Chui kala mbuzi 31 wa mzee mstaafu, serikali imelipa Tsh 25,000 kwa kila mbuzi. Hii sio sawa

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,153
Mnaowekeza mifugo ukoo maeneo ya mbugani. Vijijini mjipange bora mnunue mbwaa muanze kuuzaa

Leo naangalia TV mwananchi kaliwa mbuzi zake na chui mmoja

Serikali wakaja kumkamata wakamrudisha alipotoroka

Mwenyee mbuzii anaulizwaa anambiwaa 25000 ndioo malipo stahili kila mbuzii jamani angalieni upyaaa hizi sheriaa tusiangalie ndoaa za utotoni tu

Anasemaa amenunua 110,000 kila mbuzi wake wa maziwa

Huyu baba kamaliza muda wakazi kawekaa mafaoo yakee kwenye mifugoo leooo jamani mnamliza hivi.

Kamandaa wa wanyapori angalieni hizi sheria upyaa tutaishiaa kufuga mbwaa Dar na mafao yetu jamani
 
Karibu Tanzania
Screenshot_20240319-222413.png
 
Angekuwa muwekezaji kutoka nje angelipwa ×2 ya alichoweka ila sababu ni mzawa watampa wanavotaka wao
 
Kukaa karibu na hifadhi kuna gharama zake sitetei dola,,,, mfano mimi babu yangu yuko jirani kabisa na hifadhi baba, sisi baba wakubwa na wadogo mpaka mashangazi wasinge kuwepo. Kuna namna ya kufanya wanyama wakali hawasogei kwako hata iweje na tulikua tukienda kwa babu tukiwa wadogo tunapakwa majani hivi yani tembea utakutana na digidigi, swala na wanyama hawa wadogo wadogo.
 
Kuna sheria zinaongoza ulipaji wa fidia kwa mambo kama haya.Ukitaka uchoke zaidi fuatilia nini kinafanyika baada ya tembo kuvamia mashamba ya wakulima. Au ulizia binadamu anapouawa na hao wanyama inakuwaje kwenye fidia
 
Lakini ukiua chui ndugu hama nchi
 
Mnaowekeza mifugo ukoo maeneo ya mbugani. Vijijini mjipange bora mnunue mbwaa muanze kuuzaa

Leo naangalia TV mwananchi kaliwa mbuzi zake na chui mmoja

Serikali wakaja kumkamata wakamrudisha alipotoroka

Mwenyee mbuzii anaulizwaa anambiwaa 25000 ndioo malipo stahili kila mbuzii jamani angalieni upyaaa hizi sheriaa tusiangalie ndoaa za utotoni tu

Anasemaa amenunua 110,000 kila mbuzi wake wa maziwa

Huyu baba kamaliza muda wakazi kawekaa mafaoo yakee kwenye mifugoo leooo jamani mnamliza hivi.

Kamandaa wa wanyapori angalieni hizi sheria upyaa tutaishiaa kufuga mbwaa Dar na mafao yetu jamani
kama hujajifunza tz mnyama pori ana thamani kubwa kuliko binadamu tizama hata yanayotokea barabarani unaweza gonga mtu mkamalizana juu kwa juu na serikali isifuatilie gonga tembo sasa utaiona shughuli. kiufupi wa tz tunathamani ndogo kuliko hata katwiga ka pale mikumi.

ila pia kuna kukosa ubinadamu huwezi lipa mbuzi mmoja 25k ni unyonyaji huenda hapo dau ni 100k ila watu wameshachukua chao kilichobaki ndio fidia
 
Back
Top Bottom