Mwigulu: Wanaosusia vikao vya Bunge wana mpango wa kushusha uchumi wa nchi

Miss Zomboko

JF-Expert Member
May 18, 2014
4,501
9,280
1734444bfad5bb46afc8da7c9b1a1b74

WAZIRI wa Katiba na sheria, Mwigulu Nchemba amesema kitendo cha baadhi ya Wabunge wa Upinzani kususia vikao vya Bunge kwa kuogopa Corona ni ishara ya kutengeneza madaraja na mpango wa kushusha uchumi wa nchi.

Waziri Nchemba amesema hayo jana Bungeni jijini Dodoma wakati akichangia hotuba ya wizara ya Viwanda na Biashara ya makadirio na matumizi kwa mwaka wa fedha,2020/2021 ambapo amewataka Watanzania kuacha kusikiliza miluzi ambayo inapotosha taifa.

Waziri Nchemba amesema Maisha ya Watanzania mara nyingi hayana akiba hivyo kitendo cha watanzania kujifungia ndani bila kufanya kazi kwa tahadhari ya Corona kama wanavyoshauri baadhi ya wabunge wa Upinzani panaweza kutengeneza majanga mengine hivyo wanatakiwa kufuata ushauri uliotolewa na Rais Dkt. John Pombe Magufuli wa kuchapa kazi na kuondoa hofu juu ya Corona na kubainisha kuwa janga halikimbiwi.

Waziri Nchemba ameteuliwa na Rais Dkt. John Pombe Magufuli hivi karibuni kuiongoza Wizara ya Katiba na Sheria tukio lililofanyika Mjini Chato mkoani Geita baada ya aliyekuwa waziri wa Wizara hiyo Dkt. Balozi Augustine Mahiga kufariki Dunia.
 
Naye ameshakula shavu atulie sasa,haoni mawaziri wenzake?Ukishabwabwaja ukaonekana na kupewa shavu tulia,porojo waachie akina kibajaji!

Au umesahau ulivyochekwa ulipotumbuliwa mara ya kwanza,tulia ule matunda ya mdomo wako!Ukishupaza sana shingo,siku yakikukuta utapata aibu na kuchekwa sana!

Wewe ni waziri sasa,hebu shughulika na wizara yako!Kupiga domo kunaweza kukawa kumekupa uteuzi,ila kupiga domo hakutakubakisha kwenye nafasi hiyo!Period!
 
Wachapa kazi ndani ya AC na ma VX. Hata wamarekani wameshamahtukia Trump ambaye anataka kuondoa lockdown huku vifo vikiongezeka.

Kwasababu tu ya personal ego, kwamba uchumi umeharibika chini ya utawala wake!
 
Rais aibadili Wizara ili kukidhi tabia mahsusi za Waziri aliyemteua na iwe WIZARA YA SHERIA, KATIBA na UDAKU kisha ampatie Juliana Shonza kuwa Naibu wake.

Hakika hizo siku zilizobaki za utawala wa CCM zitakuwa burudani sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1734444bfad5bb46afc8da7c9b1a1b74

WAZIRI wa Katiba na sheria, Mwigulu Nchemba amesema kitendo cha baadhi ya Wabunge wa Upinzani kususia vikao vya Bunge kwa kuogopa Corona ni ishara ya kutengeneza madaraja na mpango wa kushusha uchumi wa nchi.

Waziri Nchemba amesema hayo jana Bungeni jijini Dodoma wakati akichangia hotuba ya wizara ya Viwanda na Biashara ya makadirio na matumizi kwa mwaka wa fedha,2020/2021 ambapo amewataka Watanzania kuacha kusikiliza miluzi ambayo inapotosha taifa.

Waziri Nchemba amesema Maisha ya Watanzania mara nyingi hayana akiba hivyo kitendo cha watanzania kujifungia ndani bila kufanya kazi kwa tahadhari ya Corona kama wanavyoshauri baadhi ya wabunge wa Upinzani panaweza kutengeneza majanga mengine hivyo wanatakiwa kufuata ushauri uliotolewa na Rais Dkt. John Pombe Magufuli wa kuchapa kazi na kuondoa hofu juu ya Corona na kubainisha kuwa janga halikimbiwi.

Waziri Nchemba ameteuliwa na Rais Dkt. John Pombe Magufuli hivi karibuni kuiongoza Wizara ya Katiba na Sheria tukio lililofanyika Mjini Chato mkoani Geita baada ya aliyekuwa waziri wa Wizara hiyo Dkt. Balozi Augustine Mahiga kufariki Dunia.

Huu ni wakati muafaka kabisa wa kulipa Fadhila zote zile hasa kwa Kujikomba na Kujipendekeza mno kama Paka wa Mahotelini.
 
Mimi nilifikiri Securty Minister of State ni Gorge Mkuchika sikujua kuwa waziri mpya wa sheria na katiba Mwigulu Nchemba.Kwani warning anayotoa kwa wabunge wapinzani tunaelekea huko.
 
1734444bfad5bb46afc8da7c9b1a1b74

WAZIRI wa Katiba na sheria, Mwigulu Nchemba amesema kitendo cha baadhi ya Wabunge wa Upinzani kususia vikao vya Bunge kwa kuogopa Corona ni ishara ya kutengeneza madaraja na mpango wa kushusha uchumi wa nchi.

Waziri Nchemba amesema hayo jana Bungeni jijini Dodoma wakati akichangia hotuba ya wizara ya Viwanda na Biashara ya makadirio na matumizi kwa mwaka wa fedha,2020/2021 ambapo amewataka Watanzania kuacha kusikiliza miluzi ambayo inapotosha taifa.

Waziri Nchemba amesema Maisha ya Watanzania mara nyingi hayana akiba hivyo kitendo cha watanzania kujifungia ndani bila kufanya kazi kwa tahadhari ya Corona kama wanavyoshauri baadhi ya wabunge wa Upinzani panaweza kutengeneza majanga mengine hivyo wanatakiwa kufuata ushauri uliotolewa na Rais Dkt. John Pombe Magufuli wa kuchapa kazi na kuondoa hofu juu ya Corona na kubainisha kuwa janga halikimbiwi.

Waziri Nchemba ameteuliwa na Rais Dkt. John Pombe Magufuli hivi karibuni kuiongoza Wizara ya Katiba na Sheria tukio lililofanyika Mjini Chato mkoani Geita baada ya aliyekuwa waziri wa Wizara hiyo Dkt. Balozi Augustine Mahiga kufariki Dunia.
Hivi nani wa kumsikiliza mlamba miguu Mwigulu kwa sasa
 
Huyu anaelement zote za martin kadinda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naye ameshakula shavu atulie sasa,haoni mawaziri wenzake?Ukishabwabwaja ukaonekana na kupewa shavu tulia,porojo waachie akina kibajaji!
Au umesahau ulivyochekwa ulipotumbuliwa mara ya kwanza,tulia ule matunda ya mdomo wako!Ukishupaza sana shingo,siku yakikukuta utapata aibu na kuchekwa sana!Wewe ni waziri sasa,hebu shughulika na wizara yako!Kupiga domo kunaweza kukawa kumekupa uteuzi,ila kupiga domo hakutakubakisha kwenye nafasi hiyo!Period!
Kusifu,kuabudu na kuwashughulikia wapinzani ndio kinga pekee ya utumbuzi
 
Back
Top Bottom