Siku yako ya kwanza kulala na mpenzi wako usiku kucha ilikuwaje?

luangalila

JF-Expert Member
Jan 12, 2014
6,325
6,871
Kwa mara ya kwanza mimi nilipolala na aliyekuwa demu wangu usiku kucha yaani ilikuwa shida sana. Yaani nilikuwa kama dokta yupo na mgonjwa ICU.

Nakumbuka ilikuwa Moshi maeneo ya Ushirika wa Neema, kabaridi kanapiga balaa. Dogo mwili ulikuwa wa moto basi kila nikiamka namgusa mwili, naona mwili wa motoo nikajua jumba bovu linataka kunifia nini. Nikamkurupusha yule dada kumuuliza vipi unaumwaa?

Dah! Sitasahau ile siku
 
Ni kwamba wasiwasi kwamba yatatokea ya hussein machozi ama
 
Dah aroo njozi zangu uwa loudly. Uwa naongeaga ndotoni usaliti wote niliomfanyia, nikilala na mpnz uwa njizuia kutolala fofofo..

Yan mim nikifanya tukio kubwa uwa silali na mtu lazima nitoe siri zote ndotoni
 
me mwanamke wa kwanza kulala nae alikua malaya nilimlipa 15k na bia kama 8 na ugari nyama choma nilimtembezea moto kilichomuokoa ni mapambazuko tu
Hahaaa kmmk ..mkuu ulienda kununua papuchi buguruni !??
 
Back
Top Bottom