mmoja

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kigogo2014 lazima awe mtu wa maana

    KIGOGO HUWEZA KUWA MTU YEYOTE WA MAANA Kwa Mkono wa, Robert Heriel. Leo katika pitapita zangu mtandaoni niliona Tangazo linalotoa fursa kwa yeyote atakayewezesha kupatikana kwa mtu ajiitaye Kigogo2014 au Kigogo Kigogo basi angepatiwa donge nono. Kufikia hapo macho yakanitoka, si unajua tena...
  2. lee Vladimir cleef

    JamiiForums Tanzania Kwa Mambo anayofanya Rais Samia Suluhu, ukiisha mwezi mmoja tutamsahau kabisa Hayati Magufuli

    Kwa Mambo anayoendelea kuyafanya Rais Samia Sasa hivi,mfano kutokutumia nguvu kukusanya Kodi,kupokea ripoti za CAG zisemazo ukweli,ukaguzi wa BoT na kadhalika. Hakika nakuambieni akiendelea hivi Hadi mwezi mmoja tu ukaisha, tutamsahau kabisa kabisa Hayati Magufuli kwani mama atakuwa amekonga...
  3. Fundi Madirisha

    JamiiForums Tanzania Dkt Mwigulu Madelu Nchemba nampa mwaka mmoja tu kama hajahamishwa au kutumbuliwa Wizara ya fedha na uchumi

    Nimejaribu kuangalia pamoja na teuzi nzuri za Mama yetu Mpendwa Rais Samia Suluhu, lakini kwenye wizara nyeti hii ya fedha haijapata watu sahihi. Ndugu yangu Dkt Mwigulu Nchemba ni msomi lakini siye anayetumia usomi wake katika kuchanganua mambo ya kiuchumi na biashara anazidiwa na Zitto Kabwe...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Kuna kila dalili Samia Suluhu atakuwa Rais wa muhula mmoja pekee, dalili hizo ni hizi...

    Nnilikuwa najiuliza hili swali nikawa sina uhakika, ila kwa sasa kutokana na mambo yanavyoenda inaonekana wazi kuwa huyu mama atakuwa Rais kwa muhula mmoja tu. Kwanza kabisa siasa sio Sayansi, haina exact jibu, upo upande ambao unaweza kutengeneza hoja Samia akawa rais wa vipindi viwili na pia...
  5. JOESKY

    JamiiForums Tanzania Rais Mh. Mama Samia Ukivunja baraza la mawaziri wachunguze kila mmoja

    Asalaam Aleykum ndugu zangu...! Natumaini ni siku nyingine tena tumeamka tukiwa na afya tele Asante nyingi kwake Mola muumba wa mbingu na ardhi. Siku ya leo nina ushauri mfupi kwa Rais Mama Samia atakapolivunja baraza la mawaziri basi anatakiwa amfuatilie waziri mmoja baada ya mwingine katika...
  6. Fundi Madirisha

    JamiiForums Tanzania Tumeudharau ugonjwa wa Corona kwa kukosa Maarifa na itakuwa inaondoa mmoja mmoja?

    Amani iwe kwenu wapendwa katika bwana. Wakati tukiendelea kuomboleza msiba wa Jemedari wetu Dkt Magufuli, tuna kila sababu ya kutafakari sana kama taifa. Haiwezekani tupoteze watu maarufu na wakubwa hapa nchini kwa kipindi kimoja, sababu ya kupoteza hawa viongozi zinatajwa kuwa ni chronic...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Kama anayevumbua anavumbua kitu chema, kizuri kwanini anayetumia anatumia vibaya: Kuna nini hapa?

    Ukiangalia vumbuzi zote Duniani ni njema, nzuri kwa ajili ya kufanya maisha si tu kuwa mepesi bali bora zaidi. Hakuna uvumbuzi ambao umefanyika duniani ambao ni mbaya. Kinachokuwa kibaya ni matumizi ya vumbuzi. Vumbuzi hizi tunaona katika historia kuwa zinafanywa na binadamu. Kuna vumbuzi...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Leo ni mwaka mmoja kamili toka kifo cha Shangazi wetu kilipotokea kwa kutumbuliwa utumishi Serikalini. Inasikitisha

    Huyu Mama alikuwa Afisa Muuguzi Mkunga, mwenye elimu ya stashahada toka KCMC COLLEGE na shahada Muhimbili university. Alifariki akiwa na miaka 58 (miaka 2 kabla ya umri wa kustaafu), kwa shinikizo la damu na heart stroke. Kabla ya kupata maradhi haya alitumbuliwa UTUMISHI wake na serikali...
  9. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Urais TLS waingiwa na siasa za Upande mmoja, makada wajitokeza

    Chama cha wanasheria nchini TLS kinafanya uchaguzi wake mwaka 2021 baada ya kutofanyika 2020 kutokana na wimbi la Covid-19 phase 1. Uchaguzi huo utakaofanyika jijini Arusha {Jiji lililochukiwa zaidi na Marehemu, pamoja na kilimanjaro } utakuwa wa aina yake kwani Makada watatu wa CCM...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Tusijasahaulishe Kimakusudi japo tupo Majonzini, ila Baba wa Taifa Tanzania ni Mmoja tu Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere

    Waliomfuata ni..... Mzee Ali Hassan Mwinyi: Baba wa Mageuzi Tanzania. Hayati Benjamin William Mkapa: Baba wa Uchumi Tanzania. Mzee Jakaya Mrisho Kikwete: Baba wa Mapinduzi ya Kilimo Tanzania. Hayati Dkt. John Pombe Magufuli: Baba wa Utekelezaji wa Miundombinu Tanzania. All - Rounder ( alias...
  11. Mung Chris

    JamiiForums Tanzania Unadhani kila mmoja hapa anawaza nini au anasikitikia nini?

  12. Superbug

    JamiiForums Tanzania Tofauti ya Mr flavor na Burna boy ni ipi au ni mtu mmoja?

    Huyu Burna boy ninani? Au ndio huyo huyo Mr flavor? Mbona wanafanana?
  13. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Ivory Coast, Hamed Bakayoko afariki hospitalini Ujerumani

    Hamed Bakayoko enzi za uhai wake Waziri Mkuu wa Ivory Coast, Hamed Bakayoko, amefariki dunia katika hospitali moja nchini Ujerumani, mamlaka imesema. Bakayoko, aliyekuwa akipata matibabu ya saratani, alifariki dunia Jumatano siku chache tu baada ya kuadhimisha siku yake ya kuzaliwa ya 56...
  14. Geza Ulole

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wahamiaji haramu toka Kenya watiwa mbaroni Tanzania

    Vyombo vya Kamati ya Usalama Wilaya ya Rombo vimewakamata wahamiaji haramu kutoka nchi jirani ya Kenya ambao wameingia Nchini bila kufuata utaratibu kwa maana ya hawakupitia boda iliyo rasmi na hawakuwa na nyaraka zozote za kiuhamiaji Wamekamatwa kupitia msako halali, na imeelezwa walikuwa watu...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Laini moja ya simu inawezekana kumilikiwa na zaidi ya mtu mmoja na kuwa hewani?

    Mara kadhaa kaka akinipigia ananiambia mbona namba yako kuna mtu huwa anapokea.Basi nikawa napuuzia kuwa labda huwa anakosea. Ni line ambayo ina zaidi ya miaka 8 na nimesajili kwa kutumia kitambulisho cha NIDA. Basi juzi juzi jamaa mwingine ananiambia mbona namba yako kuna mtu mwingine anapokea...
  16. Tony254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya ime-deport mzungu mmoja aliyeshiriki vurugu huko Marekani katika Capitol riots ya Jan 6th

    Kuna mzungu mmoja mjinga kwa jina la Isaac Sturgeon alienda kufanya fujo katika Jan 6th capitol insurrection in Washington DC ambapo supporters wa Trump walienda kuzuia Joe Biden kuwa confirmed kama rais wa Marekani. Baada ya kufanya fujo na kushindwa kuzuia Biden kuwa confirmed kama rais mpya...
  17. JOESKY

    JamiiForums Tanzania Jakaya Kikwete aliwezaje kufanya mambo makubwa kwa wakati mmoja?

    Wasaalam ndugu wana jamvi!! Nimefikiri kwa marefu na mapana bila kupata majibu ya baadhi ya maswali yahusuyo utawala wa Dr Jakaya Kikwete enzi za utawala wake. Ni miaka kadhaa imepita sasa toka mzee wetu arudi kijijini kwao Msoga kuendelea na maisha yake ya kawaida baada ya kumaliza muda wake...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli azungumza na wananchi viwanja vya Mnazi Mmoja Dar es Salaam

    Rais Magufuli anazungumza na watanzania kupitia mkutano wake na wananchi wa Dar es salaam. Tukio liko mubashara katika runinga zote Updates; Waziri Bashungwa: Nimesimama hapa mheshimiwa Rais kukushukuru sana kabla ya mkutano huu wa hadhara umetupa heshima ya kuzindua Magic FM Radio pamoja na...
  19. kyagata

    JamiiForums Tanzania Amelala kwangu usiku mmoja tu, tayari ameanza kujisahaulisha chupi zake

    Habari wakuu. Jana nililala na mtoto mmoja wa kike hapa kwangu, asubuhi kulivyokucha akaoga fresh ili awahi kazini kwake ila kilichonishangaza amejidai kusahau chupi yake bafuni, hajanijulisha kama ni lini atarudi kuichukua binafsi nimepanga kuiweka kwenye mfuko ili nimpitishie nyumbani kwake...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Kumtegemea mtu mmoja ni tatizo, ACT Wazalendo inaweza kufa baada ya Maalim Seif kufariki

    Maalim Seif alikuwa ndio nguzo ya CUF na alipohama CUF nayo ikawa imekufa " kimsingi " Maalimu Seif akawa nguzo ya ACT Wazalendo ambayo wabunge wake wote ni wafuasi binafsi wa Seif. Kufariki kwa Maalim Seif kunaweza kuwa ndio mwanzo wa kifo cha ACT Wazalendo pia. Lakini naamini Mwamba Zitto...
Back
Top Bottom