mpenzi

  1. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mpenzi

    Habarin wanaJamiiForums, hope mpo poa. Twende moja kwa moja on topic. Mimi ni mwanaume wa miaka 25 ninaishi Moshi Bar jijini Dar-ea-Salaam. Nimemaliza Chuo mwaka 2014, nimesoma IT, kwa sasa ninafanya kazi Posta kwenye kampuni ambayo jina nimelihifadhi. Mpenzi ninaye mtaka awe na sifa...
  2. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Aliyekiri kumuua mpenzi wake aachiwa huru

    Mahakama ya Rufaa imemuachia huru Amani Justine, aliyekiri kumuua mpenzi wake Gaudencia Mabuli kwa kumchoma kisu baada ya kumtuhumu usaliti Kwa siku tatu Gaudencia aliripotiwa kupotea na mwili wake uliokotwa barabarani, maeneo ya Vianzi Mei 23, 2012, akiwa na majeraha kwenye bega lake la...
  3. Money Penny

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushawahi kufiwa na mpenzi wako wakati mnafanya Mapenzi?

    Nipo namsikiliza Mtu anasema kuwa wakati mnafanya Mapenzi, dyu dyu ukiingia kwenye sehemu za siri za mwanamke, na mambo yakakolea, wakati mwingine dyu dyu unazama inagoma kutoka kwahiyo ule mizunguko wa damu na presha na nini Mtu anaweza akafa Sa nimelala hapa, najaribu kupata picha ivi wakati...
  4. Clever505

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa kitendo hiki haitoshi kuamini kwamba mpenzi wangu ananisaliti?

    Habari zenu wakuu! Poleni na msiba wa kitaifa uliopo. Naombeni mawazo yenu kwenye hiki kilichotokea kwangu, ni kwamba nilikuwa nachati na demu wangu night kali sana na tukawa tunanye**Geshana hatari, si mnajua tena mambo yetu vijana. Sasa akanitumia picha ya kuleta hamasa zaidi ya kusex kisha...
  5. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu Gogina popote ulipo silali kwaajili yako

    Najua unatembelea kwenye hili jukwaa na kukutana huu uzi wangu. Nijibu japo kidogo basi Nimemis busu lako. Nimemis ulivyo kuwa unaninyonya mate. Huku niliko sisahau ile siku tulipo fungulia wimbo wa celine dayoni tukaanza kunyonyana mate huku wimbo unapiga taratibu kwa mbali. Sitosahau Ile siku...
  6. ubnt

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mpenzi ambaye atakuwa mke wangu wa ndoa soon

    Habarini ndugu zangu, nimeingia kwenye jukwaa ili kutafuta mpenzi wa kike ambaye ataenda kuwa mke wangu ivi karibuni: SIFA ZANGU: Urefu: Ni mrefu wa wastani Umbo: sio mnene wala sio mwembamba sana. Rangi: Maji ya kunde Dini: Christian (RC) Elimu: Degree 1 Status: Single na sijawahi kuwa na mke...
  7. eddy king

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Polisi wanamshikilia Suzy Keneth(19) kwa mauaji ya Mwanafunzi James Magesa (21)

    Mwanafunzi wa mwaka wa Kwanza chuo kikuu Cha sayansi na technologia Mbeya (MUST) ndg Linus Magesa (21) ameuwa kwa kuchomwa na kitu chenye ncha Kali kifuani na mtu anayesadikika kua ni mpenzi wake anayetambulika kwa jina la Suzy (19). Chanzo kikisadika kua Ni wivu wa mapenzi, Mtuhumiwa anaendelea...
  8. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Muda wa kumteka mpenzi wako kimahaba ni usiku kati ya saa 4 na saa 8 usiku

    Hii ni kwa wale wanaoangaika na kutafuta wapenzi au kutafuta namna ya kuwashawishi watu wenye wapenzi tayari,muda mzuri wakuchanga karata zako nikuanzia SAA 4 hadi SAA 8 usiku wa manane ukiweza kuwa na salio lakupiga kuanzia mida hiyo kwa wiki mbili mfululizo unaweza kuwa na nafasi kubwa...
  9. kikoozi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mpenzi wa kike ambaye kama itapendeza tutafunga ndoa

    Hello, I hope you are all fine,poleni na Majukumu ya hapa na pale back to the point nahitaji rafiki wa kike ambaye ikipendeza tutaingia hatua zingine kama mahusiano na hata ndoa. Huu ni wasifu wangu: Jinsia- am a Boy,miaka 30 Kimo- mrefu, rangi maji ya kunde. Umbo-mwili wa kawaida si mnene...
  10. luangalila

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpenzi ndani ya social network

    Ni sahihi kuanzisha mahusiano na mtu unayekutana naye social network ? Hili swali nafahamu sio ngeni masikion mwenu embu na leo tulighamue (review)
  11. D

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Shilole na Uchebe Watatakiwa kuripoti polisi, wana kesi ya kujibu " Shambulio la kudhuru mwili"

    Kuna watu watauliza; Je; mlalamikaji Ni Nani? Kesi inayohusu "Public interest" Inayoonesha Kuna uharifu ambao unaweza kutafsiriwa tofauti na jamii lazima Jeshi la polisi lifanye kazi yake! Maelezo ya Shilole Ni kielelezo namba moja Cha shambulio la kudhuru mwili ambayo yanaashilia uvunjifu wa...
  12. kikoozi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mrejesho: Je, kwa ili nililoanza kulifanya kwa huyu mpenzi wangu linaweza kuleta athari kwangu?

    Habarini za siku ndugu zangu, poleni na majukumu ya hapa na pale, Baada ya kuleta uzi kuusiana na maswahiba ya mpenzi wangu kubadilika ghafla, na kwa upande wangu kujaribu kujua kinachomtatiza ila yeye ananiambia yupo sawa tu wakati kihualisia namuona amebadilika kabisa kabisa. Baada ya kusoma...
  13. Equation x

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpenzi wako huwa anakupokeaje?

    Unapotoka kwenye mihangaiko yako, labda kazini au katika kusaka shughuli mbalimbali za kujipatia kipato, na kurejea nyumbani labda jioni au usiku. Je, mpenzi wako huwa anakupokeaje, na huduma ipi huwa anakupatia kwanza?
  14. SteveMollel

    JamiiForums Tanzania Wewe ni mpenzi wa Movies? (Session 05). Tupia jicho hapa..

    Niaje, wakuu? Kama kawaida tunakutana katika mfululizo wetu wa tano sasa wa kugusiana filamu kuhamasishana kuzitazama na kuzielewa. Bila maneno mingi, na tuanze. Karibu. IDENTITY ya 2003. Kuna watu wanaamini hamna kitu kinachotokea duniani kwa bahati mbaya. Kila kitu kimepangwa na kipo kwa...
  15. kikoozi

    JamiiForums Tanzania Je, kwa ili nililoanza kulifanya kwa huyu mpenzi wangu linaweza kuleta athari kwangu?

    Habarini ndugu zangu, poleni na majukumua ya hapa na pale, niende moja kwa moja kwenye mada ya andiko hili nipo na mpenzi wangu, ni mwaka wa 4 sasa na nimepanga kama mungu akijaalia nimuoe mwakani mwishoni, uyu binti nampenda sana sana na tumepitia ups and down za hapa na pale ila kwa ili...
  16. Kasinja jr

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mama yake mpenzi wangu hataki Mgeni kwake baada ya kusikia Mshenga anaenda kupeleka Ujumbe wangu

    Nina mpenzi wangu ambaye tumependana kwa miezi 10 sasa, kaja kwetu Msoma kututembelea kutoka kwao Arusha ikiwa ni njia ya kujuana kiundani alikuja akakaa week 1 hotelini Baada ya kumshawishi aache kazi ili nimuoe, hii ni kutokana na kazi alokuwa anafanya ya counter kwenye Lounge fulani Dar es...
  17. Jakamoyo msoga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sijui kwanini huwa najihisi vibaya mpenzi wangu asipopokea simu usiku

    Kuna siku nilimpigia mpenzi wangu simu, akasema subiri nikifika Nyumbani nitakupigia nimemsindikiza dada kazini kwake hapa Mlimani City mara moja, alipokea kana kwamba ana wasiwasi, na ukizingatia nikachukulia labda kwakuwa Dada yake hapendi niwe na mdogo wake ndo sababu, Baadaye hakunitafuta...
  18. kibovu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwalimu wa shule ya msingi anusurika kuachwa na mpenzi wake

    Igweeeeeeee Kuna dada mmoja ni rafiki yangu nimesoma nae masomoni china alikuwa na boy friend wake mwalimu wa shule yamsingi. Stori iko hivi wadau mwalimu wa shule ya msingi amezaliwa mkoani tabora akiwa mtoto wa kwanza katika familia yao ya watoto wanne,Marehemu baba yake ni mstaafu wa katka...
  19. Mtotofaita

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nilinusurika kufumaniwa ukweni nikimla mpenzi wangu

    Nakumbuka ilikuwa siku ya Boxing Day miaka ya nyuma kidogo enzi hizo nikiwa sekondari kidato cha nne nilikuwa na mpenzi jirani yaani hatua chache kutoka nyumbani kwetu. Kutokana na kutamani kumgegeda kwa kipindi kirefu na nilikuwa nikikosa nafasi kama unavyo fahamu tena kishule shule pesa tu ya...
  20. Superbug

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpenzi wako akikunyima style uitakayo unafanyaje?

    Imagine uko na mpenzi wako kwa miaka kadhaa lakini kila siku anakupa missionary umeomba zaidi ya Mara elfu tano akupe mbuzi kagoma amekataa katakata nawewe missionary umeikinahi Je, unafanyaje?
Back
Top Bottom