mmoja

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Hivi kitaalamu ipo vipi kuhusu madalali kuchukua pesa ya mwezi mmoja ya kodi

    Hivi kitaalamu ipo vipi kuhusu madalali kuchukua pesa ya mwezi mmoja ya kodi
  2. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Mmoja afariki kwenye msafara wa Rais Ghana

    ACCRA, Ghana - Mtu mmoja amefariki na wengine kujeruhiwa vibaya baada ya msafara wa Rais Akufo-Addo kupata ajali, akirejea Ikulu ya Accra baada ya kushiriki mazishi ya aliyekuwa Mbunge wa Ejisu John Kumah. Ajali hiyo ilitokea katika eneo la Makutano ya Bunso, Mkoa wa Mashariki. Taarifa ya Jeshi...
  3. instagramer

    JamiiForums Tanzania Nani ni maarufu sana eneo unaloishi? Nini chanzo cha umaarufu wake?

    Katika Kila mtaa hua Kuna mtu mmoja ke au me anakua na umaarufu Mkubwa Sana na nguvu ya ushawishi either kwa mabaya au mazuri. Anaweza kua mcheza mpira, kibaka, Malaya, bondia, mwanasiasa, mfanyabiashara, tapeli, mchawi au vyovyote vile. Mi naanza na huyu.. Hapa Nyakato bana Kuna jamaa mmoja...
  4. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Ndani ya mwaka mmoja Watoto 225,003 wanaolelewa Vituoni wameongezeka Tanzania

    Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum imesema hadi kufikia Aprili 2024, kulikuwa na Vituo 3,862 Vilivyosajiliwa kwa Kulelea Watoto 397,935 (Wakiume 175,517 & Wakike 222,418) na Vituo 206 vya Kijamii vyenye Watoto 11,675 Idadi hiyo ni ongezeko la Watoto 225,003 sawa na...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mhimili mmoja umeweka roboti, mihimili mwingine mnasubiri nini?

    Kuna lidude limewekwa bungeni nimeona hata wabunge wenyewe wanashangaa. Zaidi ya upigaji kwa aliyelileta je roboti lile MDEBWEDO linamanufaa gani kwa bunge? Kama manufaa yapo basi Serikali iwekwe roboti Ikulu na mhimili wa mahakama uweke lakwake Mhimili wakusimamia rasilimali za nchi umekua...
  6. Z

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi 194 Momba wapewa mimba ndani ya mwezi mmoja: kazi iendelee

    Mwanadamu ukimpa uhuru uliyopitiliza matokeo yake ndiyo haya.imagine mtoto wako katiwa mimba Ili baadaye akijifungua akuachie kijukuu na kurudi shuleni!! Kwa sababu tumekubariana tuwape uhuru wa kubeba mimba na kurudi mashuleni ,naomba pia tuwape uhuru wa kutumia Kinga dhabiti wasibebe mimba...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Nashindwa kabisa kurudia tendo kwa mwanamke mmoja; lakini wakiwa tofauti naweza kwenda hadi mara nne. Nina tatizo?!!!

    Habarini wakuu! Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu. Nina changamoto hiyo; siwezi kamwe kurudia tendo nikiwa na mwanamke mmoja......yaani nakuwa mtu wa bao moja tu chali hata nifanye au anifanyie nini mwanamke. Yupo aliyenipenda na kutumia usiku mzima kunijaribu kwa kila hali ikiwemo kuloweka...
  8. Engager

    JamiiForums Tanzania Kwani hii Nchi haina Lejendari hata mmoja wa soka apewe jina la uwanja?

    Viwanja vyote vya soka hapa kwetu vilivyopewa majina ya watu ni majina ya wanasiasa tu. Benjamini mkapa Ali Hassan Mwinyi Sokoine Amri Abeid Karume.....etc, nasasa uwanja unajengwa Arusha, hata mkandarasi hajaingia kazini tayari umeshaitwa Samia. Wanasiasa mbona mnakuwa wabinafsi hivo aisee...
  9. Mr Dudumizi

    JamiiForums Tanzania Lengo la Lissu ni kuua ndege wawili kwa wakati mmoja. Wenye akili tumemuelewa, ila wasio na akili hawajamuelewa

    Habari zenu wanaJF wenzangu, Baada ya kufuatilia kwa makini vile vinavyozungumziwa na makamu mwenyekiti wa Chadema mhe Tundu Lisu, nimegundua kwamba jamaa amejipanga kujaribu kuuwa ndege wawili kwa wakati mmoja ili aweze kufanikiwa lengo lake la muda mrefu, japo inaonekana wazi kuwa kwa aina ya...
  10. Teslarati

    JamiiForums Tanzania Wadada acheni kupandikiza mashepu na lips za bei rahisi, nimemuona mmoja ninayemfahamu hapa Sinza kawa kituko kabisa

    Huyu binti alikua mzuri, akapotea kama miezi mitatu hivi akarudi na tako kubwa tu na lips pana. Mimi sikuwa na hiyana nikamuita nimchangie gharama alizotumia huko (malegend tutaelewa) Sasa imepita miezi miwili toka nionane nae, leo nimemuona kaumuka yaan ile kama kavimba vimba hivi. Kawa kama...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Binadamu tunalazimisha kuwa na mwenzi mmoja?

    Salaam wandugu, Kumekuwa na malalamiko mengi sana yatokanayo na mambo ya mahusiano,uchumba na ndoa. Malalamiko haya mara nyingi yamesababishwa na kitu kinachoitwa UAMINIFU. Mwanaume anataka mke awe wakwake peke yake na mwanamke anataka mume awe wakwake peke yake. Sasa hayo yameshindikans...
  12. Selemani Sele

    JamiiForums Tanzania Kama ungekua na uwezo wa kurudisha nyuma muda manzi mmoja uliepiga na unajutia. Angekua anaitwaje?

    Kuna ule.muda unakaa peke yako unasema najuta kufanya ngono na yule demu natamani muda urudi nyuma ili lisitokee. Kwa mimi ni Aneth mshenzi alinipa gono na uti sugu Nilikuwa nalia kama mtoto kudadeki. Wewe je ni yupi huyo unajutia .
  13. THE FIRST BORN

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mashabiki na Wachambuzi wote wanaamini kua hizi team haziwez kua bora kwa wakati mmoja?

    Habari mwanajukwaa la michezo, Leo katika tafakuri zangu nimewaza kitu ambacho kwa asilimia kubwa ukikifatilia kinaongelewa sana kama sio sasa basi hata hapo nyuma kilikua kinasemwa sana. Kwa saiv No ubishi Yanga ana enjoy sana yupo kwatika Level ya peke ake kabisa, ambayo wamekua wakiitamani...
  14. TUMA TANZANIA 1

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu, sisi sote baba yetu mmoja

    Habari kiongozi unasoma post hii naandika nikiwa na maumivu makali mno ya moyo maana najiuliza baba yetu alikosea kutuachia Mali? maana tunawaua watoto wetu, wadogo zetu na ndugu zetu kisa tunataka Mali waliyonayo hii ni sawa ama ni haki? Mwaka mmoja sasa tangu nimekuwa na rafiki toka kongo...
  15. Rule L

    JamiiForums Tanzania Miaka mitatu ya mateso ya Simba utadhani ni muongo mmoja umepita

    Kuna mtu aliwahi kunipa stori za maisha yake akiwa na pesa na akiwa hana. Alinambia kua wakati yeye yuko fiti kiuchumi alikua anawashangaa wanaolalamika kwamba maisha magumu hawana chochote. Baada ya miaka kadhaa nayeye akafulia, Sasa kwake ilikua ni hatari akawa anajiuliza kwamba hivi hata...
  16. Sharo empress

    JamiiForums Tanzania Mpangilio mzuri wa bidhaa zako utakuongezea mteja mpya mmoja kila siku

    Vutia wateja wengi kwa kuboresha mpangilio wa bidhaa zako....... kwa shelves bora na za kisasa kutoka kwetu, Una jiuliza bei yake ni ngapi? Sasa, Gharama ya double shelves ni 550,000/= ( Bila vat ), Ukilipia 600,000/= unapatiwa na risti yake....... Single shelve yenyewe bei yake ni...
  17. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Ndoa ya mke mmoja ni mpango wa shetani tusiache uzinzi?

    Nauliza kwa upole, tujadiliane bila jazba. Sidhani kama kuna mwanaume mwenye mpenzi au mke mmoja tu. Katika marafiki zangu milioni moja huyo mtu hayupo, labda useme huko hali ipoje. Nimejaribu tu kuwaza, labda ni mpango wa shetani kuchomekea hii itikadi. Alichomekea akijua huu mtego hawa...
  18. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Pongezi za Miaka 60 ya Muungano: Twende Kwenye Muungano Kamili wa Ukweli wa Nchi Moja, Serikali Moja na Rais Mmoja? Kero Zote za Muungano Zitayeyuka!

    Wanabodi, Loe nchi yetu tumeadhimisha miaka 60 ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar, na kuwa nchi moja ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Muungano wetu ni muungano adimu na muungano adhimu, kwasababu hapa duniani hakuna muungano mwingine wowote kama huu muungano wetu. Ni muungano wa nchi...
  19. T

    JamiiForums Tanzania Kwanini mwanaume mwenye wake wengi halali nao sehemu moja?

    wakuu wasaalamu. Kama kichwa cha Habari kinavyosema. Nimeona wanaume wengi sana wenye wake zaidi ya mmoja, Lakini kitu kinachonishangaza Hawa wanaume utakuta Mke mkubwa anaishi wilaya hii mwingine wilaya nyingine, au wilaya moja lakini mbali mbali! Na kabla hajaoa alimtaarifu Mke wake...
  20. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Takwimu: Mtu mmoja anakunywa pombe lita 10.4

    WAZIRI wa Afya, Ummy Mwalimu amesema takwimu zinaonesha kuwa wanywaji wa pombe wameongezeka nchini hali inayofanya kuanza uhamasishaji wa kupunguza unywaji wa pombe. Takwimu alizotoa zinaonesha kuwa mtu mmoja anakunywa lita 10.4 kwa mwaka ambapo awali mtu mmoja alikuwa anakunywa lita 9.1...
Back
Top Bottom