Katavi. Katarina Zebedayo (38) mkazi wa kijiji cha Kabanga Halmashauri ya wilaya ya Tanganyika amefariki dunia huku watu wengine wanane wakilazwa baada ya kula nyama ya mzoga wa nguruwe pori.
Akizungumza leo Jumamosi Desemba 12, 2020 kamanda wa polisi Mkoa wa Katavi, Benjamin Kuzaga amesema...
Nilifanikiwa kufatilia tukio la uapishaji wa mawaziri na wa kwanza ambae zoezi hili halikumuendea vyema ni Bi. Mwanaidi Ali Hamisi kwenye nafasi ya Naibu Waziri wa Fedha ambaye kiapo husika alikirejea mara tatu kwa maelezo ya Balozi Kijazi, Mara zote hizo Rais Magufuli alimvumilia mpaka...
Wanabodi
The much anticipated annual listing of the 100 Most Influential Africans of 2020 published by the continent’s premier pan-African publication, London-based New African magazine imetangazwa leo.
List hiyo iliyogawanywa katika mafungu manne, four categories of Leaders; Pathfinders...
Tangu miaka ya zamani tuliaminishwa hivyo"
Kwamba karo la choo likiwa na kinyesi liwauwezo wa kuzalisha Megawatt za kutosha!
Sijui kwanini hadi Leo wanasayansi wapo kimya!
Yamkini tungekuwa na STIEGLERS ndogo ndogo kila mtaa!
Nimeangalia kwa umakini baraza jipya la mawaziri sijaona hata jina moja la kutoka Zanzibar.
Tunaenzi vipi muungano wetu?
Labda aliyeteua ana majibu sahihi lakini kwa afya ya muungano naona kama hii sio sawa.
Mawaziri wote ni kutoka Tanganyika wakati Baraza ni la muungano
Ina maana wajumbe...
Mwalimu Mwakasege amelitangazia taifa kwamba Huduma yake ya Injili inajenga ukumbi wa kisasa jijini Dodoma.
Mwakasege amesema ukumbi huo utachukua watu 13,000 kwa wakati mmoja na utatoa Huduma kwa saa 24 katika siku zote za wiki hivyo watu wote wenye mapenzi mema watakaribishwa kuikaribia...
Kampuni ya New Habari imetangaza kusitisha utoaji wa magazeti yake kuanzia Jumatatu ijayo kutokana na mwenendo mbaya wa biashara.
========
NEW HABARI YASITISHA UZALISHAJI MAGAZETI
KAMPUNI ya New Habari 2006 LTD inayozalisha magazeti ya Mtanzania, Rai, Bingwa na Dimba imetangaza kusitisha...
Tulidanganywa kuwa anafanya service ya week mbili kumbe anakusanya virago vyake aondoke uwekezaji bongo umemshinda.
=====
Mahakama Kuu imezuia kufungwa kwa Kiwanda cha Dangote Cement Limited ambacho mdeni wake aliomba kifungwe.
Kampuni ya NSK Oil and Gas Limited ilitaka Kiwanda cha Dangote...
Baada ya Rais Magufuli kumteua Humphrey Polepole kuwa Mbunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, nafasi yake ya Katibu Itikadi na Uenezi ndani ya CCM ni rasmi sasa uko wazi kwani mheshimiwa Rais alishaweka utaratibu wake kwamba viongozi hawawezi kuvaa kofia mbili katika uongozi.
Taarifa...
Wakuu salamu kwenu. Siku nyingi sijaandika ila leo nitauliza swali dogo tu.
CHADEMA wanasema hawajapeleka majina NEC lakini wabunge wameapishwa juzi. Baada ya uapisho na CHADEMA kupitia kwa Katibu Mkuu kuwakana wabunge wale sijasikia kituo cha redio, televisheni au gazeti zikiwahoji wahusika...
The Tanzanian government has withdrawn the right of individuals and NGOs to directly file cases against it at the Arusha-based African Court on Human and Peoples’ Rights, Amnesty International has established.
This withdrawal of rights will rob people and organisations in Tanzania a vital...
Ndugu zangu kuna maisha baada ya maisha haya, na kila mmoja wetu atasimama mbele ya kiti cha hukumu cha Mungu. Asilimia kubwa ya Watanzania ni wacha Mungu, ndio maana naomba sana tujibu swali hili kutoka kwenye vina vya mioyo yetu.
CCM ina watu wanaomcha Mungu na wengine ni Maaskofu Wachungaji...
PROFESA PALAMAGAMBA KABUDI, ANAKAA KWENYE MZANI MMOJA NA DAKTARI NAMDI AZIKIWE, KWAME NKRUMAH, JULIUS NYERERE, W.E.B.DUBOIS, GEORGE PADMORE, MARCUS GARVEY, PATRICE LUMUMBA NA JOHN MAGUFULI.
Leo 14:35hrs 22/11/2020
Awa ni Viongozi Mashuhuri waliobeba wazo turufu la Pan Africanism mioyoni...
Rais Hussein Mwinyi afuata nyayo za John Pombe Magufuli, ameshtukiza ziara ya hospitali ya mnazi mmoja Zanzibar na kukutana na madudu. Asema pesa ipo lakini huduma ni mbovu, aahidi kushughulikia wahusika.
Ametengua uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Afya katika Wizara ya Afya, Dkt. Jamala Adam Taib...
Ndio usishangae jamaa alijilipa mafao.. !!
Kuna mwana alikua anafanya Kazi halmashauri fulani hivi mwaka 2016 alibahatika kupata scholarship kwenda ulaya kusoma masters.
Sasa ofisini (serikalini/halmashauri) walimbania ruhusa akaamua kuacha kazi ila kabla hajaacha alijiuliza na kufatilia mafao...
Hesabu hii imenipiga chenga kujua NEC imetumia uwiano gani katika utoaji wa wabunge wa viti maalum kwa Chadema kupewa "offer" ya kupeleka wabunge Wa viti maalum 19 wakati CCM iliyojizolea viti 262, karibia ya viti vyote vya ubunge nchini, iweze kupata viti maalum 94?
Kuuliza siyo ujinga...
"Kwa jinsi ninavyocheza kama nikibahatika Kucheza pamoja na Wachezaji kama Chama, Mkude, Morisson, Dilunga, Miquissone, Morisson na Kipa bora Tanzania Manula Kazi yangu itakuwa nzuri na rahisi kwani ni Wachezaji ambao nawapenda, nawatamani na bahati mbaya sana nilipo sasa sijaona wa...
Wiki chache zimepita Tanzania imemaliza kufanya uchaguzi wake mkuu ambao umegubikwa na changamoto mbalimbali zikiwemo za wananchi kuumizwa na wengine kuuwawa kutokana na madhira ya kampeni zilizolindima kwa miezi kadhaa hapo nyuma.
Tulishuhudia vikosi vya ulinzi wa mipaka ya nchi vikipita...
Nipashe Online
Diwani mteule wa Kata ya Kikongo (CCM) Wilaya ya Kibaha, Fatuma Ngozi amefariki dunia na wajukuu wake wawili usiku wa kuamkia leo baada ya nyumba yake kuchomwa moto na watu wasiojulikana.
HabariLeo Online
DIWANI MTEULE AFARIKI KWA MOTO KIBAHA
Diwani Mteule wa Kata ya Kikongo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.