Nina mpango wa kuacha kwenda kuangalia filamu Century Cinemax

Ihoma

Member
May 23, 2017
92
88
Habari zenu,

Mapema mwanzo mwa mwezi January Century Cinemax waliweka bango kwenye page yao ya Instagram kuwa tarehe 31 mwezi huo huo wataonyesha movie ya IP MAN 4, kama mdau wa cinema nilisubiria kwa hamu kubwa. Imekuwa kinyume chake movie hiyo hakuna na hata maelezo kwanini haionyeshwi hakuna. Ni jinsi gani hawa jamaa customer care ni poor au wanadharau wateja wao.

Kuanzia leo wataangalia wao wenyewe.
 
Daah mimi sijui hata nna mpango gani na dstv,walisema ulikilipia kufurushi chako kabla hakija expire wana ku-upgrade(nimelipia compact plus nikajua watani-upgrade kwenda kwny premium).

Lkn sababu jamaa wametuona wateja wao ni mafala hawaja upgrade wale nini na hakuna tangazo lolote,na mimi nawacheki tu nasema hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

dodge
 
Huwa wana upgrade kwa 7 days tu.
 
Back
Top Bottom