morogoro

  1. Mr Dudumizi

    JamiiForums Tanzania Vijumba vilivyopo pembeni ya barabara ya Morogoro Road vinatia aibu na fedheha kwa Watanzania

    Pamoja na kujitahidi kuwa na barabara za kisasa ambazo zinachangia kupendezesha mandhari ya nchi, lkn muonekano huu wa vijumba vilivyochoka pembezoni mwa barabara vinafanya upendezaji huo uwe ni sawa na mtu alievaa nguo nzuri, lkn chini amevaa viatu vichafu na vya kutoboka. Kwa wenzetu mfano...
  2. robinson crusoe

    JamiiForums Tanzania Nani mmiliki wa kiwanda kipya cha Tumbaku ndani ya eneo la wazi Morogoro?

    Tulianza na shopping mall Dodoma, sasa tena ni kiwanda cha Tumbaku. Yasemekama wahusika ni wale wale! Ukiingia mjini Morogoro, umbali kidogo kutoka mzunguko wa Msamvu kuelekea Iringa, unakutana na daraja la reli na pembeni yake unakuta shughuli za ujenzi wa kiwanda kipya cha Tumbaku. Eneo hili...
  3. DeMostAdmired

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maisha ya miaka mitatu, Mtusi na Mnyaturu mkoani Morogoro

    TRUE STORY Hello members nipo hapa kushare true story inayonihusu mimi na mrembo wangu tuliopendana sana na jinsi tulivoishi kwa miaka mi3 morogoro mjini na mpka tulipoishia. Karibuni. Nitakuwa natumia codes za aina tofauti kulingana na ambacho nitatakiwa kuhide na mm nitatumia jina Camavinga...
  4. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Bavicha yaanza semina Mjini Morogoro

    Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba , ile Taasisi bora ya Vijana Barani Africa , ambayo pia inatajwa kushika nafasi ya tatu kwa Ubora Duniani Bavicha , inakutana mkoani Morogoro kwa semina ya kuwaongezea uwezo Wajumbe wake wa Kamati ya Utendaji. Wakati Taasisi hii ambayo ndio Chimbuko la...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Utapeli Mitandaoni wakithiri Morogoro na Rukwa

    Nimesoma Report ya TCRA Nimeona uzembe mkubwa sana unafanywa na serikali za maeneo ya Rukwa na Morogoro, Kwa karibu kila report yao TCRA , mikoa inayoongoza kwa Utapeli ni Rukwa na Morogoro Kuna nini maeneo haya? 1.Wananchi wake hawana elimu nzuri ndio maana wanatapeliwa kirahisi? 2.Vyombo vya...
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania 85% ya Wezi / Matapeli wa Mitandaoni ( Tuma kwa Namba hii ) wanatokea / wako Ifakara Mkoani Morogoro

    "Huwa wanakaa katika Nyumba Moja huku Wake zao wakiwa busy kuwapelekea Vyakula. Na baadhi yao ni Wasomi wakubwa sana tu hadi wana Doctorates ( PhD ) zao" Nukuu hii nimeitoa EFM Radio Asubuhi hii baada ya kumsikia Bwana Innocent Mungi Mkuu wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano Wizara ya Habari na...
  7. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mganga Mfawidhi Zahanati ya Kichangani Morogoro Apongezwa kwa ubunifu wake wa kuboresha Zahanati hiyo

    MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi CCM Wilaya ya Morogoro Mjini, CDE Fikiri Juma, amempongeza Mganga Mfawidhi wa Zahanati ya Kichangani kwa ubunifu wake wa kuboresha Zahanati hiyo. Pongezi hizo amezitoa hivi karibuni Oktoba 2023 katika ziara ya Kamati ya Siasa ya Chama Cha Mapinduzi CCM Wilaya...
  8. Powell Gonzalez

    JamiiForums Tanzania Natafuta shamba la kukodi Morogoro

    Habari za muda huu, Natafuta shamba la kukodi morogoro, ekari Moja au mbili. Liwe maeneo ambapo kilimo Cha umwagiliaji kinaweza kufanyika. Ahsanteni. Keygun Gershom
  9. K

    JamiiForums Tanzania Safari ya treni ya mwendokasi Dar mpaka Morogoro itaanza lini?

    Tuliaminishwa kuwa treni ya mwendo kasi toka Dar mpaka Morogoro ingeanza safari zake tangu 2021 na leo hii ni mwaka 2023 miaka miwili tayari imepita. Kila siku kuna msemo "Mama anupiga mwingi". Kulikoni?.
  10. Faana

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Tetemeko la Ardhi limepita kati ya saa 12:31 - 12:32 mchana

    Nipo mitaa ya 88 mji kasoro bahari mida hii 12:31 - 12:32 Pm limepita tetemeko la ardhi japo kipimo chake hakijajulikana, labda mamlaka husika zitasema. Enjoy your day guys Pia soma: Tetemeko la ardhi 14:57Hrs lapita mkoani Tabora Tetemeko dogo la ardhi limepita Moshi majira ya saa 7:21...
  11. FaizaFoxy

    JamiiForums Tanzania Inspekta wa Polisi Morogoro apewa "Toto" la Kiarabu na Sheikh Kishki

    Katika matukio yasiyo ya kawaida Tanzania mojawapo ni kama hili lililotokea Morogoro. Nakuwachia mwenyewe ujionee nisitie yangu:
  12. S

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wanaosoma Ardhi Institute of Morogoro

    Naomba kuuliza kama kuna mwanafunzi anayesoma Ardhi Institute of Morogoro anifafanulie kuhusu kozi ya Geomatics.
  13. Dr. Zaganza

    JamiiForums Tanzania Nauza Eneo Langu Morogoro Mjini

    Habari wakuu Nauza eneo langu lenye ukubwa wa kari 3 liloko Mkoa wa Morogoro, eneo la Wami Luhindo (km 20 toka msamvu stend, Dodoma road) , Kisha unaingia bara bara ya vumbi na gari km 8 hadi eneo la kiwanja. Eneo liko jirani na kiwanda cha nyama. Bei ya kuanzia kwa ekari ni laki 8 Kwa maswali...
  14. danja de genzo

    JamiiForums Tanzania Fundi wa madishi Morogoro

    Habari upo morogoro na unatafuta fundi Karibu upate mafundi waaminifu huduma tutoazo FUNDI MADISHI FUNDI UMEME FUNDI MAFRIJI Karibu upate huduma za KUFUNGA TV UKUTANI, huduma zote zinazohusu solar, huduma zote za UMEME wa majumbani na viwandani ,huduma za kumtengenezea mafriji yasiyopoza Karibu...
  15. Scaramanga

    JamiiForums Tanzania Kero ya barabara ya Morogoro - Dodoma

    Ndugu zangu TANROAD niwaombe sana mtuonee huruma na vigari vyetu na usalam pia. Kilichofanyika barabara ya Morogoro kwenda Dodoma mbele ya hotel ya Flomi karibu na kituo cha kupozea umeme hapo msamvu ni kero. Zile rasta mlizoweka 6 zinaumiza magari na nimeshuhudia ajali mbili mfululizo...
  16. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Norah Mzeru Aendeleza Mbio za Ujenzi wa Nyumba za Watumishi wa UWT Mkoa wa Morogoro

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Morogoro Mhe. Norah Waziri Mzeru amekabidhi NONDO NA KOKOTO KWA AJILI YA UJENZI WA NYUMBA YA MTUMISHI WA UWT MKOA WA MOROGORO vyenye thamani ya shilingi milioni moja (1,000,000) Sambamba na hilo Mhe. Norah Waziri Mzeru amesema ataendelea kutekeleza Ilani ya Chama...
  17. Mwl.RCT

    JamiiForums Tanzania Morogoro | Ajali ya basi la Abood yawaua wawili , Wengine wajeruhiwa

    WATU wawili wamefariki dunia na wengine wawili kujeruhiwa katika ajali iliyohusisha basi la Kampuni ya Abood na Noah zilizogongana uso kwa uso asubuhi ya leo Septemba 11, 2023 eneo la Kitungu Manispaa ya Morogoro. Ajali hiyo imehusisha basi lenye namba za usajili T904 DKY mali ya Kampuni ya...
  18. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania Mgogoro wa wananchi na wafugaji wa Kimasai utafutiwe suluhu

    Huko Morogoro umetokea mgogoro kati ya wananchi na wamaasai, chanzo cha mgogoro ni wamaasai walipeleka ng'ombe wao mtoni kunywa maji. Maji ya mto husika hutumiwa kwa matumizi ya kila siku majumbani na wakazi wa eneo hilo, ipo sheria inayokataza mifugo kupelekwa ndani ya mto kunywa maji ili...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Utitiri wa Malori umekithiri barabara ya Morogoro, hatua za haraka zahitaji kuchukuliwa, tusisubiri hadi janga litokee

    Ile wikiendi ya sikukuu ya Nane Nane niliendesha gari kutoka Dar hadi Morogoro na kugeuza baada ya siku kadhaa, na Jumamosi ya juzi pia niliendesha kutoka Dar hadi Chalinze, nilichokiona barabarani nyakati zote, wakati wa kwenda na hata wakati wa kurudi, kilinishtua na kunishangaza sana, idadi...
  20. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Norah Mzeru Achangia Mifuko 50 ya Saruji, Matofali 500 na Laki Nne Ujenzi wa Nyumba ya Katibu UWT Morogoro Vijijini

    MBUNGE NORAH MZERU AKABIDHI MIFUKO 50 YA SARUJI, MATOFALI 500 NA TSH. 400,000 KWAAJILI YA UJENZI WA NYUMBA YA KATIBU UWT WILAYA YA MOROGORO VIJIJINI Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Morogoro Mhe. Norah Waziri Mzeru amekabidhi Mifuko 50 ya Saruji, Tofali 500 za Block na fedha kiasi cha Shilingi...
Back
Top Bottom