Urafiki wa Upande Mmoja/ Urafiki wa kujifaidisha kwa ngao ya mapenzi au upendo

Tman900

Senior Member
May 30, 2017
174
343
Kuna mfumo Fulani upo kwa Watu wa Jinsia ya Kike.

Unapo mtongoza tu unakua umempa Fulsa ya Kupata Pesa/ Mali kutoka kwako Mwanaume.

atataka umuaminishe Kama unampenda kupitia Pesa au Vizinga Vya Hapa na Pale.

Kipindi Pesa zinatoka we bado mzigo ujapewa, unajiaminisha utapata tu, Sasa swali la kujiuliza unatoa Pesa kumpa mwanamke/ Au Wanawake wanasema Ni "hudumie kwanza"Asipokupa Mzigo(K)Maana yake umecheza BIKO.

Kuhudumia Mwanamke kabla ya kumpata Ni sawa sawa na kujenga Nyumba ktk hifadhi ya Barabara.
Mwanamke Ni mwepesi kuita Mwanaume Bahili,

Ukijaa kwenye mtego wa mapenzi unapoteza.

anapoanza kukuomba Hela anaza Pesa ndogo kwenda kubwa kulingana na kiwango chako Cha uchumi na ndivyo Vizinga vinavyokuja.

Mwanamke anafanya mapenzi kwa Faida( Pesa,Mali, kujiremba)

Mwanamke anaitaji Faida kwanza ndo atoe K, Ni asilimia kubwa Sana ya Wanawake wako hivyo, hii Ni Sawa na kuuza. Kuna Aina za uzaji
1. direct
2. Indirect

1: MWANAMKE WA DIRECT
Mnapatana kabisa kiasi gani anataka unamlipa mnamalizana, na kila utakapokua unamuitaji mnaelewana mnalipana, na kila mtu anaondoka amaridhika,hapo kila mtu anakua mawasiliano Simu. Wakihitajiana wanaonana Ila hapo Mwanaume ndo anamtafuta Mwanamke anapokua na Hela na Hamu ya Duuu.

2: MWANAMKE WA INDIRECT
Huyo mwanamke anakuuzia Ila kwa stail ya kimya kimya, kwa kigezo Cha kuhudumiana, utakua unampa Pesa mpaka ikifike kiwango alichojiwekea ndo anakupa mchezo, na ikitokea ujafika dau analolitaka apo inakua imekuala kwako.

Mara Nyingi huwa anakueleza matatizo yake kila siku yanayohusisha Pesa ili utatue na kufikia lengo lake ndo upewe k.

Kipindi unaendelea kuhudumia unakua ujapewa, Sasa ikitokea umeshindwa kukamiliza mahitaji yake kwa wakati anakwambia Mwanaume Mwenyewe Bahiri.
Note: "Mapenzi/ Hisia za Ngono zisikuendeshe ukashindwa kufanikisha malengo yako"
 
Back
Top Bottom