The bump
JF-Expert Member
- Nov 22, 2019
- 1,136
- 1,952
Kama Unaishi Morogoro mjini naomba msaada wako wa hali na mali.
Kuna tangazo la nyumba nimelipost Jana watu wengi wanunuzi wanahitaji Picha, lakini ubaya ni kwamba picha zinashindwa kupatikana kutokana na watu kukosa simu zenye ubora.
Naomba Kama unaishi Morogoro Mjini nisaidie kwenda Kupiga Picha hii nyumba nje, ndani, kulia ubavuni na nyuma.
Kisha unitumie Whatsapp, Nitakulipa 2000 nauli ya utokapo (nitakutumia kabla hujaenda) na ukishapiga Picha Usinitumie mpaka Nikutumie 10,000 iliyobaki ndipo unitumie Picha.
Kazi Hii itaisha nitakapopata tu Picha na huu uzi utakuwa mwisho ni kazi temporary tu sio ya siku zote.
Naomba Tuwasiliane kwa whatsapp/call/sms 0695697796

Nyumba inauzwa Morogoro mjini (kichangani street)
Kichangani huko kulikochangamka huko mkuu au sio wazee wa area 6 wazee wa 8 8 wazee wa mafisa kwa mambi naona unakuja kuja mkuuu wewe utakua umepajua. Mitaa yote uliyotaja huwezi kufika bila kufika kichangani kama utatokea Kilakala au Hospital Kuu ya Morogoro.
www.jamiiforums.com