mmoja

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Kwanini chaguzi hizi zina muelekeo mmoja?

    Wiki chache zimepita Tanzania imemaliza kufanya uchaguzi wake mkuu ambao umegubikwa na changamoto mbalimbali zikiwemo za wananchi kuumizwa na wengine kuuwawa kutokana na madhira ya kampeni zilizolindima kwa miezi kadhaa hapo nyuma. Tulishuhudia vikosi vya ulinzi wa mipaka ya nchi vikipita...
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Je, aliyetoa 'Taarifa' hii ya 'Majonzi' kwa Vyombo hivi 'Viwili' vya Habari alikuwa ni Mtu Mmoja tu au wapo wengi?

    Nipashe Online Diwani mteule wa Kata ya Kikongo (CCM) Wilaya ya Kibaha, Fatuma Ngozi amefariki dunia na wajukuu wake wawili usiku wa kuamkia leo baada ya nyumba yake kuchomwa moto na watu wasiojulikana. HabariLeo Online DIWANI MTEULE AFARIKI KWA MOTO KIBAHA Diwani Mteule wa Kata ya Kikongo...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Wanyonge wenzangu, bei ya Saruji huko kwenu ipo vipi?

    Wanyonge wenzangu huko mkoa uliopo bei ya cement ikoje? Mimi huku nilipo Cement ya dangote 23000/mfuko na twiga ni 25000/mfuko. Bei ya Dangote kutoka 18500 mkapa 23000. Mnyonge mnyongeni lakini mnyonge kabisa. Soma: Serikali iruhusu kuingiza saruji kutoka nje ==== Bei saruji haishikiki 09 NOV...
  4. The Palm Tree

    JamiiForums Tanzania Ushauri wangu kwa CHADEMA na mbunge wao mmoja wa jimbo (Aida Khenan - Nkasi - Rukwa) na wale wa viti maalumu + madiwani

    Honestly, hata mimi ningekuwa kwenye nafasi ya CHADEMA, ningepata shida sana kuamua hatima ya mbunge Aida Khenan na madiwani wake 10 na wengine watano toka maeneo mengine ambao "inadhaniwa walishinda".. Natumia kauli ya " inadhaniwa walishinda", kwa maana nzuri kabisa.. Magufuli na CCM pamoja...
  5. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania 2020 GEORGIA BANK ROBBERY: Mtu mmoja (inasemekana ni mwanajeshi muasi) anawezaje kuwachukua mateka watu zaidi ya 40 kwa wakati mmoja bila kizingiti?

    Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Eti ndugu zangu watanzania; Mtu mmoja (inasemekana ni mwanajeshi muasi) anawezaje kuwachukua mateka watu zaidi ya 40 kwa wakati mmoja bila kizingiti? Polisi katika jamhuri ya zamani ya Soviet ya Georgia walikuwa wakimtafuta jambazi wa benki...
  6. Mao Tanzania

    JamiiForums Tanzania Pendekezo: Tanzania tuwe na ufalme, tuteue ukoo mmoja!

    Za pilika ! Nimekuwa nikifuatilia michakato ya Uchaguzi ya vyama vingi toka 1995. Mimi ni mdau wa "utulivu" yaani tuwe na jamii tulivu. Kwanini naongelea UTULIVU? . Utulivu ndo hasa kitu pekee halisi kinachoweza kuwepo katika kundi la binadamu wanao kaa/Ishi pamoja. Kiasili hakuna usawa wa...
  7. U

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kwanini nitasikitika na kufurahi kwa pamoja wapinzani wa kweli wakikosa mbunge hata mmoja?

    Kwanza nitasikitika kwasababu naipenda nchi yangu hivyo Kama mzalendo na agent wa maendeleo siwezi kufurahi kuona nchi yangu inadumaa kwa kukosa mawazo mbadala. Pili nitafurahi wapinzani makini wakikosa wabunge ambao miaka yote ndio wamekuwa wasemaji wakubwa wa shida za wananchi lakini wananchi...
  8. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Maalim Seif atikisa Zanzibar, Mnazi mmoja yajaza watu

    Mkutano wa kampeni wa Jabali Maalim Seif Kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja umehudhuriwa na Umati mkubwa wa watu pengine kuliko mkutano wowote uliowahi kufanyika Zanzibar tangu mfumo wa vyama vingi uanze . Ushahidi huu hapa
  9. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kwa mara ya kwanza CCM wamefanya kampeni kinyonge na bila agenda za chama bali agenda za mtu mmoja

    CCM mwaka huu wameonyesha walilala zaidi ya wapinzani kipindi chote siasa zilipokatazwa. Awakujipanga kuanzia juu Hadi kwenye tawi na kibaya zaidi hata UCHAGUZI wa serikali ya mtaa awakufanya bali waliteuana na walioteuliwa awakuwa chaguo la wananchi hivyo walijitengenezea kukataliwa toka ngazi...
  10. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Maana ya maendeleo ya nchi yaanzia kwa mtu mmoja mmoja

    Maendeleo ya nchi yanaanzia kwa mtu mmoja mmoja. Elimu, afya, dini, mila, ajira, mazingira anayoishi, na upatikanaji wa habari. Elimu ina beba mwongozo mzito katika haya mengine kwani elimu nzuri itamsaidia mtu kupata ajira nzuri, kuwa na uwelewa wa kutunza afya yake, kuboresha mazingira...
Back
Top Bottom