Unadhani kila mmoja hapa anawaza nini au anasikitikia nini?

Mung Chris

JF-Expert Member
Sep 12, 2017
3,367
3,778
MAG.png
 
Dah..
Maisha haya bwana...Yan hao watu hawalali kwa raha daily kisa???Tanzania iwe salama.
Wakat ma great thnker mnakoroma tu af mkishtuka mnakimbilia mitandaoni mnaanza kuwashushia mvua za matus 😂😂😂 plus kuwafundisha kazi zao zinafanywaje ..yan wkae kufuata job description zenu 😆😆😆
 
Mwanajeshi ni mwanajeshi tu.
Cheki pozi la Mabeyo alivyo stand by.
Diwani kafunga mikono.
Tata Mura kaweka mikono nyuma kabisa.
 
Back
Top Bottom