Natafuta shamba la kununua Shinyanga, Singida, Dodoma, Iringa, Tabora, Morogoro

Mahorii

Member
Jan 26, 2014
71
69
Habari wakuu,

Natafuta shamba kubwa ambalo limeshawai kulimwa au tambarare ambalo litakuwa rahisi kulimwa kwa mikoa niliyo orodhesha hapo juu.
Siitaji shamba ambalo lina miti maana kuondoa miti ni gharama sana.

Natafuta kwanzia heka 100 kwenda juu.

Asante.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom