Wanawake walioungana mmoja aolewa

Christopher Wallace

JF-Expert Member
Dec 8, 2015
1,397
3,492
#FAHAMU: Abby na Brittany Hensel ambao ni mapacha walioungana mmoja wao ametangaza kufunga ndoa na Josh Bowling ambaye ni nesi na mwanajeshi mkongwe wa Jeshi la Marekani ndoa ambayo ilifungwa mwaka 2021

Aliyetangaza kuolewa ni Abby Hensel ambaye ni pacha aliyeungana upande wa kushoto ambapo yeye na mume wake wanaishi Minnesota

Abby na Josh walificha ndoa yao na kuifanya siri na sasa wamemua kuweka wazi na kuachia picha za sherehe ya harusi
IMG_0468.jpeg
 
θΆ…ηΊ§ζˆͺ屏_20240329_174237.png
Hii imekaaje wakuu, nimejaribu fikiria nimeshindwa pata jibu.
Sasa mwanaume mwingine akija akioa huyo pacha mwingine si bado atakuwa ana kula pale pale ambapo mume wa mke wa kwanza ana kula?!

Halafu we mwanamke wa Kitanzania, wenzako mapacha wameungana lakini bado wanaolewa, wewe upo hapo umegonga 30+ ila mpaka sasa hivi bado hujaolewa, KWELI?!

Jitafakari hata kama kuolewa siyo lazima.

Uko SINGLE, SINGELI, SINGANGA, SINGENGE, SINGUNGU Yaani SINGLE PROMAX.
 
Hapo lazima watazinguana. Huyu mmoja atafosi aende akatafute bwana huku huyu mwingine atataka atulie na mdau. Hapo lazima watachapana makonde au wataanza kuendeana kwa sangoma
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Bila shaka umefunga mkuu.
Kama ujafunga basi unaishi zanzibar
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom