Aron Kagurumjuli, unawezaje kujigawa kufanya kazi za Ukurugenzi na Kazi za CCM kwa wakati Mmoja?

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,492
54,895
Wakuu salaam

Kama tunavyojua, kwenye Nchi yetu bado kuna Mvutano wa Wakurugenzi kusimamia Uchaguzi baada ya kubainika kwamba Wakurugenzi ni Makada wa chama cha Mapinduzi.

Hivyo Vyama vya upinzani vinaona havitendewi haki uchaguzi uchaguzi kusimamiwa na chama shindani.

Lakini pamoja na yote, huyu Mkurugenzi Aron Kagurumjuli, anawezaje kujigawa kufanya kazi za Ukurugenzi na Kazi za CCM kwa wakati Mmoja?

Ni vipi Wananchi wa CUF, ACT na CHADEMA wanapata haki kwenye Ofisi yake? Au hawa ndo wale Mpinzani akienda kuchukua Fomu wanakimbia na kifunga Mlango?

Kuna dhamira ya kudumisha Demokrasia kwenye Nchi yetu kweli?

Hapo awali Hayati Magufuli alimtumbua Ukurugenzi Kinondoni baada ya kuona anafanya janja janja ya Viwanja hasa vya Coco Beach. Ila Baadaye Dr. Samia akamrudisha kwa mbwembwe.
IMG_20240312_070514_105.jpg
IMG_20240312_070507_268.jpg

Mr ARON KAGURUMJULI-City Director
(Mkurugenzi wa Jiji la Mwanza)
 
View attachment 2932387View attachment 2932388
Mr ARON KAGURUMJULI-City Director
(Mkurugenzi wa Jiji la Mwanza)
Ccm na serikali yake hadi wanatua Kinyaa
 
Kwa upuuzi wa aina hii, sitokuja nipige kura aisee. Mtu kama huyu hawezi kamwe kutenda haki.

Siku kukiwepo na Tume Huru ya uchaguzi, na pia Katiba ya Wananchi; nitarejea! Iwapo tu Mwenyezi Mungu ataendelea kunijalia uzima.
 
Wakuu salaam

Kama tunavyojua, kwenye Nchi yetu bado kuna Mvutano wa Wakurugenzi kusimamia Uchaguzi baada ya kubainika kwamba Wakurugenzi ni Makada wa chama cha Mapinduzi.

Hivyo Vyama vya upinzani vinaona havitendewi haki uchaguzi uchaguzi kusimamiwa na chama shindani.

Lakini pamoja na yote, huyu Mkurugenzi Aron Kagurumjuli, anawezaje kujigawa kufanya kazi za Ukurugenzi na Kazi za CCM kwa wakati Mmoja?

Ni vipi Wananchi wa CUF, ACT na CHADEMA wanapata haki kwenye Ofisi yake? Au hawa ndo wale Mpinzani akienda kuchukua Fomu wanakimbia na kifunga Mlango?

Kuna dhamira ya kudumisha Demokrasia kwenye Nchi yetu kweli?

Hapo awali Hayati Magufuli alimtumbua Ukurugenzi Kinondoni baada ya kuona anafanya janja janja ya Viwanja hasa vya Coco Beach. Ila Baadaye Dr. Samia akamrudisha kwa mbwembwe.
View attachment 2932387View attachment 2932388
Mr ARON KAGURUMJULI-City Director
(Mkurugenzi wa Jiji la Mwanza)
CCM inawaona Wananchi mabwege sana .
 
Hii maana yake ni maandalizi ya kushinda kura kwa goli la mkono, yaani kinyume na matakwa ya wapiga kura.

Mtu kama huyu mwenye damu isiyo na hatia mikononi mwake hakustahili kuwa bado kwenye ofisi ya umma
 
Wakuu salaam

Kama tunavyojua, kwenye Nchi yetu bado kuna Mvutano wa Wakurugenzi kusimamia Uchaguzi baada ya kubainika kwamba Wakurugenzi ni Makada wa chama cha Mapinduzi.

Hivyo Vyama vya upinzani vinaona havitendewi haki uchaguzi uchaguzi kusimamiwa na chama shindani.

Lakini pamoja na yote, huyu Mkurugenzi Aron Kagurumjuli, anawezaje kujigawa kufanya kazi za Ukurugenzi na Kazi za CCM kwa wakati Mmoja?

Ni vipi Wananchi wa CUF, ACT na CHADEMA wanapata haki kwenye Ofisi yake? Au hawa ndo wale Mpinzani akienda kuchukua Fomu wanakimbia na kifunga Mlango?

Kuna dhamira ya kudumisha Demokrasia kwenye Nchi yetu kweli?

Hapo awali Hayati Magufuli alimtumbua Ukurugenzi Kinondoni baada ya kuona anafanya janja janja ya Viwanja hasa vya Coco Beach. Ila Baadaye Dr. Samia akamrudisha kwa mbwembwe.
View attachment 2932387View attachment 2932388
Mr ARON KAGURUMJULI-City Director
(Mkurugenzi wa Jiji la Mwanza)
kwa Neema na Baraka za Mungu yote yanawezekana 🐒
Kama Rais Comrade Dr SSH anaweza basi na wasaidizi wake wanaweza vizuri sana 🐒

chuki binafsi haifai, tuachane nayo 🐒
 
Wakuu salaam

Kama tunavyojua, kwenye Nchi yetu bado kuna Mvutano wa Wakurugenzi kusimamia Uchaguzi baada ya kubainika kwamba Wakurugenzi ni Makada wa chama cha Mapinduzi.

Hivyo Vyama vya upinzani vinaona havitendewi haki uchaguzi uchaguzi kusimamiwa na chama shindani.

Lakini pamoja na yote, huyu Mkurugenzi Aron Kagurumjuli, anawezaje kujigawa kufanya kazi za Ukurugenzi na Kazi za CCM kwa wakati Mmoja?

Ni vipi Wananchi wa CUF, ACT na CHADEMA wanapata haki kwenye Ofisi yake? Au hawa ndo wale Mpinzani akienda kuchukua Fomu wanakimbia na kifunga Mlango?

Kuna dhamira ya kudumisha Demokrasia kwenye Nchi yetu kweli?

Hapo awali Hayati Magufuli alimtumbua Ukurugenzi Kinondoni baada ya kuona anafanya janja janja ya Viwanja hasa vya Coco Beach. Ila Baadaye Dr. Samia akamrudisha kwa mbwembwe.
View attachment 2932387View attachment 2932388
Mr ARON KAGURUMJULI-City Director
(Mkurugenzi wa Jiji la Mwanza)
Alifanya kazi Nzuri sana Akiwa Kinondoni mpaka anapewa Vyeo viwili kwa wakati mmoja...

Ccm ukiwafurahisha utafurahi na wewe.

😄😄
 
Wakuu salaam

Kama tunavyojua, kwenye Nchi yetu bado kuna Mvutano wa Wakurugenzi kusimamia Uchaguzi baada ya kubainika kwamba Wakurugenzi ni Makada wa chama cha Mapinduzi.

Hivyo Vyama vya upinzani vinaona havitendewi haki uchaguzi uchaguzi kusimamiwa na chama shindani.

Lakini pamoja na yote, huyu Mkurugenzi Aron Kagurumjuli, anawezaje kujigawa kufanya kazi za Ukurugenzi na Kazi za CCM kwa wakati Mmoja?

Ni vipi Wananchi wa CUF, ACT na CHADEMA wanapata haki kwenye Ofisi yake? Au hawa ndo wale Mpinzani akienda kuchukua Fomu wanakimbia na kifunga Mlango?

Kuna dhamira ya kudumisha Demokrasia kwenye Nchi yetu kweli?

Hapo awali Hayati Magufuli alimtumbua Ukurugenzi Kinondoni baada ya kuona anafanya janja janja ya Viwanja hasa vya Coco Beach. Ila Baadaye Dr. Samia akamrudisha kwa mbwembwe.
View attachment 2932387View attachment 2932388
Mr ARON KAGURUMJULI-City Director
(Mkurugenzi wa Jiji la Mwanza)
Ndio CCM wanavyotaka, hata tuseme nini,wanajua ubovu wa huu mfumo, mtumishi wa umma,kuwa mtumishi wa chama,dawa, ni kuwa piga mpakq damu itoke masikioni,
 
Wakuu salaam

Kama tunavyojua, kwenye Nchi yetu bado kuna Mvutano wa Wakurugenzi kusimamia Uchaguzi baada ya kubainika kwamba Wakurugenzi ni Makada wa chama cha Mapinduzi.

Hivyo Vyama vya upinzani vinaona havitendewi haki uchaguzi uchaguzi kusimamiwa na chama shindani.

Lakini pamoja na yote, huyu Mkurugenzi Aron Kagurumjuli, anawezaje kujigawa kufanya kazi za Ukurugenzi na Kazi za CCM kwa wakati Mmoja?

Ni vipi Wananchi wa CUF, ACT na CHADEMA wanapata haki kwenye Ofisi yake? Au hawa ndo wale Mpinzani akienda kuchukua Fomu wanakimbia na kifunga Mlango?

Kuna dhamira ya kudumisha Demokrasia kwenye Nchi yetu kweli?

Hapo awali Hayati Magufuli alimtumbua Ukurugenzi Kinondoni baada ya kuona anafanya janja janja ya Viwanja hasa vya Coco Beach. Ila Baadaye Dr. Samia akamrudisha kwa mbwembwe.
View attachment 2932387View attachment 2932388
Mr ARON KAGURUMJULI-City Director
(Mkurugenzi wa Jiji la Mwanza)
Hii haikubaliki
 
Back
Top Bottom