Nipo namsikiliza Mtu anasema kuwa wakati mnafanya Mapenzi, dyu dyu ukiingia kwenye sehemu za siri za mwanamke, na mambo yakakolea, wakati mwingine dyu dyu unazama inagoma kutoka kwahiyo ule mizunguko wa damu na presha na nini Mtu anaweza akafa
Sa nimelala hapa, najaribu kupata picha ivi wakati...
Habari zenu wakuu! Poleni na msiba wa kitaifa uliopo.
Naombeni mawazo yenu kwenye hiki kilichotokea kwangu, ni kwamba nilikuwa nachati na demu wangu night kali sana na tukawa tunanye**Geshana hatari, si mnajua tena mambo yetu vijana. Sasa akanitumia picha ya kuleta hamasa zaidi ya kusex kisha...
Najua unatembelea kwenye hili jukwaa na kukutana huu uzi wangu.
Nijibu japo kidogo basi
Nimemis busu lako. Nimemis ulivyo kuwa unaninyonya mate.
Huku niliko sisahau ile siku tulipo fungulia wimbo wa celine dayoni tukaanza kunyonyana mate huku wimbo unapiga taratibu kwa mbali.
Sitosahau Ile siku...
Habarini ndugu zangu, nimeingia kwenye jukwaa ili kutafuta mpenzi wa kike ambaye ataenda kuwa mke wangu ivi karibuni:
SIFA ZANGU:
Urefu: Ni mrefu wa wastani
Umbo: sio mnene wala sio mwembamba sana.
Rangi: Maji ya kunde
Dini: Christian (RC)
Elimu: Degree 1
Status: Single na sijawahi kuwa na mke...
Mwanafunzi wa mwaka wa Kwanza chuo kikuu Cha sayansi na technologia Mbeya (MUST) ndg Linus Magesa (21) ameuwa kwa kuchomwa na kitu chenye ncha Kali kifuani na mtu anayesadikika kua ni mpenzi wake anayetambulika kwa jina la Suzy (19). Chanzo kikisadika kua Ni wivu wa mapenzi, Mtuhumiwa anaendelea...
Hii ni kwa wale wanaoangaika na kutafuta wapenzi au kutafuta namna ya kuwashawishi watu wenye wapenzi tayari,muda mzuri wakuchanga karata zako nikuanzia SAA 4 hadi SAA 8 usiku wa manane ukiweza kuwa na salio lakupiga kuanzia mida hiyo kwa wiki mbili mfululizo unaweza kuwa na nafasi kubwa...
Hello,
I hope you are all fine,poleni na Majukumu ya hapa na pale back to the point nahitaji rafiki wa kike ambaye ikipendeza tutaingia hatua zingine kama mahusiano na hata ndoa.
Huu ni wasifu wangu:
Jinsia- am a Boy,miaka 30
Kimo- mrefu, rangi maji ya kunde.
Umbo-mwili wa kawaida si mnene...
Kuna watu watauliza; Je; mlalamikaji Ni Nani?
Kesi inayohusu "Public interest" Inayoonesha Kuna uharifu ambao unaweza kutafsiriwa tofauti na jamii lazima Jeshi la polisi lifanye kazi yake!
Maelezo ya Shilole Ni kielelezo namba moja Cha shambulio la kudhuru mwili ambayo yanaashilia uvunjifu wa...
Habarini za siku ndugu zangu, poleni na majukumu ya hapa na pale,
Baada ya kuleta uzi kuusiana na maswahiba ya mpenzi wangu kubadilika ghafla, na kwa upande wangu kujaribu kujua kinachomtatiza ila yeye ananiambia yupo sawa tu wakati kihualisia namuona amebadilika kabisa kabisa.
Baada ya kusoma...
Unapotoka kwenye mihangaiko yako, labda kazini au katika kusaka shughuli mbalimbali za kujipatia kipato, na kurejea nyumbani labda jioni au usiku.
Je, mpenzi wako huwa anakupokeaje, na huduma ipi huwa anakupatia kwanza?
Niaje, wakuu? Kama kawaida tunakutana katika mfululizo wetu wa tano sasa wa kugusiana filamu kuhamasishana kuzitazama na kuzielewa.
Bila maneno mingi, na tuanze. Karibu.
IDENTITY ya 2003.
Kuna watu wanaamini hamna kitu kinachotokea duniani kwa bahati mbaya. Kila kitu kimepangwa na kipo kwa...
Habarini ndugu zangu, poleni na majukumua ya hapa na pale, niende moja kwa moja kwenye mada ya andiko hili
nipo na mpenzi wangu, ni mwaka wa 4 sasa na nimepanga kama mungu akijaalia nimuoe mwakani mwishoni, uyu binti nampenda sana sana na tumepitia ups and down za hapa na pale ila kwa ili...
Nina mpenzi wangu ambaye tumependana kwa miezi 10 sasa, kaja kwetu Msoma kututembelea kutoka kwao Arusha ikiwa ni njia ya kujuana kiundani alikuja akakaa week 1 hotelini
Baada ya kumshawishi aache kazi ili nimuoe, hii ni kutokana na kazi alokuwa anafanya ya counter kwenye Lounge fulani Dar es...
Kuna siku nilimpigia mpenzi wangu simu, akasema subiri nikifika Nyumbani nitakupigia nimemsindikiza dada kazini kwake hapa Mlimani City mara moja, alipokea kana kwamba ana wasiwasi, na ukizingatia nikachukulia labda kwakuwa Dada yake hapendi niwe na mdogo wake ndo sababu,
Baadaye hakunitafuta...
Igweeeeeeee
Kuna dada mmoja ni rafiki yangu nimesoma nae masomoni china alikuwa na boy friend wake mwalimu wa shule yamsingi.
Stori iko hivi wadau mwalimu wa shule ya msingi amezaliwa mkoani tabora akiwa mtoto wa kwanza katika familia yao ya watoto wanne,Marehemu baba yake ni mstaafu wa katka...
Nakumbuka ilikuwa siku ya Boxing Day miaka ya nyuma kidogo enzi hizo nikiwa sekondari kidato cha nne nilikuwa na mpenzi jirani yaani hatua chache kutoka nyumbani kwetu. Kutokana na kutamani kumgegeda kwa kipindi kirefu na nilikuwa nikikosa nafasi kama unavyo fahamu tena kishule shule pesa tu ya...
Imagine uko na mpenzi wako kwa miaka kadhaa lakini kila siku anakupa missionary umeomba zaidi ya Mara elfu tano akupe mbuzi kagoma amekataa katakata nawewe missionary umeikinahi
Je, unafanyaje?
Wakuu Salaam;
Kila mmoja hupitia mambo kadhaa katika mahusiano na mojawapo ni hili la mahusiano kuvunjika kwasababu mbalimbali.
Binafsi Mpenzi wangu wa kwanza tuliachana kwasababu kadhaa baada ya yeye kumaliza kidato cha sita na mimi kwenda Chuo. Alikua akisoma huo ukanda ulipo mkoa wa Dar...
Binafsi nimewakataa Wanawake kadhaa wenye Majina yafananayo na la Mama yangu Mzazi kwa Hisia zangu tu ambazo sina uhakika kama zitakuwa sahihi au si sahihi kwamba pale nikiwa nafanya nae Ngono naweza Kujisikia vibaya na kuhisi kuwa labda ni kama nimelala nae Mzazi wangu ( Mama )
Je, imekaaje...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.