Kufunga mkutano maalum wa Baraza la Vyama vya Siasa - tarehe 3 na 4 januari, 2024 (Mgeni Rasmi: Doto Biteko)

Venus Star

JF-Expert Member
Dec 6, 2018
19,675
59,775
KUFUNGA MKUTANO MAALUM WA BARAZA LA VYAMA VYA SIASA

Mkutano huu kushirikisha Wadau wa Demokrasia ya Vyama vingi vya Siasa.

Lengo ni kujadili Miswaada ya Sheria za Uchaguzi na Sheria za Vyama vya Siasa iliyosomwa kwa mara ya kwanza Bungeni Novemba 10, 2023.

Kauli Mbiu;
" TOA MAONI YAKO KUIMARISHA DEMOKRASIA "

MGENI RASMI;
Mhe. Doto Biteko
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati

🗓️ Mkutano huu utafanyika Tarehe 3 na 4 Januari, 2024
📍Ukumbi wa Julius Nyerere International Convetion Centre - Dar es salaam

#ImarishaDemokrasia
#TunzaAmani
#KatibaYaWatu
#KatibaNiMaridhiano
#UchaguziNiMashindano
#MatokeoChanya
##SisiNiTanzania
1704185693852.png
 
KUFUNGA MKUTANO MAALUM WA BARAZA LA VYAMA VYA SIASA

Kauli Mbiu;
" TOA MAONI YAKO KUIMARISHA DEMOKRASIA "

MGENI RASMI;
Mhe. Doto Biteko
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati

🗓️ Mkutano huu utafanyika Tarehe 3 na 4 Januari, 2024
📍Ukumbi wa Julius Nyerere International Convetion Centre - Dar es salaam

#ImarishaDemokrasia
#TunzaAmani
#KatibaYaWatu
#KatibaNiMaridhiano
#UchaguziNiMashindano
#MatokeoChanya
##SisiNiTanzania
View attachment 2859904
Waachane na mijadala ya mambo mengine yote, badala yake wajadili suala la Upatikanaji wa Katiba Mpya tu.
Tunataka Katiba Mpya itakayotokana na Maoni, Mawazo na Fikra zetu sisi wenyewe wananchi wengi zaidi wa nchi hii, hatutaki blah blah zao za kisiasa ambazo hazina faida yoyote kwa watu.
 
Mijadala hii yote inalenga kuelekea kwenye katiba. Maana mijadala hii ni sehemu ya maridhiano.
Maridhiano na akina nani???

Tunataka Katiba Mpya sasa, kama ni maridhiano basi yafanyike kati yao na sisi wananchi wote moja kwa moja kama walivyofanya wale Wajumbe wa Katiba Mpya wa Tume ya Warioba.
 
Maridhiano na akina nani???

Tunataka Katiba Mpya sasa, kama ni maridhiano basi yafanyike kati yao na sisi wananchi wote moja kwa moja kama walivyofanya wale Wajumbe wa Katiba Mpya wa Tume ya Warioba.
Lazima kuwepo na kuelewana katika vyama vya siasa. Maana tatizo lilianzia kwenye vyama vya siasa kutokuelewana. Ndipo sasa ije kwa wananchi.

Na mambo sasa yamebadilika. Kutokea kwenye kipindi cha Jaji warioba akisimamia na sasa kuna mabadiliko makubwa mno. Watu wamekuwa na awareness ya Katiba. So ni wakati mwafaka wa kuelimisha jamii nzima ili waweze kushiriki kwa uwazi zaidi.
 
Yaani CCM wanaiogopa kweli KATIBA MPYA iliyo BORA..CDM shtukeni..mtego huo...rudini kwa WANANCHi kama mlivyofanya kwenye DP World..watatema tu NDOANO!
Pasipo kukaa na kujadiliana tutakuwa tunajenga nchi ya namna gani? CCM, CDM, ACT wote ni watanzania. Ni lazima kukaa pamoja na kuongea.
 
KUFUNGA MKUTANO MAALUM WA BARAZA LA VYAMA VYA SIASA

Kauli Mbiu;
" TOA MAONI YAKO KUIMARISHA DEMOKRASIA "

MGENI RASMI;
Mhe. Doto Biteko
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati

🗓️ Mkutano huu utafanyika Tarehe 3 na 4 Januari, 2024
📍Ukumbi wa Julius Nyerere International Convetion Centre - Dar es salaam

#ImarishaDemokrasia
#TunzaAmani
#KatibaYaWatu
#KatibaNiMaridhiano
#UchaguziNiMashindano
#MatokeoChanya
##SisiNiTanzania
View attachment 2859904
Kaulimbiu, TOA MAONI YAKO KUIMARISHA DEMOKRASIA, kaulimbiu hii ni ya kipuuzi kwani haielekezi hayo maoni uyatoe kwa nani na wapi.
 
Pasipo kukaa na kujadiliana tutakuwa tunajenga nchi ya namna gani? CCM, CDM, ACT wote ni watanzania. Ni lazima kukaa pamoja na kuongea.
Acha kudanganya UMMA, CCM hawana NIA ya dhati ya kutupatia KATIBA MPYA iliyo BORA,refer danadana ya BUNGE la KATIBA,na hivi vikao vya ujanja ujanja
 
Back
Top Bottom