Mpenzi wangu anakuja ghetto bila taarifa nimfanyeje?

adden

JF-Expert Member
Dec 27, 2015
7,037
15,525
Poleni na majukumu.

Kweli katika mahusiano huwa napenda mipaka, huwa niko straight lakini wapenzi wetu kibongo bongo wanapenda kufosi mambo sana. Huyu mwanamama ni msomi na anajielewa nilimuona amestaarabika sana lakini haishi tabia ya kunishtukiza geto

Serious sipendi mtu yeyote hata awe mama angu kuja kwangu bila taarifa! Simu zina kazi gani kama wewe unakuja tuu OUT OF THE BLUE.

Privacy ni kitu muhimu sana lakini wengine hawataki kuheshimu privacy za wengine...ila wewe mdada kweli nakupenda lakini endelea na mazoea ya kidandara kuja geto bila taarifa utachokuta usijutie.
 
Jomba nadhani wewe ni Introvert

Katika vitu vinavyotukera sisi watu wa namna hiyo ni mambo ya Surprise. Mimi kuna mmoja huyo nilishamwambia, akitaka kuja kwangu aninotify nitakachomjibu sitaki maswali zaidi. Akifanya anavyojua yeye amalize mwenyewe.
 
Ulikosea Sana kumwambia mwanamke hivyo
Sasa anakuja ili afumanie ..
Ili asije tena weka mwanamke mwingine akikute anachotaka yaishe
ukweli mi si mtu wa mboga mboga sana..mboga yangu ni yeye tuu ila sometimes napenda kukaa tuu mwenyewe kimyakimya
 
Ndio mana Mimi niliamua kuishi nyumba yenye geti ukija bila taarifa hakuna wa kukufungulia maana kila mpangaji ana ufunguo wake wa geti
 
Unatafutiwa Man In The Middle Attack
Hivi na wewe unaanzaje kumfungulia mlango, acha akae hapohapo nje
 
Poleni na majukumu.

Kweli katika mahusiano huwa napenda mipaka, huwa niko straight lakini wapenzi wetu kibongo bongo wanapenda kufosi mambo sana.

Huyu mwanamama ni msomi na anajielewa nilimuona amestaarabika sana lakini haishi tabia ya kunishtukiza geto!!

Serious sipendi mtu yeyote hata awe mama angu kuja kwangu bila taarifa! Simu zina kazi gani kama wewe unakuja tuu OUT OF THE BLUE.

Privacy ni kitu muhimu sana lakini wengine hawataki kuheshimu privacy za wengine...ila wewe mdada kweli nakupenda lakini endelea na mazoea ya kidandara kuja geto bila taarifa utachokuta usijutie.
mnyang'anye funguo..au badili kitasa
 
Ukitaka kumkomesha akija unalock zako mlango smu silent akikutafta unamwambia nipo mkoani akishaondoka unaendelea na ratba zako au unaonaje?
 
Unavomkataza kuja bila taarifa anahisi kuna wenzake, kinachoviziwa hapo ni fumanizi ili aliamshe dude
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom