Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 13,226
- 26,048
Kusema kweli Wizara ya Mambo ya Nje mmeniangusha sana. Jinsi tunavyoandaa mikutano mikubwa kuanzia tunavyopamba maeneo yanapofanyika mikutano hiyo ni jambo la muhimu sana hasa katika kujenga taswira ya namna gani nchi hiyo ilivyo.
Kwa namna mapambo yalivyokuwa katika mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika Mashariki napenda kusema tumejivua nguo. Tumepamba kana kwamba ni kikao cha Baraza la Madiwani la halmashauri ya Tanganyika. Hakuna maua, vitambaa vya hovyo, viti vya hadhi ya chini as if tulilazimishwa kwa kweli.
Nimesikitika sana. Safari hii Wizara ya Mambo ya Nje na Jumuiya ya Afrika Mashariki mmemiangusha sana.
Haya ndo maeneo ambayo kama nchi tunatakiwa tujiuze kwa uzuri wetu na namna tunavyoweza kufanya mambo kwa uzuri na ufasaha hadi kuvutia watu wengine waipende Tanzania.
Niishie hapa