Sayansi ya kumpata mpenzi unayempenda

Equation x

JF-Expert Member
Sep 3, 2017
29,420
40,405
Tafuta namba ya huyo unayetaka awe mpenzi wako, kwa kuulizia marafiki zake n.k

Andika meseji nzuri au tamu ya kuhusu kumlalamikia mpenzi wako ambaye ni 'fake', ili itakapomfikia huyo unayetaka awe mpenzi wako ajue meseji si ya kwake bali imeenda kimakosa. Tuma meseji nyingi za kuvutia za kuonyesha huyo mpenzi wako 'fake' anavyotesa moyo wako.

Iwapo huyo mpenzi mtarajiwa akijibu meseji kukuambia umekosea namba, we sema hujakosea namba na jitahidi kuthibitisha hiyo ni namba ya huyo uliyetaka kumtumia. Baada ya hapo, ni uwanja wako wewe wa kumuweka karibu na kuweka mazingira ya kufahamiana zaidi; pamoja na kulana kimasihara.
 
mkuu hiyo njia ni nzuri japo inahitaji uwe muigizaji haswa.

kuna manzi nilimwelewaga huko nyuma alikua wa geti kali, kuonana nae ilikua ngum nikatafta namba yake then nikamuandikia ujumbe...

"happy kumbuka kiapo ulichoapa mbele zangu kua hutowahi nifanyia mshirika bt umekivunja kiapo bila huruma hata ukautia majeraha moyo wangu, nimeshafuta no. zako bt kwa kua zipo kichwani acha nikujuze kua ukisikia nimetoweka ujue ni ajili yako"

alipga sim akanambia umekosea namba then akanipa pole kama zote then nikajifanya kama nalia, akasema dah! nashndwa hata nikusaidieje, kwani upo wapi nikamweleza.... kilichofuata mpenz mtazamaji tukutane ITV
 
kimasihara tu.
 
ha ha ha ha, baada ya hapo ungeendeleza mawasiliano
 
Back
Top Bottom