mpenzi

  1. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Zambia: Binti afungua kesi dhidi ya mpenzi wake kwa kuwa naye kwenye mahusiano kwa miaka 8 bila kumuoa

    Gertrude Ngoma (26) amefungua kesi akidai kupotezewa muda na kuchoka kusubiri kuolewa na Herbert Salaliki ambaye wamekuwa kwenye Uhusiano wa kimapenzi kwa miaka 8 Getrude amelalamika pamoja kuwa na mtoto na Salaliki lakini bado alikuwa anaishi na wazazi wake badala ya kuungana na mumewe...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kuwa na mpenzi "mtoto" inahitaji ujasiri sana

    Wakubwa habari zenu? Leo naleta mada hapa ila kiukweli nina amani na furaha tele ingawa jana nimepigwa kibuti. Huyu jamaa kwa kweli haeleweki. Yeye mwenyewe pia hajielewi anataka nin katika haya maisha. Ni kijana wa miaka 31, ameajiriwa na amepanga chumba kimoja. Tumefahamiana naye muda mrefu...
  3. masara

    JamiiForums Tanzania Unaweza mwambia mpenzi wako mpya makosa yako uliyofanya hadi ukaachwa?

    Ni swali fupi tu hapa na sababu ni fupi tu ya kuletwa kulewa hili swali... Sio rahisi mtu anapoanzisha mahusiano mapya kusema kuwa yeye ndio kaachwa au yeye ndio alifumaniwa ndio ikawa sababu ya yeye kuachwa.ila wengi huwa wanasema upande wa pili kuwa kuwa ndio wenye makosa na wao ndio...
  4. adamWaEden

    JamiiForums Tanzania Mambo muhimu yakuzingatia baada ya kuachana na mpenzi wako

    Je? Wewe ni mmoja kati ya wanaosema maumivu ya kuachwa ni makali kushinda maumivu ya viungo vya mwili? Mbona ni kama unajaribu kuwashauri madaktari waanze kufanya oparesheni bila ganzi hivi? Enewei! Tuachane na hilo! Jambo la msingi ni kuwa kuna maisha baada ya Brekapu 💔! Yafuatayo ni mambo...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Mpenzi amebadilika nifanyaje

    Habarini wana jamii forums huwa napenda sana michango yenu humu maana kuna watu wapo bright sana na wana ushauri mzuri sana Ipo hivi, nina mpenzi wangu tuna miaka miwili sasa katika mahusiano yetu siku hizi ameanza katabia hanitafuti kabisa na mimi nikinyamaza nae anakaa kimya Zamani alikuwa...
  6. EINSTEIN112

    JamiiForums Tanzania Ukimfumania mwenzi wako "unakinukisha" kwa nani? Mwizi wako au mpenzi wako?

    Mimi sihangaiki na mwizi wangu maana huenda amedanganywa kwamba manzi yangu ipo singo, namuanzishia mpenzi wangu na kumfungashia virago kuanzia dakika hio NB: Kama mwizi wangu ni mshkaji ua jamaa anayejua nina uhusiano na huyo manzi hapo patawaka moto kwa wote wawili. We tuambie utapambana na...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Natafuta mpenzi wa kike mwenye virusi vya Ukimwi

    Habari zenu wakuu. Najitokeza kwenu mimi ni kijana wa kiume umri miaka 27. Ninaishi Dar es Salaam. Ninatafuta mchumba wa kike mwenye maambukizi ya virusi lakini awe anatumia ARVs. Mambo mengine tutaelezana PM. Dini si muhimu sana kwangu. Mimi mwenyewe siishi na maambukizi ieleweke. Dira...
  8. mugah di matheo

    JamiiForums Tanzania Jela miaka 30 kwa kumbaka mpenzi wake

    Jamaa moja aitwaye Boniphas (26) amehukumiwa kwa kumbaka mpenz wake Aidha akisoma huku hiyo hakimu,hakimu hezro Mwakenja wa mahaka ya hakimu mkaazi wa temeke amemtaka mtuhumiwa kulipa fidia ya tsh 500,000 na viboko 12 Mwathiriwa wa kitendo hicho jina linahifadhiwa Chanzo: Mwananchi
  9. Money Penny

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu kagoma kuzama chumvini kwasababu ya cheo chake kazini

    Mlalamikaji: Money Penny bwana huku kwenye ndoa yangu changa kuna shida mno Tumefunga harusi mwezi uliopita, Eti mume kagoma kuzama chumvini kwasababu yeye ana cheo kazini NI Boss kubwa mimi namwuliza kuzama chumvini na cheo kazini kinaingiliaje hataki kusema Money Penny: haya mambo kwanini...
  10. Money Penny

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu JAMES BOND, naumia Kwa kufa kwako, nilikupenda tangu utotoni

    Mara Paaap nafungua Instagram naambiwa James Bond Amekufa🙆 Uuuuwi jamaani kwanini umekufa weweee Mwanzilishi wa Sinema za James abond Duniani na Owner WA Copy Right ya James Bond Movies, Dead and Gone today😭 Pumzika Kwa amani ya Bwana na Mimi nitaendelea kukupenda kama Money Penny
  11. yuda75

    JamiiForums Tanzania Usikimbilie kumtambulisha mpenzi wako soma kwanza mchezo

    Sikuizi mapenzi ni kusomana sana tena kwa umakini wa hali ya juu, unaweza mpeleka mpenzi wenu kwenu akakuta mambo sivyo na alivyo kuwa anategemea so tarajia atabadilika mana mategemeo yake ni tofauti na alicho kuta kwenu au kwa ndugu zako SOMA MCHEZO Unaweza ukamtambulisha mpenzi wako kwenu...
  12. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Nitumie dawa gani mpenzi wangu aniache automatically?

    Nina mpenzi ambaye ananipenda sana (mi nazuga tu kwqmba nampenda, licha ya kwamba Zamani nilikuwa nampenda Sana). Kwa kadiri siku zinavyosonga mbele ndivyo upendo wake kwangu unavyozidi kuongezeka huku wa kwangu ukizidi kuyeyuka na kupoteza kabisa. Binti wa watu kaacha dini yake kaja kwangu...
  13. muneera75

    JamiiForums Tanzania Tabia zipi huzipendi kwa ndugu yako, mpenzi wako, rafiki yako au hata mzazi wako?

    Tabia ni kama mazoea ya mtu na kama inavyojulikana tabia ni ngozi. wewe mpaka ulipofikia hapo ni tabia gani huzipendi kwa watu na huna cha kufanya? Au ni tabia gani kutoka kwako huipendi na unajaribu kuiacha?
  14. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania Msema kweli ni mpenzi wa Mungu na OCD Hai amesema ukweli

    Mbowe na Chadema wamelitelekeza jimbo la Hai kwa muda mrefu na alifanya kuwadharau watu wa Hai na alikuwa anafanya kampeni kwa siku kumi anapata Ubunge. Safari hii ana wakati mgumu sana,wananchi hawamtaki na amekuwa akizomewa mara kwa mara, hii ni kwa sababu aliwafanya wajinga, kila...
  15. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Vanessa Mdee bado hajamsahau Jux, anatumia nguvu kubwa kumtumia mpenzi wake mpya kwa lengo la kujaribu kumpa wivu Jux

    Wazoefu wa mapenzi tunaona kabisa Vanessa Mdee bado yupo na ile michezo ya sekondari pale ambapo tulivyowapiga chini madem zetu walikuwa wanaanza michezo ile ya kujaribu kupata attention zetu kwa kutumia nguvu kubwa sana kujichoresha mbele ya wapenzi wao wapya. Na kwa kutumia instagram mbinu...
  16. KENZY

    JamiiForums Tanzania Utafanya nini siku ukimfuma mpenzi wako akizini na nduguyo?

    Imezoeleka watu kuwapa adhabu mbalimbali pale wanapowafumania wapenzi wao wakizini na watu wengine. Ulishawahi fikiria nje ya box vipi ukamfumania mke au mume wako akizini na nduguyo wa damu ama kaka yako au mdogo wako? Utachukua hatua ipi ya maamuzi? Je, undugu baina yenu utakuwepo tena au...
  17. Rodriquz

    JamiiForums Tanzania Ni sawa kuvitaka vitu vyako ukiachana na mpenzi wako?

    Kiukweli toka tuwe kwenye uhusiano sikuwa naona tatizo lolote kwa sababu tuliahidiana kupendana na sivinginevyo, nayeye yote aliyonifanyia ilikuwa nikunionyesha nikiasi gan ananipenda. Baadaye tabia zake zilianza kujenga chuki taratibu kwa upande wang vile tu hakuwa akinipa uhuru wa kufanya...
  18. miminimama

    JamiiForums Tanzania Hatimaye nimepata wa kunituliza, hivi sasa mimi ni "Miminimama wa Tajiri"

    Sijui niandike nini. Lakini ni kuwa nina mpenzi ananipenda nami nampenda. Huyu mtu alikuwa ni mwanaume wa ndoto yangu. Nimepata mwanaume yule yule niliyekuwa nammpicture. Hello tajiri wangu G unajua vile nakupenda. Nawewe tupende hivi hivi kila siku. Ahsante kwa kila kitu maana ni vingi mno...
  19. Andie

    JamiiForums Tanzania Shtuka ukipewa sifa hii na mpenzi wako

    Salaam wanajukwaa, Hii ni kwa wanaume. Kama mke, au mchumba wako anakusifia kwa watu kwamba wewe ni muelewa, shituka kuna sehemu unazembea na mbele ya safari itakugharimu. Nimekua natafiti wanawake walio comfartable sana kwa wapenzi wao "mume wangu ni muelewa" nimegundua hua wanapewa uhuru...
  20. Bin Shaib

    JamiiForums Tanzania Nimrudie tena huyu mpenzi?

    Wakuu habari za jf Bwana Yesu asifiwe, assaalam alykum wapendwa,, niwaombe tuzidi kuliombea taifa letu liwe na uchaguzi wa amani. Bila kupoteza muda niingie kunako maada,, siku za nyuma nilileta kesi ya huyu binti humu aliyekuwa akinitishia tuachane na ni kama mara mbili amewahi nitishia...
Back
Top Bottom