mmoja

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. TASK FORCE

    JamiiForums Tanzania Mshahara mmoja tu wa Luis Jose miqusison unalipa wachezaji wote wa Yanga

    By Mwandishi Wetu More by this Author MAPUTO. MKAZI wa hapa Maputo, Luis Jose amekula maisha nchini Misri. Staa huyo mkubwa kwenye soka la Bongo ambaye ameonekana jijini hapa juzi, ameuzwa na Simba kwa Al Ahly ya Misri. Habari za uhakika kutoka kwa mmoja wa watu wa karibu wa mchezaji huyo...
  2. V

    JamiiForums Tanzania SoC01 Uwekezaji wa Vijiji vya kisasa katika kuchochea ukuaji wa uchumi wa nchi na mtu mmoja mmoja

    Utangulizi Tanzania kiuhalisia bado ni nchi ambayo inategemea uchumi wake kukua kupitia vijiji vyake ambavyo shughuli za watu wake wengi hutegemea kilimo. Mbali na kutegemea kilimo zaidi na shughuli zingine, lakini bado vijiji vingine viko nyuma zaidi katika nyanja za kijamii, kiuchumi na...
  3. MsemajiUkweli

    JamiiForums Tanzania Je, Sabaya kuwa mmoja wa mashahidi kwenye kesi ya Mbowe?

    Kesi ya Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe inavyoenda, kuna uwezekano wa aliyekuwa Mkuu wa wilaya na Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya kuwa ni mmoja wa mashahidi kwa upande wa serikali. Inavyodaiwa kwenye hati ya mashitaka ya Mbowe, wakati...
  4. Mwakitombeo

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kisheria: Mazingira anayolelewa mwanangu wa mwaka mmoja si salama nataka nimchukue

    Mwaka 2019 mwezi wa tano nilibahatika kuzaa na binti mmoja ambae nilimpenda sana ila tulikuja kushindwana baada ya kuwa na tabia za kiswahili na kuwa mtu wa starehe yale maisha yalinishinda tukatengana. Nikawa natoa huduma za mtoto kipindi yupo kwao kitu kilicho nifanya mpaka naandika uzi...
  5. C

    JamiiForums Tanzania Pahala sahihi na watu sahihi ndio watakaotambua thamani yako

    Nimeshawishika kuandika hii baada ya kuona uzi wa ndugu mmoja hivi aliekua akilalamika baada ya watu kumtenga punde tu baada ya kusimamishwa kazi. But unfortunately nimesahau jina lake mnaweza kunisaidia kum tag kwa aliewahi ona uzi wake Mzee mmoja kabla hajafariki dunia, alimpa kijana wake...
  6. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Bariadi: Mama aliyetarajia pacha akabidhiwa mtoto mmoja

    Hali ya sintofahamu imeikumba familia ya Mayenga Nigonzala, mkazi wa kijiji cha Kidinda Wilaya ya Bariadi mkoani Simiyu baada ya mkewe, Zawadi Sayi kuelezwa kujifungua mtoto mmoja, licha ya vipimo na maelezo ya awali ya madaktari kuonyesha alikuwa na ujauzito wa pacha. Sintofahamu hiyo...
  7. konda msafi

    JamiiForums Tanzania Hivi Watanzania kwa nini huwa wanatumia haya maneno mawili kwa wakati mmoja? "Unless otherwise"

    Hivi watanzania ni mwalimu gani aliyewafundisha kingereza cha kutumia haya maneno kwa wakati mmoja? "Unless otherwise". Watanzania wengi sana wanapoongea huwa wanayatumia haya maneno kwa wakati mmoja. Huwa najiuliza inakuwaje watanzania wengi kiasi hiki wanatumia haya maneno kwa wakati mmoja...
  8. kavulata

    JamiiForums Tanzania Hakuna mwanaume mwenye mwanamke mmoja, mama usijidanganye

    Haijalishi kuwa wewe ni dini gani, kabila gani, una kazi gani na cheo gani hapa duniani, mfumo wa uzazi wa mwanaume unafanana Na mifumo ya uzazi ya wanaume wengine wa viumbe vingine, hasa wale wenye uti wa mgongo (vertebrate) Na wanaonyonyesha (mamalia). Viumbe walioko kwenye kundi hili wanaume...
  9. Mkaruka

    JamiiForums Tanzania Ya Mdude Chadema yamenikumbusha kauli ya babu mmoja "Unamhurumia mtu, yeye mwenyewe amekwambia anajihurumia"?

    Honestly, kila binadamu mwenye utu ukiona jambo baya na la uonevu linamtokea mtu hujisikii vizuri. Huyu kada wa Chadema naweza kusema, yupo tu kwenye siasa ila hazijui vizuri. Siasa za nchi hii, ukizifanya kwa mihemko huwezi kupiga hatua. Kwanza hao unaodhani uko nao kwenye mapambano wengi...
  10. TheDreamer Thebeliever

    JamiiForums Tanzania Haiwezekani askari mmoja alinde watu 2000, polisi wapewe kibali cha kuajiri

    Habari wanabodi..! Kwa sasa inaonyesha kila idara ya Serikali kuna upungufu wa watumishi.Moja ya kitengo nyeti sana ni jeshi la polisi ni muda sasa sijaona Tangazo la ajira za polisi zikitangazwa. Najua kutokana na protocal za kazi zao hawa jamaa sidhani kama wanaweza kulalamika kwamba tuna...
  11. TheDreamer Thebeliever

    JamiiForums Tanzania Kudai katiba mpya sasa hivi ni sawa na kuchenji buku kwa njaa ya usiku mmoja wakati haujui kesho yako itakuwaje?

    Habari wanabodi! Nilikuwa nashauri kwamba kwa sasa tumpe nafasi mama akuze uchumi maana uchumi wetu kiukweli ulipo si pazuri ukilinganisha na huko nyuma tulipotoka kabla ya hili janga la uviko. Taifa kama taifa linapitia katika kipindi kigumu sana, na hii katiba tunayolilia ni kama njaa ya...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Haya ni mataifa matano ambayo mwanamke anaweza kuolewa na wanaume zaidi ya mmoja

    Haya ni mataifa matano ambayo mwanamke anaweza kuolewa na wanaume zaidi na mmoja By bbc CHANZO CHA PICHA,THE WHISTLER Umewahi kufikiria kuwa na mume mwenza katika ndoa? Swali hili ni kwa wanaume, lakini kwa wanawake umewahi kufikiria kuolewana wanaume wawili? Au Unakumbuka tukio la mkazi...
  13. SONGOKA

    JamiiForums Tanzania Tanzania na China: Kwanini tunajadili mkataba mmoja tu kati ya 17 iliyosainiwa?

    Wana bodi nikiri ni miaka mingi nimepotea humu. Wale mlionimiss mniwie radhi. Mods pia acha kuunganisha uzi wangu na mingine isiyohusiana na maswala haya nayoyaongelea. Turudi kwenye Mada: Siku ya tarehe 24 March 2013 (Jumapili) Rais Xi Jinping aliwasili nchini Tanzania akitokea Urusi...
  14. JERUSALEM 2006

    JamiiForums Tanzania Rais Samia chagua upande wa Haki au Dhuluma, huwezi kwenda na vyote

    Haujambo mwana JF mwenzangu wa jukwaa letu pendwa la siasa. Ni matumaini yangu unaendelea kupigana vizuri na changamoto za maisha hasa kwenye uchumi huu ulio dorora kutokana na changamoto za UVIKO. Pambana mwana jamvi, usikate tamaa, maisha ni kuishi kwa matumaini kila iitwayo leo mpaka pale...
  15. msovero

    JamiiForums Tanzania Mtu mmoja kaajiriwa mara mbili ajira za ualimu

    Sio kila anayekosa nafasi kwamba hana vigezo muda mwingine kuna chagizwa na mambo kama haya
  16. Planett

    JamiiForums Tanzania Indonesia: Miji yazawadia wananchi kuku kwa wanaopata chanjo

    Habari wakuu, Huko nchini Indonesia katika mji wa Cipanas wamebuni mbinu ya kuwashawishi wazee (watu wenye umri mkubwa) wabishi wasiotaka kupokea chanjo ya COVID 19 kwa kuwazawadia kuku mmoja pale watakapokubali kuchanjwa chanjo hiyo. Mbinu hiyo imezaa matunda kwani wazee wengi wamejitokeza...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Napendekeza tuwe na Mbunge mmoja tu kila mkoa. Halafu walipwe 50M kwa mwezi.

    Sioni sababu ya kuwa na wabunge 393 ktk nchi maskini kama hii. Halafu tija yao mm binafsi siioni kabisa japo ni wengi kiasi hicho. Kwann tusiwe na mbunge mmoja tu toka kila mkoa? Huyu awe anahushuria vikao vya RCC na kupokea mihutasari ya vikao vya madiwani toka halmashauri zote ktk mkoa husika...
  18. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania KCMC Yaruhusu mtu mmoja tu kumuona mgonjwa

    Uongozi wa Hospitali ya KCMC umetoa taarifa ya kuruhusu mtu mmoja tu kumuona mgonjwa ambaye atakuwa amelazwa hospitalini ambao watakuwa na vitambulisho maalum Aidha wagonjwa wanaoenda klini au kuanzamatibabu wametakiwa kwenda peke yao au kuwa na ndugu mmoja iwapo watakuwa wamezidiwa
  19. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Arusha: Mtoto anyongwa na Mfanyakazi wa ndani

    Mtoto wa mwaka mmoja, Tifan Osward wa Olasiti Arusha amenyongwa na msaidizi wa kazi za ndani aliyeajiriwa miezi miwili iliyopita. Msaidizi huyo ambaye ametokea Mkoa wa Mara aliajiriwa na wazazi wa mtoto huyo miezi miwili iliyopita. ACP Justine Masejo, Kamanda wa Polisi Arusha amesema tukio...
  20. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Sababu ya mwanamke kuzaa watoto zaidi ya watatu kwa wakati mmoja yatajwa

    Mwanamke wa Afrika Kusini , Gosiame Thamara Sithole amejifungua watoto 10 na kuvunja rekodi ya kuzaa watoto wengi. Mara nyingi huwa ni matokeo ya kufanya tiba ya uzazi - lakini wapenzi hawa wanasema wao walitumia njia ya asili kupata mimba. Teboho Tsotetsi, mume wa mwanamke huyo mwenye miaka 37...
Back
Top Bottom