morogoro

  1. gkileo

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Viwanja vinauzwa Turiani Morogoro

    VIWANJA, VIWANJA. viwanja vinne vikubwa vinavyouzwa katika eneo la Turiani, Morogoro vyote vipo block b karibu na barabara kubwa,Viwanja hivi vina ukubwa wa square meter 1150, 1270, 1149, na 2478, vyote vina hati . Viwanja vimezungukwa na huduma muhimu kama maji, hospitali, na umeme. Viwanja...
  2. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Polisi Morogoro: Kuna ongezeko la Wanafunzi wanaobakana na kulawitiana

    JESHI la Polisi mkoani Morogoro limesema kuna ongezeko la vitendo vya ubakaji na ulawiti vinavyohusisha wanafunzi wenye umri chini ya miaka 18 wanaotendana ukatili huo wanapokuwa shuleni. Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Morogoro, Alex Mkama alibainisha hayo mjini hapo wakati alipochangia mada...
  3. Superbug

    JamiiForums Tanzania Tukumbushane kisa cha mwamba aliyejinyonga kwa bahati mbaya uwanja wa golf Morogoro

    Miaka ya nyuma kidogo kulikuwa na mwamba mmoja mbabe sana pale Morogoro akiitwa Hamisi Kambaya. Yule jamaa Bwana alikuwa ana kawaida ya kumtania demu wake kwamba siku akimzingua atajinyonga. Sasa siku hiyo walikuwa pale uwanja wa golf Morogoro jamaa akamtania tena demu wake leo najinyonga...
  4. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania RPC Morogoro amepewa madaraka makubwa kuliko uwezo wake wa kufikiri

    Morogoro kwasasa si mkoa salama, vitendo vya uporaji kwa kutumia bodaboda vimeongezeka, vikundi vya uhalifu vinasumbua sana katika baadhi ya mitaa na kufanya raia waishi kwa hofu. Cha ajabu jeshi la polisi limeweka jitihada kubwa kupambana na bajaji, yaani ikifika saa 1 jioni, polisi wenye...
  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nimewaonya mapema tu kuwa kamwe msiutumie Uwanja wa Jamhuri Morogoro kama wa Nyumbani, bali tumieni CCM Mkwakwani Tanga mmenipuuza Asanteni

    Sasa naomba kuanzia Kesho tarehe 6 Machi, 2024 na kuendelea tuwe tunahesabu Alama ( Points ) ambazo tutakuwa tunazipata katika Uwanja HATARI KWETU wa CCM Jamhuri Mkoani Morogoro ambako kwa UPUMBAVU WETU ndiyo tumeuchagua rasmi kuwa Uwanja wetu wa Nyumbani kwa Mechi zote za Ligi Kuu ya NBC...
  6. Faana

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Fire na Uokoaji hii Fedheha kwa Wizara Yenu

    Inasikitisha sana kuwa na Askari wanaolipwa mishahara, wamenunuliwa vitendeakazi, wamepewa magari mazuri na serikali lakini wapowapo tu hawafanyi kazi yao. Kuna matukio mawili yanafanana ambayo kikosi hicho kimeshindwa kabisa kuyatendea haki. Mwaka 2022 katika eneo la Kihonda VETA mwanafunzi...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Treni ya mwendokasi ya kutoka Dar mpaka Morogoro mbona bado kizungumkuti?

    Sasa yapata miaka mitatu tangu tuaminishwe kuwa treni ya mwendo kasi toka Dar mpaka Morogoro ingeanza huduma yake lakini mpaka sasa hakuna kinachoendelea. Ninaomba majibu kutoka kwa Mtendaji Mkuu wa TRC. Atoke waziwazi kupitia luninga kuelezea umma ili tufahamu tatizo liko wapi.
  8. O

    JamiiForums Tanzania Ninataka kufanya biashara ya kununua mchele Morogoro

    Ningependa kuanza biasahra ya kuuza zao la mchele. Source ambayo nimependa kuanzia ni Morogoro. Ningependa kuoata ABCs za wapi pa kuanzia kutoja kwa wale wazoefu. Natanguliza shukrani!
  9. kevin strootman

    JamiiForums Tanzania Morogoro Kingilwora pakoje kiuchumi na huduma za jamii?

    Kuna jamaa yangu anataka kuniuzia kiwanja kingulwira Morogoro, Kwa wenyeji wa kule vipi pakoje? Hali ya hewa, huduma za jamii, biashara/kilimo Naomba muongozo
  10. Vincenzo Jr

    JamiiForums Tanzania FT: Yanga SC 5-0 Polisi Tz | ASFC | Azam Complex | 20.02.2024

    🔰𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇𝐃𝐀𝐘🔰 🏆 ASFC ⚽️ Young Africans SC🆚Polisi TZ 📆 20.02.2024 🏟 Azam Complex 🕖 1:00 Usiku Kikosi kinachoanza dhidi ya Polisi Tanzania Mpira umeanza Dakika ya 13 Goaaaaaaaal Guedeeeee Dakika 45+1 Chuma cha piliii Farid Mussa⚽️🙌🏼 Dakika ya 45 niongeza 2 Gwedeeee goli la tatu dakika ya 46...
  11. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge Norah Mzeru Akabidhi Mashuka Yaliyotoka kwa Rais Samia Hospitali ya Gairo na Mafiga Morogoro

    MBUNGE NORAH MZERU AKABIDHI MASHUKA YALIYOTOKA KWA RAIS SAMIA HOSPITALI YA GAIRO NA MAFIGA MKOANI MOROGORO Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Morogoro, Mhe. Norah Waziri Mzeru tarehe 17 Februari, 2024 baada ya Bunge kuhitimishwa amefika Hospitali ya Wilaya ya Gairo na Mafiga zilizopo Mkoa wa...
  12. Kurunzi

    JamiiForums Tanzania Ruvu: Kuna foleni Kubwa Barabara ya Morogoro

    Kuna foleni kubwa sana, magari hayaendi haijulikani ni ajali naona wanajeshi wamekuja kuingilia kati kuongoza magari Kuna muhimu sana kwa Serekali kupanua sasa hii Barabara
  13. Vincenzo Jr

    JamiiForums Tanzania FT: KMC 0-3 Yanga SC | NBC Premier League | Jamhuri Morogoro | 17.02.2024

    NBCPremierLeague ️ KMC SC Vs Yanga SC 17.02.2024 Jamhuri Morogoro 10:00 jioni Kikosi kinachoanza dhidi ya KMC FC Mpira umeanza dakika ya 1 Mudathir anaipatia Yanga SC goli la kwanza Goli la mapema zaidi, limefungwa na Mudathir Yahya akiitanguliza Yanga KMC 0-1 Yanga Dakika ya 10...
  14. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Norah Mzeru ataka kujua hatma ya zahanati ya kata ya Mafisa, Morogoro

    MBUNGE NORAH MZERU ATAKA KUJUA HATMA YA ZAHANATI YA KATA YA MAFISA MKOANI MOROGORO "Je, lini Serikali itamalizia ujenzi wa Zahanati ya Uwanja wa Ndege katika Kata ya Mafisa Mkoani Morogoro?" - Mhe. Norah Waziri Mzeru, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Morogoro "Katika kusogeza huduma za afya kwa...
  15. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri wa Uchukuzi David Kihenzile amefanya Ziara Kutembelea Reli ya Kati Kujionea Hali ya Uharibifu Morogoro

    Naibu Waziri wa Uchukuzi David Kihenzile amefanya ziara kutembelea reli ya kati kujionea hali ya uharibifu uliojitokea baada mvua kunyesha kuanzia January 25 mwaka huu. Mhe. Naibu Waziri akiwa kwenye Kiberenge ameanzia ziara katika eneo la Lukobe Manispaa ya Morogoro, Munisagara na Mzangaza...
  16. Ziroseventytwo

    JamiiForums Tanzania Ni kweli barabara ya Morogoro iliwahi kujengwa kwa kutumia udongo ulioagizwa toka misri?

    Niliwahi kusoma kwenye gazeti la RAI kuwa tuliagiza udongo toka Misri kwa ajili ya ujenzi wa barabara ya Morogoro enzi za Serikali ya mzee Mwinyi. Inadaiwa ni kipande cha kutoka Fire kwenda Kimara. Kuna ukweli kwenye hili?
  17. mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Hadhari: Baadhi ya Barabara Morogoro zimefurika maji

    Mvua zinazoendelea kunyesha nchini zimezidi kuleta athari kubwa kwa wananchi, uchumi na miundombinu. Mamlaka ya hali ya hewa imetangaza uwepo wa mvua mikoa ya Morogoro Iringa, Ruvuma, Songwe, Mbeya na Njombe nk, hivyo kama raia wema ni vyema kupeana taarifa barabara korofi ambazo zimekumbwa na...
  18. E

    JamiiForums Tanzania Chanzo cha Mafuriko Morogoro mjini ni tuta la SGR, mamlaka zishughulikie hili

    Natamani ukweli huu uwafikie wafanya maamuzi. Kampuni ya Kituruki ya Yapi imeinua tuta kubwa na refu kwa ajili ya kupitisha reli ya SGR badala ya nguzo. Kisha wakaweka outlet mbili za kupitishia maji. Matokeo yake tuta limekuwa likiyablock maji kutoka milima ya azimio na Lukobe kusambaa kwenye...
  19. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania Ongezeko la Wazanzibar kumiliki ardhi Matombo Morogoro linatisha

    Kuna siku nilikutana na mkwamo ambao niliripoti hapa baada ya kutaka kununua kiwanja Unguja nikazuiliwa kisa mimi si Mkaazi wa nchi ya Zanzibar. Leo nilikuwa Matombo ama kwa hakika uhamiaji ni kama wamelala maana raia wa nchi ya Zanzibar wamejaa na wanamiliki ardhi. Tangu lini raia wa kigeni...
  20. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Waziri Mhagama Aagiza Huduma za Kijamii Zilizoathiriwa na Mafuriko Morogoro Zirejeshwe

    Waziri Mhagama Aagiza Huduma za Kijamii Zilizoathiriwa na Mafuriko Morogoro Zirejeshwe Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge na Uraribu Mhe. Jenista Mhagama ameagiza kurejeshwa kwa huduma zote za kijamii zilizoharibiwa na maji ya mvua kubwa iliyonyesha Januari 25 2024 Manispaa ya...
Back
Top Bottom