Andie
JF-Expert Member
- Oct 11, 2011
- 712
- 1,643
Salaam wanajukwaa,
Hii ni kwa wanaume. Kama mke, au mchumba wako anakusifia kwa watu kwamba wewe ni muelewa, shituka kuna sehemu unazembea na mbele ya safari itakugharimu.
Nimekua natafiti wanawake walio comfartable sana kwa wapenzi wao "mume wangu ni muelewa" nimegundua hua wanapewa uhuru zaidi ya kawada. Naweza sema wanaume wao hua wanakua ni loose bolts.
Binafsi hii sifa ya kua muelewa sijawahi kupewa, sitaki kua muelewa na sitaki kuelewa. Usipokua na mipaka wanawake hua hawatosheki na uhuru wanaopewa ukimpa moja atataka mbili, ukimpa mbili atataka tatu na nne.
Kuna staff mwenzetu alikua anazungumza na staff wengine anamsifia mumewe " mimi sina rafiki wanawake marafiki zangu wanaume, hata kwenye simu 98% contacts ni wanaume, mume wangu ni muelewa." Nilimuangalia mara mbili nikaendelea kufanya shughuli zangu.
Ukimruhusu kurudi saa mbili usiku atarudi saa nne huku kasindikiza (nisindikize tu mume wangu ni muelewa) ukimruhusu kupiga story na majirani wanaume, ataenda mpaka kuoga nao bafuni, "twende tu kuoga, mume wangu ni muelewa. (teheee hapa nimeongeza chumvi kidogo ila nadhani unaipata picha) ukimruhusu kujiunga jf atajiunga mpaka Tinder na Badoo (teheee hee na hapa nimeongeza kachumvi)
Vipi we jamaa na wewe ni muelewa? Tuambizane. Vipi na wewe dada mume wako ni muelewa?