Uchaguzi 2020 CHADEMA mna mpango wa kumsimamisha nani kama mgombea urais?

Chagu wa Malunde

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
8,708
5,711
Wahenga wanasema siku hazigandi na kama ilivyokawaida October 2020 inakaribia. Na kila chama kitaweka mgombea kuanzia ngazi ya udiwani,ubunge na urais.

Kwa walioshika dola tayari inajulikama nani atapeperusha bendera ya Chama chake yaani CCM

Mwenyekiti wa Tlp yeye pamoja na kuwa sio mwana CCM amekiri atamuunga mkono John Pombe Magufuli hii ni kwa sababu amefanya kazi kubwa ya kudhibiti rushwa na ubadhirifu,kujenga miundo mbinu,kujenga miradi kama Sgr,JNHHP n.k na kwa mantiki hii ameamua kumuunga mkono.

Nakuja kwa hichi chama ambacho kuanzia wafuasi wake na viongozi wake hawana uzalendo. Maana wao kila siku ni kuitakia mabaya nchi yao ati kisa tu CCM ndio imekamata dola.

Sasa wamebaki kuwa watu wa vurugu na matusi mitandaoni na wameonyesha kukata tamaa ya kisiasa. Na swali linakuja watamsimamisha nani ili apambane na JPM? Ni Mh Mbowe? Au Mnyika? au Halima Mdee? Au Esther Matiko?
Ngoja tusubiri maana siku hazigandi.

Au ndio hawataweka mgombea kabisa? Maana naona kama hamna wa kupambana na JPM!
 
Wapo wengi tu.Mtu yoyote mwenye akili timamu anaweza kuongoza nchi hii, kazi ambayo JK na Magufuli wameweza, nani ataishindwa? Magufuli kama Magufuli hawezi ushindani, pitia rekodi yake toka akiwa mbunge ni mara ngapi aliwahi kushinda kwa box la kura zaidi ya mizengwe. Tunahitaji katiba mpya ili tupate kiongozi bora na sio kiongozi katili.
 
Wahenga wanasema siku hazigandi na kama ilivyokawaida October 2020 inakaribia. Na kila chama kitaweka mgombea kuanzia ngazi ya udiwani,ubunge na urais.

Kwa walioshika dola tayari inajulikama nani atapeperusha bendera ya Chama chake yaani CCM

Mwenyekiti wa Tlp yeye pamoja na kuwa sio mwana CCM amekiri atamuunga mkono John Pombe Magufuli hii ni kwa sababu amefanya kazi kubwa ya kudhibiti rushwa na ubadhirifu,kujenga miundo mbinu,kujenga miradi kama Sgr,JNHHP n.k na kwa mantiki hii ameamua kumuunga mkono.

Nakuja kwa hichi chama ambacho kuanzian wafuasi wake na viongozi wake hawna uzalendo. Maana wao kila siku ni kuitakia mabaya nchi yao ati kisa tu CCM ndio imekata dola.

Sasa wamebaki kuwa watu wa vurugu na matusi mitandaoni na wameonyesha kukata tamaa ya kisiasa. Na swali linakuja watamsimamisha nani ili apambane na JPM? Ni Mh Mbowe? Au Mnyika? au Halima Mdee? Au Esther Matiko?
Ngoja tusubiri maana siku hazigandi.

Au ndio hawataweka mgombea kabisa? Maana naona kama hamna wa kupambana na JPM!
CHADEMA wanangoja kusudi la MUNGU liti,ie, ukimuasi Mungu kwa kumwaga damu za watu , hata ukimbilie kwenye HANDAKI CORONA /TAUNI ITAKUFUATA HUKO
 
Wapo wengi tu.Mtu yoyote mwenye akili timamu anaweza kuongoza nchi hii, kazi ambayo JK na Magufuli wameweza, nani ataishindwa? Magufuli kama Magufuli hawezi ushindani, pitia rekodi yake toka akiwa mbunge ni mara ngapi aliwahi kushinda kwa box la kura zaidi ya mizengwe. Tunahitaji katiba mpya ili tupate kiongozi bora na sio kiongozi katili.
Mtaje, hao wengi hawatagombea ni mmoja tu anatakiwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wapo wengi tu.Mtu yoyote mwenye akili timamu anaweza kuongoza nchi hii, kazi ambayo JK na Magufuli wameweza, nani ataishindwa? Magufuli kama Magufuli hawezi ushindani, pitia rekodi yake toka akiwa mbunge ni mara ngapi aliwahi kushinda kwa box la kura zaidi ya mizengwe. Tunahitaji katiba mpya ili tupate kiongozi bora na sio kiongozi katili.

Kamanda uchwara umeulizwa mtamsimamisha nani? Hahaaha

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Mkujua itawasaidia nn !?
Mnataka kumpiga risasi !?
Mumbambikie kesi ya kutakatisha fedha !?
Kuhoji uraia wake !?
Kuhoji uraia wa wazazi wake !?
Au muanze kumpaka matope mitandaoni !?

Tulizeni kiraro, hii game haihitaji hasira wala kukamiana.
 
Back
Top Bottom