mkutano

Mkutano Meets the Culture Musical Club of Zanzibar is an album by American blues artist Taj Mahal.

View More On Wikipedia.org
  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ashiriki Maadhimisho ya Miaka 62 ya Uhuru wa Tanzania Bara na Mkutano wa Kwanza wa Kitaifa wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Maadhimisho ya Sherehe za Miaka 62 ya Uhuru wa Tanzania Bara na Mkutano wa Kwanza wa Kitaifa wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 leo tarehe 09 Desemba, 2023 katika Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete. Kuacha kufanyika...
  2. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Sponsor wa Mkutano wa COP28 lengo lake ni kutengeneza machawa wengi kwenye nchi mbalimbali

    Tufikirie nje ya box nipe nikupe ni kamchezo kazuri sana, huyo sponsor wa COP28 ana mambo yake nyeti kwenye nchi mbalimbali hivyo idadi kubwa ya uwakilishi kutoka kwenye baadhi ya Nchi ni kielelezo Cha umuhimu wa nchi hizo katika rasilimali pendwa. Unapoliwa pakubwa na ushiriki wako wa...
  3. Doctor Mama Amon

    JamiiForums Tanzania Swali kwa Waziri wa Mazingira, Dkt Suleiman Jaffo: Watumishi wa umma 333 wamefuata nini kwenye mkutano wa COP28 huko Dubai?

    Mheshimiwa Dkt. Suleiman Jaffo, Waziri wa Mazingira, Mkutano wa kuweka mikakati ya kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi unafanyika huko Dubai, kwa siku 14, tangu tarehe 30 Novemba hadi 12 Desemba 2023. Lakini ukubwa wa ujumbe wa Tanzania umeibua utata miongoni mwa Watanzania wanaotaka...
  4. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Angela Kairuki amuwakilisha Dkt. Mpango kwenye mkutano wa TAWIRI

    Wanajamvi, Makamu wa Rais, Dkt. Phillip Mpango alikuwa awe mgeni rasmi wa mkutano wa TAWIRI unaofanyika Dodoma, hata hivyo amewakilishwa na Angella Kairuki. https://www.jamiiforums.com/threads/dkt-philip-mpango-anatarajiwa-kuwa-mgeni-rasmi-wa-mkutano-wa-tawiri-dec-6-8.2164385/
  5. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Dkt. Philip Mpango anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi wa Mkutano wa TAWIRI, Dec 6-8

    Makamu wa Rais wa Tanzania, Dkt. Philip anatarajiwa kuwa mgeni rasmi wa Mkutano wa TAWIRI unatarajia kufanyika kuanzia Disemba 6 hadi 8 jijini Arusha.
  6. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania Wanamibia wang'aka baada ya watoto wanne wa Rais kujumuishwa kwenye ujumbe wa Serikali kwenye mkutano wa hali ya hewa COP28

    Baadhi ya WaNamibia wamekasirishwa baada ya kujua kwamba watoto wanne wa Rais Hage Geingob walijiunga na ujumbe wa serikali kwenye mkutano wa hali ya hewa wa COP28. Walikuwa miongoni mwa watu sita kutoka familia ya rais iliyoorodheshwa kama sehemu ya ujumbe wa Namibia huko Dubai. Ofisi ya Rais...
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa 3 kuenzi Maisha ya Maalim Seif Sharif Hamad, Novemba 26, 2023 - Zanzibar

    Taasisi ya Maalim Seif Foundation ikishirikiana na Taasisi ya Friedrich Naumann Foundation imeratibu Mkutano wa Tatu wa Kumkumbuka na Kumuenzi Maalim Seif Sharif Hamad unaofanyika kwa siku mbili tarehe 25 - 26 Novemba, 2023 katika Hoteli ya Golden Tulip Airport, Zanzibar. Kiongozi wa Chama cha...
  8. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Hivi tulikosa mpambaji kwenye Mkutano wa nchi za EAC?

    Kusema kweli Wizara ya Mambo ya Nje mmeniangusha sana. Jinsi tunavyoandaa mikutano mikubwa kuanzia tunavyopamba maeneo yanapofanyika mikutano hiyo ni jambo la muhimu sana hasa katika kujenga taswira ya namna gani nchi hiyo ilivyo. Kwa namna mapambo yalivyokuwa katika mkutano wa Wakuu wa Nchi za...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa BRICS waonyesha nguvu mpya katika mabadiliko ya mfumo wa kimataifa

    Mkutano wa kwanza tangu kuongezwa kwa nchi wanachama wa BRICS ulifanyika wiki iliyopita, ambapo rais wa China, Xi Jinping, alitoa hotuba na kusisitiza kuwa, ni muhimu kwa nchi wanachama kukutana kwa wakati huo na kupaza sauti kwa ajili ya haki na amani kuhusu suala la Israel na Palestina...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa BRICS waonyesha nguvu mpya katika mabadiliko ya mfumo wa kimataifa

    Mkutano wa kwanza tangu kuongezwa kwa nchi wanachama wa BRICS ulifanyika wiki iliyopita, ambapo rais wa China, Xi Jinping, alitoa hotuba na kusisitiza kuwa, ni muhimu kwa nchi wanachama kukutana kwa wakati huo na kupaza sauti kwa ajili ya haki na amani kuhusu suala la Israel na Palestina...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa ushirikiano kati ya China na Marekani wazidi kuonekana kwenye mkutano kati ya Rais Xi nchini Marekani

    Rais Xi Jinping wa China na mwenyeji wake Joe Biden wamekutana na kufanya mazungumzo ya ana kwa ana yaliyokuwa yanasubiriwa kwa muda mrefu na wadau wengi wa mambo ya uchumi na siasa. Kwenye mkutano huo Rais Xi amemwambia Rais Biden kuwa dunia ni kubwa na ina nafasi ya kutosha kwa nchi hizo mbili...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Rais wa Marekani apaswa kuafikiana na Rais wa China ili mkutano wao upate matokeo ya kunufaishana

    Rais wa China Xi Jinping amekutana na kufanya mazungumzo na mwenzake wa Marekani Joe Biden kabla ya Mkutano wa Viongozi wa Ushirikiano wa Kiuchumi wa Asia na Pasific (APEC) wa mwaka huu, ambayo yamefuatiliwa sana na jamii ya kimataifa.. Mazungumzo yao yanfanyika kwa wakati sahihi kwa upande wa...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Mkutano unaotarajiwa kufanyika kati ya marais wa China na Marekani unasubiriwa kwa hamu duniani

    Rais Xi Jinping wa China anatarajiwa kufanya ziara nchini Marekani kati ya Novemba 14-17 ambalo atakuwa na mkutano na mwenzake wa Marekani na pia kuhudhuria mkutano wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiuchumi la Asia-Pasific (APEC). Hii itakuwa ni mara ya kwanza kwa Rais Xi kufanya ziara nchini...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Kujaa kwa watu kwenye mkutano wa Makonda

    Jana nilikuwa na safari ya kutoka Tarime kuja Mwanza na njiani nikashuhudia buses mamia kwa mamia yakielekea pande zote za Wilaya ya Rorya na Tarime yakisomba watu kuja kwenye mkutano wa Makonda. Msidanganyike, kumbe kujaa kwa watu kwenye mkutano wa Makonda siyo kwa hiari ya wananchi bali...
  15. chiembe

    JamiiForums Tanzania Heche apeleka mvua kubwa Tarime, mkutano wa Makonda wasambaratika, wananchi watimka mbio

    Kuna watu "wataalamu". Mkutano wa Makonda Tarime umevurugika baada ya mvua kubwa kunyesha. Mvua hiyo imefanya wananchi kutoka mbio na kumuacha Makonda na timu yake jukwaani. Shikamoo Heche
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Tanzania kuwa mwenyeji wa mkutano wa Mawaziri wa Afrika kuhusu Fedha na Jinsia

    Tanzania inatarajia kuwa mwenyeji wa mkutano wa Mawaziri wa Afrika wanaohusika na Masuala ya Fedha na Jinsia kutoka nchi 22 wanachama wa Jukwaa la Usawa wa Kijinsia (UN Women) na Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF-Afritac East), utakaofanyika Jijini Dar es Salaam, kuanzia tarehe 15 hadi 17...
  17. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Lindi: Mkutano wa 7 wa Jukwaa la Wahariri TEF

    Wanabodi Live on TBC: Mkutano wa 7 wa Jukwaa la Wahariri TEF, Lindi. https://www.youtube.com/live/fYB_7KkRpdg?si=ulkYTnJyPEdun8YL Karibu. Paskali
  18. benzemah

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Ashiriki Mkutano wa Saudi Arabia na Nchi za Afrika jijini Riyadh, Saudi Arabia

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na viongozi mbalimbali waliohudhuria Mkutano wa Saudi Arabia na Nchi za Afrika unaofanyika Jijini Riyadh tarehe 10 Novemba, 2023.
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa 5 wa Wiki ya Vyombo vya Habari vya Uganda, 2023

    https://www.youtube.com/watch?v=dPisTx-swGs Leo tarehe 9 Novemba 2023, JamiiForums inashiriki katika Mkutano wa 5 wa Wiki ya Vyombo vya Habari vya Uganda, ulioandaliwa na Taasisi ya Media Focus on Africa Uganda. Mkunano huo unafanyika jijini Kampala. Mkutano huu unajadili kuhusu mustakabali wa...
  20. A

    JamiiForums Tanzania Comrade Mwenezi Makonda karibu Kanda ya Ziwa

    Ndugu Comrade Paul Christian Makonda karibu Kanda pendwa ya Ziwa ujionee ilani ya Chama inavyotekelezwa Kwa vitendo. 2024/2025 Ushindi ni lazima. --- Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Ndg. Paul Christian Makonda atakuwa na ziara mahususi mkoa kwa mkoa kuanzia tarehe 9 hadi 14 Novemba 2023. Mikoa...
Back
Top Bottom