Mpenzi ni yule ambaye mnaweza kufanya tendo la siri kisha mkatawanyika kwa furaha hata kama mmoja hajapewa fedha

Kiboko ya Jiwe

JF-Expert Member
Apr 7, 2020
12,701
36,120
Kuna watu wajinga sana kwenye suala liitwalo mapenzi.

Anamwita demu mpenzi huku K anaipata kwa kutoa fedha. Unaweza kutoa fedha lakini isiwe ndio mchezo kwamba usipotoa pesa demu hakuelewi.

Mwanamke ambaye mnaweza kukutana kimapenzi kisha mkatawanyika bila mmoja kupewa pesa then akatoka anafurahia mapenzi huyo ndio mpenzi.

Mapenzi ya rami na kiatu ni ya dunia isiyostaarabika. Mmoja ndio huumia huku akijiona amewini.
Namhurumia sana mwanaume anayejisifu kuwa anapendwa na demu fulani huku hakuna siku amewahi kumgonga bila shekeli kutembea.
 
Binadamu kinachotushawishi tufanye mapenzi ni mavazi unadhifu tungekuwa wote tunakaa uchi hata tusingekuwa tunahangaikia ma uchi
 
Kuna watu wajinga sana kwenye suala liitwalo mapenzi.

Anamwita demu mpenzi huku K anaipata kwa kutoa fedha. Unaweza kutoa fedha lakini isiwe ndio mchezo kwamba usipotoa pesa demu hakuelewi.

Mwanamke ambaye mnaweza kukutana kimapenzi kisha mkatawanyika bila mmoja kupewa pesa then akatoka anafurahia mapenzi huyo ndio mpenzi.

Mapenzi ya rami na kiatu ni ya dunia isiyostaarabika. Mmoja ndio huumia huku akijiona amewini.
Namhurumia sana mwanaume anayejisifu kuwa anapendwa na demu fulani huku hakuna siku amewahi kumgonga bila shekeli kutembea.
Kwahiyo wewe kazi yako inakuwa ni kupiga mashine tu ?

Pesa za vipodozi, pedi, sabuni, make up atoe nani ?

Ninyi ndio huwa mnazalisha wanawake halafu watoto watajijua wenyewe.

Halafu watu kama ninyi mnapenda ngono 🍑🍑🍑🍑 balaaa.

Binafsi sikubaliani na TAMAA ila kumpa mpenzi wako pesa ni Jukumu lako.

Ungemkuta kachoka, wala usingemtongoza
 
Toa hela baba acha mbofu mbofu.......eeh toa hela wewe kama unaona uwezi tendo bila pesa .......karibu kwenye chama chetu cha CHAPUTA uje kuchukua fomu maana ni bure........ukiona uwezi kutoa hela jikandike Magori mwenyewe......maana si utamu unao mwenyewe
 
Mwanaume hakwepi majukumu....
Bro Leo umepiga bure😂😂😂😂ungemuonea huruma ukampa hata nauli....furaha ameonasha ulipokuwanae ila alipofika huko amejuta😂😂
 
Acha kuvaa uhusika wa mwanamke. Waache wajibu wenyewe. That's Simp attitude.
Kwahiyo wewe kazi yako inakuwa ni kupiga mashine tu ?

Pesa za vipodozi, pedi, sabuni, make up atoe nani ?

Ninyi ndio huwa mnazalisha wanawake halafu watoto watajijua wenyewe.

Halafu watu kama ninyi mnapenda ngono balaaa.

Back
Top Bottom