya siku hizi, vinataka Ma sugar Daddy kama mtaji wa kuendesha Maisha yao! Wewe ukishakapangia chumba, atatafutwa sugar Daddy mwingine wa kukanunulia Gari!!
 
Back
Top Bottom