mpenzi

  1. The Humble Dreamer

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpenzi wako wa kwanza kabisa yuko wapi?

    Wakuu Salaam; Kila mmoja hupitia mambo kadhaa katika mahusiano na mojawapo ni hili la mahusiano kuvunjika kwasababu mbalimbali. Binafsi Mpenzi wangu wa kwanza tuliachana kwasababu kadhaa baada ya yeye kumaliza kidato cha sita na mimi kwenda Chuo. Alikua akisoma huo ukanda ulipo mkoa wa Dar...
  2. Mzukulu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi kabisa kuwa na Mpenzi ( Mume / Mke ) anayefanana Jina ama la Baba au Mama yako Mzazi?

    Binafsi nimewakataa Wanawake kadhaa wenye Majina yafananayo na la Mama yangu Mzazi kwa Hisia zangu tu ambazo sina uhakika kama zitakuwa sahihi au si sahihi kwamba pale nikiwa nafanya nae Ngono naweza Kujisikia vibaya na kuhisi kuwa labda ni kama nimelala nae Mzazi wangu ( Mama ) Je, imekaaje...
  3. The MVP Tricks

    JamiiForums Tanzania Bahasha za kuwekea dawa, picha, passport, urembo, simu na matumizi ya ofisini kwako

    Habari ya muda huu mpenzi msomaji wa makala hii. Mi naitwa DEOGRACIUS JOSHUA, Mkurugenzi na mmoja wa wamiliki wa kiwanda kidogo Cha vifungashio au mifuko mbadala kiitwacho DEO VIFUNGASHIO kukiwa chini ya DEO & FRANK Company Mkoani Dodoma, dodoma mjini. Tunapenda kuwataarifu enyi wamiliki wa...
  4. Equation x

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu wa zamani anataka tupashe kiporo

    Nilikutana na huyu binti miaka 3 iliyopita akifanya kazi hoteli moja hapo DSM ambapo nilikuwa nimefikia, kutokana na macho kupenda tukakubaliana na kucheza mechi ugenini. Baada ya hapo tukaendelea kuwasiliana, na wakati mwingine nikienda mikoa mingine nilikuwa nawasiliana naye anakuja kunipa...
  5. Barakoa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Siku yako ya kuzaliwa halafu mpaka Saa Saba mchana hujaona ujumbe wowote wa kukupongeza kutoka kwa mpenzi wako...

    Tukiwa bado tunaendelea na kupiga nyungu tusisahahau kuendelea kuchukua tahadhari nyingine dhidi ya adui yetu Corona. Kwa kuwa kila mtu kazaliwa, basi kuna siku moja katika mwaka huwa inajirudia kwa maana ya tarehe na mwezi. Kwa wale wenzetu mliopo kwenye mahusiano, najua inapofika siku kama...
  6. britanicca

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni sahihi Mpenzi wako kuweka kikwazo cha kuanza maandalizi ya ndoa kwa kusingizia Corona?

    Anasema hebu waombe wazazi tuvutevute subira hadi mwezi wa 7 tuone hali itakavyokuwa ndo tuone cha kufanya, ameambiwa mshikaji mmoja ambaye kashamtambulisha mwanamke kwao ila kwao na mwanamke jamaa katambulishwa juu juu tu, akisema go ahead ya mshenga ni mpaka Corona iishe. Nimemuuliza je una...
  7. britanicca

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je ni sahihi kumpangia Mpenzi wako aina ya mavazi ya kuvaa na ambayo hapaswi kuyavaa? Ama kumwambia kufuta aina ya picha kwenye mitandao ya kijamii?

    Kina wapenzi we ng I alba iwekeana ma's hart kasha was kadha Ikiwa mpenzi wako anavaaa mavazi yasiyo mpendeza Mungu, yanayochora maumbile yake ni sahihi kumwambia afute picha alizopiga akiwa na nguo hizo? Na ni sahihi kumkataza demu wako baadhi ya nguo kuzivaa?
  8. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sitakusahau mpenzi wangu

    Uliniacha baada ya mambo yangu kuyumba na kukosa ajira. ukapata jamaa mwingine mwenye kazi nzuri na handsome. Nakumbuka nilitoa machozi kwa ajili yako ukasema umeona wengi wakilia. nakumbuka nilitembea kwa mguu mikoa kadhaa kuja kukuona ukasema niachane na wewe. Huwa nikikumbuka nakosa nguvu...
  9. Bin Shaib

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu kanikataa live leo

    Habari za humu ,nimekuwa na mfululizo wa thread lakini na wewe utajifunza kupitia hiki kisa kilicho nitokea leo tarehe 25.03.2020 mida ya mchana. Nisipoteze muda twende kisa chenyewe kama kawaida. Nilikuwa na mpenzi wangu anaitwa Anna tumekuwa kwenye mahusiano kwa muda mrefu sana cha...
  10. Equation x

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukitaka kujua kuwa mpenzi wako ana sifa ya kuitwa mke/mume,fanya yafuatayo

    Ukitaka kujua kuwa mpenzi wako ana sifa ya kuitwa mke/mume,fanya yafuatayo; Kama ulikuwa na wapenzi wengi mfano watano (5),chukua pesa kidogo labda 250,000,na kila mmoja mpatie 50,000 akaifanyie matumizi anayotaka.Baada ya hapo kila mmoja akupe mrejesho kwa ile fedha ameifanyia nini. Ikiwa...
  11. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu ameniacha na amepata mtu mwingine aliye zaidi

    salama ndugu zangu. Nilikuwa nampenda msichana mmoja ila hali imegeuka ghafla hataki mahusiano na Mimi. Nimefatilia nikagundua ana mtu main fine ambaye naona kanizidi vitu vingi. Nilimpa mda nikidhan wataachana lakini naona mwaka unakata wako pamoja. Duh nmeumia kinoma ila ndo hivo.
  12. rula

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kumpata mpenzi mara nyingi huwa ni ngekewa

    Habari wana JF Suala la kuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi ni suala la msingi sana katika maisha ya kila mwanadamu. Kuna muda kupata mtu wa kuwa nae kwenye mahusiano inakuwa ni changamoto kubwa sana hasa kwa baadhi ya sisi ambao unakuta Muonekano hauna haiba, huna elimu, huna pesa, mfupi...
  13. Da'Vinci

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, ulishawahi kulazimisha mpenzi au rafiki aendelee kubaki maishani mwako?

    Salute mates... Kwenye mizunguko yetu ya maisha kuna wakati unakua upo very attached na mtu Fulani either ni rafiki wa kawaida kama Man to man au Man to woman, pengine ni mpenzi wako umpendae sana sana. Yaani unakuta una mpenzi roho yako imetokea kumpenda sana husikii wala huoni juu yake, kila...
  14. Suley2019

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bima ya Afya nchini Kenya kugharamia matibabu ya mke au mume mmoja tu kwa walio kwenye ndoa zilizo na zaidi ya mpenzi mmoja

    Bima ya Afya nchini, NHIF, sasa itakuwa inagharamia matibabu ya mke au mume mmoja tu kwa walio kwenye ndoa zilizo na zaidi ya mpenzi mmoja. Vile vile, bima hiyo pia itakuwa sasa inagharamia watoto watano tu baada ya mageuzi ambayo yalianza Januari 1, 2020. Bima ya afya humu nchini NHIF...
  15. BumbleBeeBot

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada: Nikiwa na mpenzi wa pembeni sisimamishi

    Habari zenu, Mambo yako hivi, kuna mwanamke nipo nae kwenye mahusiano kama zaidi ya mwaka hivi. Ndio main chick kwa sasa, kitandani nipo nae vizuri saana, yaani sina tatizo kitandani. Hapo juzi kati kuna mwanamke mwingine nikaanzisha mahusiano nae. Yule mwanamke wangu wa kwanza akajua, akalia...
  16. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Roho inasita kumpatia mpenzi wangu Zawadi

    Habari zenu, Kama kichwa cha habari kinavyosomeka ni miezi minne (4) sasa tangu tuanzishe mahusiano na huyu Kaka kuna zawadi nilinunua kumpatia tangu niinunue mpaka leo ninayo na sijampa na moyo wangu nikitaka kumpa hautaki kabisa tatizo sijui liko wapi? ila huyu kaka kunipenda ananipenda...
  17. Rebeca 83

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukiachana na mpenzi wako ondoka na kila kitu chako pamoja na vitambulisho vyako

    Sio wote uliowahi kuwa na uhusiano na wewe ni watu genuine. Wengine wapo kwa sababu zao wenyewe.. Kwa kua wizi wa Identity umeshamiri.. Nawapa tu reminder especially wale wenye mahusiano na mataifa mengine..kuwa waangalifu.. Kuwa muangalifu nawakumbusha tuu..kitambulisho,number za bank..ni...
  18. KING HAM

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kuwa na mpenzi aliyekeketwa

    Habari zenu wakuu, Kuna story leo kijiweni kwetu tulikua tunaizungumzia wadau wanadai eti mwanamke aliyekeketwa hawezi fika kileleni wala hana hamu na tendo. Je, nikweli au niuzushi tu? Nawasilisha ✍️
  19. CONTROLA

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nawauliza wanaume: Umeshawahi kumuwekea mpenzi wako pedi kwenye pant yake? ilikuaje?

    Najua tunawapenda sana wanawake/wapenzi zetu lakini kuna vitu hadi na leo hii kuna baadhi ya wanaume hawavijui achilia mbali kuvifanya kwa wapenzi zao, kuna mambo mawili magumu yanayowashinda wanaume wengi (si wote) kama 1. Kufua nepi za mtoto zenye kinyesi 2. Kumfunga nepi mtoto (nikikumbuka...
  20. Sky Eclat

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mkiachana na mpenzi wako una mblock au kufuta namba za simu?

    Kama kichwa cha habari kunavyoeleza, madhara ya kuacha mawasiliano kama awali ilhali hamna mawasiliano ni nini?
Back
Top Bottom