morogoro

  1. D

    Naomba connection ya mfugaji wa kuku wa mayai anayeweza kuniuzia trey 50-100 kwa wiki Dodoma na Morogoro

    Salaam wana JF, Naombeni connection ya mfugaji wa kuku wa mayai (layers) aliyepo DODOMA au Morogoro anayeweza kuniuzia trey 50 hadi 100 kwa wiki moja tufanye kazi. Nipatieni tu mawasiliano, nitampigia na kumfata popote alipo anipe mzigo kwa gharama zangu. Ahsante
  2. Stephano Mgendanyi

    Nchi ya Uswisi Yajitosa Kutatua Changamoto ya Maji Ulanga Morogoro

    AWESO AAHIDI KUSIMAMA NA SALIM ILI KUMALIZA TATIZO LA MAJI ULANGA Waziri wa Maji Jumaa Aweso(Mb) amemuahidi Mbunge wa Jimbo la Ulanga Mhe.Salim Alaudin Hasham kuwa atatoa ushirikiano wa kina yeye na ofisi yake katika mapambano ya kuhakikisha wilaya ya Ulanga inamaliza Changamoto ya upatikanaji...
  3. Z

    Tahadhari: Morogoro Road eneo la Mlandizi hakupitiki kutokana na ajali

    Kuna bonge la foleni morogoro road,ajali mbaya , zimetokea Kama mbili,fuso imegonga gari kubwa,na fuso nyingine ya nyanya imepinduka bondeni,watu wanazoa nyanya,hizi ajali mlandizi zimezidi Sasa,juzi newforce,Kuna pepo baya
  4. N

    DOKEZO Morogoro: Mahashrey na wafanyabiashara wa ufuta wanavyoshirikiana na wafanyakazi wasio waaminifu kuhujumu mfumo wa stakabadhi ghalani

    Mkoa wa Morogoro ni mmoja wa Mkoa wenye uzalishaji mkubwa wa mazao yakiwemo mazao ya ufuta. Ni takribani miaka mitatu sasa Wizara ya Kilimo, Wizara ya Fedha na Mipango, na Wizara ya Viwanda na Biashara zimekuwa zikitoa maagizo kuwa Ufuta wa Morogoro uuzwe kupitia Stakabadhi za Ghala Ili Mkulima...
  5. Stephano Mgendanyi

    Kamati ya TAMISEMI yaridhishwa na Miradi inayotekelezwa na TARURA Morogoro

    Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Dennis Londo ameupongeza uongozi wa Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) kwa kuwekeza miundombinu yenye tija na maslahi kwa wananchi na Taifa katika kukuza uchumi. Mhe. Londo amesema hayo Juni 24...
  6. Blender

    DOKEZO Shida ya maji mkoani Morogoro

    Nilikuwa kikazi mkoani MOROGORO, nikapita kwa ndungu yangu mafiga iasee, wananchi wa Morogoro municipal wana shida ya maji balaa. Hasa kipindi hiki cha kuelekea maonyesho ya 88 Hali inakuwa mbaya zaidi, kwani maji mengi wanayapeleka kunyeshea kwenye bustani za mazao mbalimbali kwenye eneo hilo...
  7. N

    Zanzibar kuendelea kunufaika na karafuu ya Morogoro, wakatazwa isiuzwe kwa ushindani, Waziri wa Kilimo, viwanda SMZ yuko Morogoro leo

    Juhudi za Mkoa wa Morogoro kuwakwamua wakulima wa karafuu kupata mnunuzi mwenye bei nzuri zimegonga mwamba baada ya kulazimishwa kuwa lazima karafuu inayozalishwa Morogoro basi iuzwe kwa SMZ ili wao wauze nje kwa bei kubwa zaidi. Kwa wasiojua, Morogoro vijijini wanazalisha karafuu nyingi kuliko...
  8. Stephano Mgendanyi

    Barabara ya Nanenane - Tungi Morogoro Kujengwa kwa Kiwango cha Lami

    BARABARA YA NANENANE - TUNGI MOROGORO KUFANYIWA UKARABATI MWAKA MPYA WA FEDHA Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Morogoro, Mhe. Norah Waziri Mzeru katika kipindi cha maswali na majibu Bungeni ameuliza swali Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi juu ya mpango wa Serikali kukarabati barabara mkoani Morogoro...
  9. O

    Ajali ya Harrier na Fuso yadaiwa kuua wawili Morogoro

    Watu wawili wanadhaniwa kufariki na mmoja kujeruhiwa kufuatia ajali iliyohusisha gari dogo aina ya Toyota Harrier lililogongana na lori aina ya Fuso eneo la Melela Mangae wilayani Mvomero mkoani Morogoro. Ajali hiyo ni ya tatu ndani ya siku tatu mkoani hapo, ambapo juzi basi dogo aina ya...
  10. Roving Journalist

    Mkandarasi wa Usafi Kata ya Mbuyuni - Morogoro haonekani, hali ya uchafu ni mbaya mtaani

    Hali ya usafi wa mazingira ilivyo Mkoani Morogoro katika Kata ya Mbuyuni, Mtaa wa Msikiti wa Masai karibu na Muslim University of Morogoro. Mkandarasi wa usafi anaitwa Kajenjere lakini inadaiwa zaidi ya mwezi hajafika eneo husika kukusanya taka, hivyo kusababisha hali kuwa mbaya hadi taka...
  11. Stephano Mgendanyi

    Kiwanda cha Mazava Morogoro Chasisitizwa Kuzingatia Utunzaji wa Mazingira na Usalama wa Mahali pa Kazi

    MBUNGE NORAH MZERU ASISITIZA UTUNZAJI WA MAZINGIRA NA USALAMA MAHALI PA KAZI KIWANDA CHA NGUO CHA MAZAVA MOROGORO Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Morogoro, Mhe. Norah Waziri Mzeru mnamo tarehe 05 Machi, 2023 amefanya ziara na kutembelea Kiwanda cha Uzalishaji Nguo cha Mazava kilichopo katika...
  12. Sildenafil Citrate

    Ajali yaua watano Morogoro na Kujeruhi wengine 10

    Watu watano wamefariki dunia na wengine 20 kujeruhiwa katika eneo la Iyovi baada ya gari aina ya Costa iliyokuwa ikitoka Mbeya kuelekea Dar es Salaam kujaribu kulipita Lori lililokuwa limeharibika njiani na kugongana na Lori jingine lililokuwa likitokea Mikumi. Ajali hiyo imetokea hii leo...
  13. K

    Plot4Sale Viwanja vitatu pamoja vinauzwa (6193 SQM) Morogoro

    Viwanja vitatu vipo pamoja vinauzwa Mkundi - Morogoro. Vilipo: Unaingilia Shule ya Green City ni kama 2KM. Kutoka Mjini mpaka ilipo Green City ni kama 10KM. Kwa hiyo ni kama 12KM kutokea mjini, ukiwa unaelekea Dodoma. Hilo eneo linajulikana kama Nguvu Kazi. Baadhi ya Majirani wameshajenga...
  14. B

    Morogoro: Dereva bodaboda auawa, atobolewa macho

    Dereva wa Bodaboda, Oscar Samuel (36) Mkazi wa Mtaa wa Kilongo B Kata ya Mkundi Manispaa ya Morogoro ameuawa kwa kukatwa mapanga sehemu mbalimbali za mwili wake kisha kutobolewa macho na Watu wasiojulikana. Akiongea na @ayotv_ Mdogo wa marehemu, Huruma Samweli amesema May 31,2023 Oscar...
  15. Superbug

    St peter's seminary/ hanga seminary morogoro 1974.

    Kama kuna mzee mwenzetu aliyeko kwenye hii picture tujuane.
  16. R

    Mkuu wa Wilaya Morogoro sijatumwa na Mwigulu kumuandama Mpina

    Mkuu wa Wilaya ya Morogoro, Rebbeca Sanga yeye hahusiki na mgogoro wa Mpina na wananchi na kwamba hizo tuhuma anazoelekezewa na watanzania mbalimbali kwamba ametumwa na mwigulu ni mambo ya kufikirika. Watu wengi wamemhusisha mkuu huyo wa wilaya na ukaribu wake na Mwigulu kupitia kwa Kaka yake...
  17. vibertz

    LATRA mkoa wa Morogoro simamieni bei elekezi za nauli za usafiri wa umma

    Katika tembea tembea zangu, mkoa wa Morogoro ni moja ya sehemu ambayo mfumo wa nauli haujakaa sawa. Ukipanda daladala za Dar es salaam mfumo wa nauli umekaa vizuri sana na unaeleweka na inaonesha ni wazi kabisa mamlaka zinafatilia juu ya hilo. Mfano gari linatoka Tandika kwenda Mbezi nauli ipo...
  18. SOTI

    Utaratibu wa Chuo cha LITI Morogoro sio sawa kwa watoto maskini

    Ni mara kadhaa Sasa Chuo cha Wizara ya mifugo LITI Morogoro kimekuwa kinawafukuza wanafunzi ambao hawajamalizia ada ya semista ya Pili. Utaratibu huu ni kuwabagua kielimu hasa wanafunzi wanaotoka familia maskini. Watoto hawa wameskika wakimtaja mkuu wa Chuo kuwa kawambia kama hawana ada warudi...
  19. Erythrocyte

    Morogoro: Tundu Lissu awasha moto, ashangaa mabango ya kupatanishwa yaliyobandikwa nchi nzima

    Katika mkutano wake mkubwa wa hadhara wa Morogoro mjini leo hii, ambao bila shaka umevunja rekodi ya mahudhurio, pamoja na mambo mengine, Tundu Lissu anahoji anayebandika mabango nchi nzima yakiwa na picha yake na ya watu wengine kwamba eti wamepatanishwa. Amehojiwa kama wamepatanishwa...
  20. DodomaTZ

    Tembo wanaharibu mazao ya wananchi wa Kijiji Kilosa Mpepo na hakuna msaada

    Sisi wakazi wa Kijiji Kilosa Mpepo, Tarafa ya Ngilangwa, Wilaya Malinyi Mkoa Morogoro tunachangamoto tunaomba msaada wa Serikali. Serikali itusaidie kuhusu Tembo wanatumalizia mazao, kwa usiku mmoja wanaweza kula hekari zaidi ya 15, tumehangaika hadi ofisi za Wilayani, TANAPA wamekuja kama...
Back
Top Bottom