mkutano

Mkutano Meets the Culture Musical Club of Zanzibar is an album by American blues artist Taj Mahal.

View More On Wikipedia.org
  1. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Andrew Nyerere pichani akihudhuria mkutano wa Chadema Arusha

    Pichani ni Andrew Nyerere (mwenye mvi) mtoto wa Rais wa kwanza wa Tanzania, akiwa katika mkutano wa Chadema Sanawari, Arusha.
  2. L

    JamiiForums Tanzania Kutuma salamu za pongezi kwenye mkutano wa AU kwa miaka saba mfululizo, ni mambo gani anayojali Xi Jinping?

    Hivi karibuni, Rais Xi Jinping wa China alituma salamu za pongezi kwenye Mkutano wa 37 wa Wakuu wa Nchi za Umoja wa Afrika. Huu ni mwaka wa saba mfululizo akiendelea kutuma salamu kwenye mkutano huo. Huu ni mkutano wa kwanza wa kilele kufanywa na Umoja wa Afrika tangu ulipojiunga rasmi na G20...
  3. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kuhudhuria mkutano wa Wakuu wa nchi AU, ETHIOPIA

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan usiku wa kuamkia leo, Jumapili Februari 18.2024 amewasili jijini Addis Ababa nchini Ethiopia kuhudhuria mkutano wa Wakuu wa nchi za Umoja wa Afrika (AU), ikiwa ni saa chache tangu awaongoze waombolezaji kwenye mazishi ya kitaifa ya...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Philip Basiimire: Nape alisema walipoondoa VAT kwenye vifaa vya digitali, bei za vifaa vya digitali havikushuka bei

    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa anashiriki akiwa Mgeni Rasmi kwenye Mkutano wa 'Future Ready Summit ambao ni tukio la kila Mwaka linalowakutanisha Wadau mbalimbali wa Teknolojia na Washirika wa Kimkakati ili kutafakari suluhisho katika kuchochea maendeleo ya Teknolojia. Waziri Mkuu, ameongozana na...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mollel: Matumizi holela ya vidonge ya P2 ni hatari kwa afya

    Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel amewataka wananchi kuepuka matumizi yasiyo sahihi ya vidonge vya kuzuia mimba maarufu kama P2 ili kuepuka madhara yanayoweza kujitokeza pale dawa hizo zinapotumika bila utaratibu ikiwemo mvurugiko wa hedhi. Dkt. Mollel amesema hayo leo Jijini Dodoma kwa...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Dkt. Shelukindo aongoza ujumbe wa Tanzania kushiriki mkutano wa Kamati ya Siasa na Diplomasia ya SADC

    Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Dkt. Samwel Shelukindo ameongoza ujumbe wa Tanzania kushiriki Mkutano wa Kamati ya Siasa na Diplomasia (Inter-State Politics and Diplomacy Committee — ISPDC) ya SADC uliofanyika kwa njia ya mtandao tarehe 09 Februari...
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Kassim Majaliwa: Hadi kufikia kipindi cha Ramadhan sukari itakuwepo nchini

    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema jitihada kubwa zinafanyika ili kumaliza tatizo la uhaba wa sukari lililopo nchini. "Ni kweli tuna upungufu wa sukari nchini na umetokana na kuwepo kwa mvua nyingi ambazo maeneo yetu ya mashamba ya miwa inayozalisha sukari maji yamejaa kiasi cha kwamba wale...
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Jumanne Sagini: Serikali inafuatilia kwa ukaribu matukio ya utekaji yanayoendelea Jijini Dar es Salaam

    Mbunge wa Nyang’hwale, Hussein Amar ameihoji Serikali ina mpango gani wa haraka kuzuia utekaji unaoendelea katika Jiji la Dar es Salaam. Miongoni mwa matukio matano ya watu kutekwa na kutoweka katika mazingira ya kutatanisha yalitokea mwaka 2023, limo la kutekwa mfanyabiashara Mussa Mziba (37)...
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mollel: Gharama za kutibu wagonjwa wa Kisukari ni Tsh. Bilioni 300 kwa mwaka

    Fuatilia yanayojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 14, Kikao cha 6, leo Januari 6, 2024. https://www.youtube.com/live/SYTvPYLNpNk?si=ZxFlRBcsLo7LLqGU Gharama ya kutibu wagonjwa wa sukari kwa mwaka ni TZS bilioni 300, na gharama za kutibu wagonjwa wote wa tezi dume ni TZS bilioni 46.42, hivyo...
  10. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Serengeti: Mkutano Maalum wa CHADEMA Watikisa

    Siku zote tumesema humu na kwingineko kwamba Nchini Tanzania , hakuna chama cha siasa kinachoweza kuizidi CHADEMA kwa wanachama (Pitieni tovuti ya CHADEMA DIGITAL) sasa hapa chini ni Mkutano Maalum wa Chama hicho Wilaya ya Serengeti , hebu jionee mwenyewe .
  11. Gordian Anduru

    JamiiForums Tanzania Tayari Simba wameshaanza kupata Vikombe vya mkutano mkuu ujao mwakani

    Klabu yeti pendwa imepata mafanikio makubwa ukiacha Yale ya WhatsApp channel MCHEZAJI wetu Inonga amefika nusu fainali afcon. Pia fifa wametutaja Kwenye klabu 12 ambazo zitawania club world cup ambapo Sisi makolo wizard ni WA 7 Africa wakati zinatakiwa timu nne tu. Hayo ni mafanikio yetu
  12. R

    JamiiForums Tanzania Mwanamke na mwanaume waliosimamishwa kwenye mkutano na Makonda siyo wanandoa na wala hakuna anayewafahamu. Walitokea wapi?

    Yule mama aliyesema ametengana na mme wake na kwamba anakosa pesa ya kula imebainika ni bosheni ya mzee baba kutafuta kick. Kwanza hawa wafu siyo wenyeji wa kanda ya ziwa, lakini pia yule mwanamke na mwanaume inasemekana walikuwa na usafiri wao kwenye mkutano ila mwanamke akawa anajidai hana...
  13. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Rorya: Mkutano Mkuu wa Chadema Wafana, Maelfu ya Wanachama wahudhuria

    Dalili ya Chama cha siasa kinachojiandaa kutwaa madaraka ya Nchi zinajionyesha wazi kabisa , Chama ni watu siyo Chawa Hebu angalia mkutano huu Maaluma wa Wilaya ya Rorya , Mkoani Mara , Ikumbukwe kwamba Chadema haina wanachama wajinga , wote hawa ni wanachama wenye akili timamu . Hii ni leo
  14. B

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa 51 wa Makamishna wa mapato wa nchi za jumuiya ya Afrika Mashariki

    25 JANUARY 2024 51ST EAST AFRICAN REVENUE AUTHORITIES COMMISSIONERS GENERAL MEETING HELD IN DAR ES SALAAM https://m.youtube.com/watch?v=peIXAFtfCco Mkutano wa makamishna wa mamlaka za mapato wa nchi za Afrika ya Mashariki wakutana nchini Tanzania kujadili masuala mbalimbali kubadilushana ujuzi...
  15. Ngongo

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa Makonda Arusha ulidoda

    Kama ilivyo desturi Arusha ni nchi ya wajanja hawataki ujinga. Licha ya kukusanya wajinga wajinga kutoka Karatu, Monduli, Longido, Loliondo, Arumeru na Karatu bado mkutano ulipwaya sana. CCM kwakujua Makonda si lolote si chochote walikimbia uwanja wa Sheikh Amri Abeid na kufanya mkutano Soko la...
  16. P

    JamiiForums Tanzania Huwa unazingatia nini kabla hujaenda kuangalia mkutano wa kisiasa?

    Wakuu, Huwa unazingatia nini kabla hujaamua kwenda kwenye mkutano wa siasa, iwe mkutano wa hadhara au kampeni? Ni mada inayoenda kuzungumzwa, mzungumzaji mwenyewe, nguvu ya chama au nini? Nini huwa na umuhimu zaidi kwako ambapo kisipokuwepo huwezi kwenda kwenye mkutano huo au hata kuufatilia...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Kesho ni mkutano mkuu wa Simba ajenda kuu ni Katiba

    Kesho Kuna mkutano mkuu wa timu ya Simba ,mojawapo ya ajenda ni mabadiliko ya katiba ili kukamilisha mchakato wa uwekezaji. Tayari kamati iliyokusanya maoni kupitia mwenyekiti wake Husein Kitta umesema umemaliza kazi take na kukabidhiaoni tayari kwa ajili ya kupitishwa na mkutano mkuu lakini...
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Tanzania yashiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Nchi Zisizofungamana na Upande Wowote (NAM)

    Takriban theluthi mbili ya nchi duniani zimekusanyika Jijini Kampala, Uganda kushiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Nchi Zisizofungamana na Upande Wowote (NAM) wenye nchi Wanachama 120 na Mkutano wa nchi za Kundi la 77 na China (G77+China) lenye Wanachama 134. Tanzania ni...
  19. President of China

    JamiiForums Tanzania Mrejesho wa Mkutano wa Baraza la Vyama vya Siasa uliofanyika 3 - 4 January 2024

    Mkutano huu ulihudhuriwa na watu wengi maarufu nchini. Leo nitaweka mrejesho wa kile kilichozungumzwa, watu waliohudhuria na impact ya mkutano huo katika demokrasia ya hapa nchini. Tutaanza kwa kuongelea 4R jinsi zilivyoongelewa na wachangiaji mbalimbali katika mkutano huo. Bila kupotenza...
  20. President of China

    JamiiForums Tanzania Mkutano maalum wa Baraza la Vyama vya Siasa na wadau wa Demokrasia tarehe 04 Januari 2024

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa mamlaka aliyopewa, alitoa maagizo kwa Msajili wa Vyama vya Siasa kuhusu kuandaa mkutano maalum wa Baraza la Vyama vya Siasa. Lengo la maagizo hayo lilikuwa kutoa fursa kwa wadau wa demokrasia ya vyama vingi vya siasa...
Back
Top Bottom