mkutano

Mkutano Meets the Culture Musical Club of Zanzibar is an album by American blues artist Taj Mahal.

View More On Wikipedia.org
  1. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Mbowe apokea zawadi toka kwa Wanachama wa CHADEMA waliohudhiria kikao cha ndani

    Kuuwa Chadema si tu kwamba imeshindikana, Bali haitawezekana milele, kama kuna mtu alilipwa hela ili auwe Chadema basi bila shaka anapaswa kuzirejesha kwa wenyewe, au kama hayupo basi familia yake ilipishwe gharama ya utapeli wa ndugu yao. Chadema haifi na wala haitakufa. Hii hapa ni video...
  2. kavulata

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kuona mkutano wa Rais na wahudhuriaji wa jinsia moja tu

    Tangu uhuru Marais wote kabla ya mama Samia walikuwa wanaume, lakini sijawahi kusikia Rais kaitisha mkutano wa wanaume tu. Kazi yetu ni kuondoa vikwazo vya elimu, mikopo na fursa nyingine kwa wanawake lakini sio kupandikiza chuki kwa wanawake dhidi ya wanaume ambao kwa miaka mingi wamekuwa...
  3. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai: Tunaomba Rais aitishe kikao cha Wanaume tu

    Spika wa Bunge, Job Ndugai ametaka kuanzishwa kwa dawati la wanaume ambalo litakuwa linashughulikia changamoto wanazokumbana nazo wanaume. Amesema kwa sasa mkazo umekuwa zaidi kwa wanawake, watu wakidhani wanaume wapo salama, jambo ambalo si sahihi. "Tutamuomba Mhe.Rais siku nyingine aite...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Kuna lolote la kutarajia kutoka kwenye mkutano wa G7 jijini London?

    Mkutano wa kundi la nchi saba (G7) unafanyika kuanzia tarehe 11 -13 Juni nchini Uingereza chini ya uenyekiti wa nchi hiyo. Mkutano wa safari hii unafanyika katika kipindi chenye changamoto kubwa kwa uchumi wa dunia, kuna changamoto za usalama katika eneo la Mashariki ya kati, kuna changamoto ya...
  5. Background Check

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kushiriki kuhudhuria mkutano (hotuba) ya kiongozi wa Serikali

    Wanajamii Forum ________________ Ninaomba kama kuna mtu anaweza akawa na idea kuhusu namna ya kushiriki kikao, mkutano ama shughuli yoyote ya kiongozi wa kitaifa Mfano Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nk... Mfano kuna taarifa kuwa hivi...
  6. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Rais Samia afanya mkutano na Wanawake ukumbi wa Jakaya Kikwete

    Wanawake zaidi ya 10,000 Mkoa wa Dodoma makundi mbalimbali wanatarajiwa kukutana na Rais Samia Suluhu Hassan Juni 8 mwaka huu katika mkutano utakaofanyika ukumbi wa Jakaya Kikwete. Hayo yamesemwa leo Juni 6,2021 na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Anthony Mtaka wakati akizungumza na waandishi wa habari...
Back
Top Bottom