Je, uliwahi kuachwa na mpenzi wako na akakufanyia kitu ili akukomoe ila leo hii anakutafuta?

sky soldier

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
5,408
19,028
Usitukane mamba kabla ya kuvuka mto

Nmeitoa sehemu.

Kuna gf niliachana naye kwakweli nilikuwa napigana apate anachokihitaji asee siku tumegombana kidogo nikakuta kaweka picha ya mwana mmoja DP et ili niumie kweli kamoyo kaliniuma halafu nikajidai hakuna kilichotokea na ilikuwa nimpe pesa fulani.

Tuliyokuwa tumekubaliana kesho yake akataka ile pesa nikamwambia mm siwezi endeleaa kuhudumia mwanamke wa mtu akasema poa tuachane basi maisha yakaendelea

Nikawa nawaza kwa shida za huyu demu jamaa ataweza kweli? Aisee siku hizi asubuhi nakuta sms asubuhi njema ikifika usiku unashangaa sms usiku mwema moyoni nasema utakula ulichokipanda japo kweli nilikuwa nampenda ila njaa nyingi yule manzi kwa mabaharia wengine hawezi kudumu naye mwezi
 
Soma hapa na hiii

Pisi moja hivi amazing nilikuwa siipi pesa na nilikuwa busy busy kidogo, sasa siku moja nikaona no ya CO mmoja nilikuwa namjua na kituo cha kazi, nikamjaza nikamwambia zaa hapa nikajua hawezi zaa ata kwa dawa maana CO anamendea mzigo nikajua ataliwa tuu na kutoa

Siku zikaenda siku moja nikamwambia tuonane, akagoma, nikalazimisha akasema mimba imeharibika nikasema sawa, nikavuta nilipo kutana nae kumbe katolewa manual bado hajapona vizuri maeneo.

Siku zikasogea tena, Siku moja nikamwambia tuonane akanijibu nimesha pata mchumba na tayari anataka kunioa so mapenz kwangu yameisha, nikasema asante na hongera.

Nikampotezea akawa ananitafuta siku moja moja nikamwambia nimepata mchumba na nimeoa na mm, akaanza kusema nilikuwa nakujaribu sina mchumba wala mpenzi ni ww tu, nilimwambia mm sijalibiwi.

Hadi leo namuona tu yupo hajaolewa wala nn tunapishana salam kila mtu na maisha yake mpuuzi sana
 
Ooh! Binti yule mrembo mwema malaika wa siku njema. Aliniacha kwa mbwembwe na dharau sana japo sikumtendea ubaya na nilimheshimu na kumpenda sana nikamtunza yeye pamoja na ndugu zake wengi. Leo hii mimi ndiye nimegeuka na kuwa mfariji wake mkuu. Ila namshukuru sana kwa kunizalia kabinti kazuri kajiniazi ajabu

Hakuna bingwa wa maisha na umwonaye leo kuwa hana thamani kesho na kesho kutwa ndiye anaweza kugeuka kuwa mwokozi wako. Namshukuru malaika huyu kwa kunikomaza mapema katika haya mambo ya mapenzi. Nawadeizi niko ngangari ajabu na mtu akianza drama zake mi namwangalia tu. Mungu na Amsaidie katika mitihani anayoipitia. Tuogope sana kuumiza watu hasa wanaotupenda na kutujali.
 
usitukane mamba kabla ya kuvuka mto

Nmeitoa sehemu.

Kuna gf niliachana naye kwakweli nilikuwa napigana apate anacho kihitaji asee siku tumegombana kidogo nikakuta kaweka picha ya mwana mmoja DP et ili niumie kweli kamoyo kaliniuma afu nikajidai hakuna kilicho tokea na ilikuwa nimpe pesa flani.

Tuliyokuwa tumekubaliana kesho yake akataka ile pesa nikamwambia mm siwez endeleaa kuhudumia mwanamke wa mtu akasema poa tuachane basi maisha yakaendelea

Nikawa nawaza kwa shida za huyu demu jamaa ataweza kweli? Aisee siku hz asubuh nakuta sms asubuhi njema ikifika usiku unashangaa sms usiku mwema moyoni nasema utakula ulichokipanda japo kweli nilikuwa nampenda ila njaa nyingi yule manz kwa mabaharia wengine hawez kudumu naye mwez

Haina noma maisha yanaendelea na kamwe siwezi kurudisha wakati nyuma.
Sugu hapa allitulia sana
 
Mimi alikua analazimish niachane nae Nikawa namlazimisha siku moja kikatokea kitukio kidogo akasema nimuache nisimsumbue nikampotezea kumbe kuna boya alikua anamsumbua na Mimi huku kidume naumia kuachwa na kimanzi nilichokipenda baadae anarudi anaomba ni msamehe nikajiambia huku ndio muda wa kulipiza kisasi cha hisia

Nikamkubalia tukawa tunadate ingawa Mimi sikua serious Kama mwanzo akawa analaalmika simjali nikaanza kujikuta Niko serious Kwa Yale malalamiko kumbe ninalo lengo langu kichwani baada ya Kama mwezi hivi nikambwaga tena yeye ndio alisababisha baada ya kufuma mawasiliano yake na washkaji weeeengi(wadada wa chuo hawa) nikionaga nikae nae miezi mitatu ila akawaisha ikawa kabla ndio ikawa imeisha hiyo..

Baada ya kumuacha akaanza kutapatapa Kwa rafiki zangu wamuombee msamaha iliposhindikana nilianza kupingwa vijembe huko status nyimbo za kujifariji zikawa nyingi

Mpaka leo haamini kama nilimuacha Kwa sababu alikua ameona kwamba siwezi chomoa kwake na aliendelea kunisumbua mpaka alivyokuja kumjua manzi angu mpya,ingawa anaomba game nikamchakate
 
Nliamua kufanya yangu 2013, nlifumba macho nikageuka wala skurudi nyuma jamaa hadi leo bado ananitafuta alishajua namba zake sipokei, anatumia za watu nkishaskia sauti tu nakata.....simjibu shit ata mara moja nakata tu napotezea mpaka sasa jamaa hajaoaaaaa.....
 
usitukane mamba kabla ya kuvuka mto

Nmeitoa sehemu.

Kuna gf niliachana naye kwakweli nilikuwa napigana apate anacho kihitaji asee siku tumegombana kidogo nikakuta kaweka picha ya mwana mmoja DP et ili niumie kweli kamoyo kaliniuma afu nikajidai hakuna kilicho tokea na ilikuwa nimpe pesa flani.

Tuliyokuwa tumekubaliana kesho yake akataka ile pesa nikamwambia mm siwez endeleaa kuhudumia mwanamke wa mtu akasema poa tuachane basi maisha yakaendelea

Nikawa nawaza kwa shida za huyu demu jamaa ataweza kweli? Aisee siku hz asubuh nakuta sms asubuhi njema ikifika usiku unashangaa sms usiku mwema moyoni nasema utakula ulichokipanda japo kweli nilikuwa nampenda ila njaa nyingi yule manz kwa mabaharia wengine hawez kudumu naye mwez
Huyo demu kama namjua vile
 
Nilikwaruzana nae kitu kidogo penzi lilikua la miez miwil tu badae akaanza kuwaweka wanaume wengine status WhatsApp na ujumbe wa mapenzi, nikawa naaanglia status zake alaf si comment chochote status zikawa zinazid zikawa nyingi mnoo had zikawa pale juu zinaonyesha dot kibao (............) lakin na mm nikawa naziangalia makusudi tu alaf sicomnt kumbe lengo lake lilikua ni kunipima mm nampenda kias gan lakin niliona ni kama ananikosea heshima,,, niliachana nae kimyakimya na nikaamua kuweka umakin kwenye maisha yangu Bila ya mahusiano.

Sahiv ananiomba msamaha anasema alikua ananijaribu anione Kama Nina wivu nae mm nikamjibu siwez kuwa na mahusiano na mtu asieweza kunipa heshima hata ya kinafk
 
Nilikwaruzana nae kitu kidogo penzi lilikua la miez miwil tu badae akaanza kuwaweka wanaume wengine status WhatsApp na ujumbe wa mapenzi, nikawa naaanglia status zake alaf si comment chochote status zikawa zinazid zikawa nyingi mnoo had zikawa pale juu zinaonyesha dot kibao (............) lakin na mm nikawa naziangalia makusudi tu alaf sicomnt kumbe lengo lake lilikua ni kunipima mm nampenda kias gan lakin niliona ni kama ananikosea heshima,,, niliachana nae kimyakimya na nikaamua kuweka umakin kwenye maisha yangu Bila ya mahusiano...
Sahiv ananiomba msamaha anasema alikua ananijaribu anione Kama Nina wivu nae mm nikamjibu siwez kuwa na mahusiano na mtu asieweza kunipa heshima hata ya kinafk
ulicheza kamari vizuri
 
Back
Top Bottom