Jambo ambalo umsamehe mpenzi wako kikawaida na asingesitahili msamaha

Rodriquz

Member
Aug 13, 2020
37
139
Dah, iliniuma sana pale nilipopata mpenzi wa mbali tukadumisha mahusiano yenye kupendana sana dah! sielewi ilikuwaje lakini siku moja naambiwa, mpenzi nimepata mimba bahati mbaya naomba unisamehe nakupenda sana usiniache ni bahati mbaya tu, nilimsamehe ila mpaka sasa hivi hatujawahi kukutana wala kuonana.
 
Hajawahi kunikosea kosa jipya, anafanya marudio tu ya makosa ambayo nayasikia tangu nakua, kwa majirani, kwa ndugu, marafiki, mababu zetu.

Ili mradi haidhuru afya yangu wala mwili wangu, wala havunji sheria ya nchi...

Basi nanuna, naongea kama chiriku, nakasirika sana, then napoa nasamehe maisha yanasonga.
 
Dah acha kabisa. Wiki 3 ama 4 zilizopita. Girlfriend wangu nilimfumania na jamaa mwingine. Maumivu ya kufumania asikwambie mtu nlihisi mwili umeishiwa nguvu, nikaanza kutetemeka. Halikuwa fumanizi laiv bali kwenye simu maana nlipiga simu haikupokelewa nikarudia mara 3 ndo akapokea. Ss akajichanganya sababu ya hofu na jamaa akastuka. Mbaya zaidi usiku wa juzi kuamkia jana yake nlilala naye usiku kucha. Alivonidanganya nikagundua. Baada ya muda km dakika 10 nikamwamdikia kuwa "upo na mwanaume maana nimemsikia ana guna kwenye simu baada ya kusema uongo" kumbe zile dakika 10 kulikuwa na mtifuano jamaa akawa ameichukua simu.

Jamaa akanijibu ile sms kwa kusema amekudanganya nipo naye mm,
Sms ya pili akauliza unamtafuta huyu kwani mkeo.

Ndo hali mbaya ikanitokea sikuweza hata kuwa na nguvu ya kuandika sms. Nlikaa km nusu saa ndo hali akarudi sawa.
Ikumbukwe mdada huyu anapoushi mm ndo nalipia, fanicha zote nimemnunulia mm, nalipa kila kitu hadi chakula namlisha mm. Simu nilojibiwa pumba nliinunua mm wiki 2 zilizopita ni smart ya laki1 20elf. Vocha naweka mm,
Nikajibu hiyo sms nikimwambia jana nimelala na huyo dada usiku kucha, na nikamweleza gharama ninazomgarimikia. Kumbe jamaa aliizima sim baada ya kumpora.

Baadae jion mwanamke anaanza kunitafta anaapology.nikamwambia its over. Nakuachia kilakitu ila kuanzia sasa jamaa atake charge.

Dem alikuja nimekaa naye kwenye gari lisaa zima amepiga magoti analia. Nikamwacha ila baada ya wiki nikafikiria nikaamua kumsamehe. Nikapanga naye safari tukarnda kenya kupoteza mawazo kidogo bado akanitibua hukohuko tulika 3 days ila akati tunarudi njia nzima hatukuongea na tulitumia gari binafsi.
Hapa napanga nimwekee sub ya nguvu.
 
una moyo aisee
 
Dah pole sana
 
Ndoa/mahusiano yako yatadumu sama mkuu.....
Kwa uzoefu wangu, wanawake wenye tabia kama zako hudumu sana kwenye mahusiano na wanauwezo mkubwa wa kuhimili hekaheka za kwenye ndoa
 
Dah, iliniuma sana pale nilipopata mpenzi wa mbali tukadumisha mahusiano yenye kupendana sana dah sielewi ilikuwaje lakini siku moja naambiwa, mpenzi nimepata mimba bahati mbaya naomba unisamehe nakupenda sana usiniache ni bahati mbaya tu, nilimsamehe ila mpaka sasa hivi hatujawahi kukutana wala kuonana.
Kila mtu anastahili msamaha
 
Dah acha kabisa. Wiki 3 ama 4 zilizopita. Girlfriend wangu nilimfumania na jamaa mwingine. Maumivu ya kufumania asikwambie mtu nlihisi mwili umeishiwa nguvu, nikaanza kutetemeka. Halikuwa fumanizi laiv bali kwenye simu maana nlipiga simu haikupokelewa nikarudia mara 3 ndo akapokea. Ss akajichanganya sababu ya hofu na jamaa akastuka. Mbaya zaidi usiku wa juzi kuamkia jana yake nlilala naye usiku kucha. Alivonidanganya nikagundua. Baada ya muda km dakika 10 nikamwamdikia kuwa "upo na mwanaume maana nimemsikia ana guna kwenye simu baada ya kusema uongo" kumbe zile dakika 10 kulikuwa na mtifuano jamaa akawa ameichukua simu.

Jamaa akanijibu ile sms kwa kusema amekudanganya nipo naye mm,
Sms ya pili akauliza unamtafuta huyu kwani mkeo.

Ndo hali mbaya ikanitokea sikuweza hata kuwa na nguvu ya kuandika sms. Nlikaa km nusu saa ndo hali akarudi sawa.
Ikumbukwe mdada huyu anapoushi mm ndo nalipia, fanicha zote nimemnunulia mm, nalipa kila kitu hadi chakula namlisha mm. Simu nilojibiwa pumba nliinunua mm wiki 2 zilizopita ni smart ya laki1 20elf. Vocha naweka mm,
Nikajibu hiyo sms nikimwambia jana nimelala na huyo dada usiku kucha, na nikamweleza gharama ninazomgarimikia. Kumbe jamaa aliizima sim baada ya kumpora.

Baadae jion mwanamke anaanza kunitafta anaapology.nikamwambia its over. Nakuachia kilakitu ila kuanzia sasa jamaa atake charge.

Dem alikuja nimekaa naye kwenye gari lisaa zima amepiga magoti analia. Nikamwacha ila baada ya wiki nikafikiria nikaamua kumsamehe. Nikapanga naye safari tukarnda kenya kupoteza mawazo kidogo bado akanitibua hukohuko tulika 3 days ila akati tunarudi njia nzima hatukuongea na tulitumia gari binafsi.
Hapa napanga nimwekee sub ya nguvu.
Mzee ww una moyo wa chuma me ningemsamehe lakin kurudiana mpaka yesu arudi
 
Ndoa/mahusiano yako yatadumu sama mkuu.....
Kwa uzoeevu wangu, wanawake wenye tabia kama zako hudumu sana kwenye mahusiano na wanauwezo mkubwa wa kuhimili hekaheka za kwenye ndoa
Hadi sasa mtu ajue kuwa nikikasirika nakuwa kichaa kidogo

Ila hasira zikiisha siji kuongelea tena lililopita
 
Wanawake kama wewe, akipata mwanaume wa kujishusha kidogo mkiwa mmekasirika....
Walahi, hawatokaa wasikie kwamba mmeachana.
Maana ninyi huwa mnakasirika sana, lakini kwa muda mfupi sana.
Alafu mnakuaga watam zaidi kwenye tendo la tabia.....
 
😂😂😂😂mie nimesoma hapo kwenye utamu tu 🤣🤣🤣🤣🤣 Mzee wa mautamu 😜

Wanawake kama wewe, akipata mwanaume wa kujishusha kidogo mkiwa mmekasirika....
Walahi, hawatokaa wasikie kwamba mmeachana.
Maana ninyi huwa mnakasirika sana, lakini kwa muda mfupi sana.
Alafu mnakuaga watam zaidi kwenye tendo la tabia.....
 
Mkuu
Dah acha kabisa. Wiki 3 ama 4 zilizopita. Girlfriend wangu nilimfumania na jamaa mwingine. Maumivu ya kufumania asikwambie mtu nlihisi mwili umeishiwa nguvu, nikaanza kutetemeka. Halikuwa fumanizi laiv bali kwenye simu maana nlipiga simu haikupokelewa nikarudia mara 3 ndo akapokea. Ss akajichanganya sababu ya hofu na jamaa akastuka. Mbaya zaidi usiku wa juzi kuamkia jana yake nlilala naye usiku kucha. Alivonidanganya nikagundua. Baada ya muda km dakika 10 nikamwamdikia kuwa "upo na mwanaume maana nimemsikia ana guna kwenye simu baada ya kusema uongo" kumbe zile dakika 10 kulikuwa na mtifuano jamaa akawa ameichukua simu.

Jamaa akanijibu ile sms kwa kusema amekudanganya nipo naye mm,
Sms ya pili akauliza unamtafuta huyu kwani mkeo.

Ndo hali mbaya ikanitokea sikuweza hata kuwa na nguvu ya kuandika sms. Nlikaa km nusu saa ndo hali akarudi sawa.
Ikumbukwe mdada huyu anapoushi mm ndo nalipia, fanicha zote nimemnunulia mm, nalipa kila kitu hadi chakula namlisha mm. Simu nilojibiwa pumba nliinunua mm wiki 2 zilizopita ni smart ya laki1 20elf. Vocha naweka mm,
Nikajibu hiyo sms nikimwambia jana nimelala na huyo dada usiku kucha, na nikamweleza gharama ninazomgarimikia. Kumbe jamaa aliizima sim baada ya kumpora.

Baadae jion mwanamke anaanza kunitafta anaapology.nikamwambia its over. Nakuachia kilakitu ila kuanzia sasa jamaa atake charge.

Dem alikuja nimekaa naye kwenye gari lisaa zima amepiga magoti analia. Nikamwacha ila baada ya wiki nikafikiria nikaamua kumsamehe. Nikapanga naye safari tukarnda kenya kupoteza mawazo kidogo bado akanitibua hukohuko tulika 3 days ila akati tunarudi njia nzima hatukuongea na tulitumia gari binafsi.
Hapa napanga nimwekee sub ya nguvu.
Usipoenda mbinguni usikubali, kata rufaa, sio kwa moyo huo mzee 🙌🏽

Let's meet at the top, cheers 🍻
 
Back
Top Bottom