Mkopo: Mshahara Tsh. 500,000/= mpaka Tsh. 700,000/= inaweza kupata maximum mkopo wa Tsh. ngapi?

simon2016

JF-Expert Member
Oct 19, 2020
593
1,669
Habari wana jamvi kama kichwa kinavyosema hapo juu nina omba kujua ukiwa na mshahara wa laki 5 mpaka laki 7 ambayo ni take home, Unaweza kupata mkopo wa maximum kiasi gani? Na itabaki shilingi ngapi?

Je, naweza kopa ikabaki Tsh. 100,000/= nitapata mkopo kiasi gani na nitalipa kwa muda gani? In case of 25M to 30M, Je kwa l200,000/ = itatoa gape ya mkopo kiasi gani? Na nitaulipa kwa miaka mingapi ? Inawezekana ukapata 30M or more au kama pungufu sema pia .

Ushauri, Kejeli, Dhihaka ni muhimu hata ukitaka kucheka ni wewe tuu. Lengo langu ni kutaka kujua mkopo at maximum kwa take home ya laki 5 mpk laki 7 naweza kupata shilingi ngapi?

Wataalamu wa account karibuni au niseme wafinenshia na watu wote walio jaribu kukopa kwa malengo tofauti tofauti naomba kujua hili linawezekanaa kupata kiasi gani kwa ukubwa ? au kiwango cha mkopo.
 
Tembelea benk iliyo karibu nawe na salary slip yako.

Loan Policy za benk zinatofautiana na hata maximum loan package zinatofautiana pia
Ok sawa nashukuru ozo nilitaka hints kidogo ili nikifka niwe na majibu ya kuridhia badala ya kuanza kuzunguka kwenye mabenki peke yake bila kua na mwanga.
 
Naona CRDB inawezekana kukupa mkopo wa m 30 na kuendelea kwa makato ya sio chini ya 450,000/= kwa miaka siyopungua nane,lakini ukitaka ufafanuzi nenda bank upate maelezo.
 
Kama una uwezo wa kufanya kitu nakushauri kaa mbali na mikopo na kama kuna ulazima basi chukua mkopo wa miaka michache na usijiloge ukachukua mkopo wa miaka mingi hasa kama huna biashara ya kukuinguzia pesa (tafadhali soma nilicho andika kwa kurudia mpaka uelewe).
 
Hesabu za mkopo Wa mshahara inabid utupe na gross ili tutafute 1/3 ndo tunaweza kukushauri vema BT take home ya 500k ni gross ya 800k.

Jua kwanza lazima ubakiwe na 1/3 say 1/3*800k ni 266k so unaweza kulipa Rejesho LA 500-266 sawa na 233k

Hili Rejesho unaweza Kukopa hadi 12.5M kwa uzoefu wangu Ka 7 year Riba ya 14% reducing.

Kwa usahihi zaidi tembelea bank
 
Wanaposema "reducing rate" huwa wana maanisha nini?
 
Kama una uwezo wa kufanya kitu nakushauri kaa mbali na mikopo na kama kuna ulazima basi chukua mkopo wa miaka michache na usijiloge ukachukua mkopo wa miaka mingi hasa kama huna biashara ya kukuinguzia pesa (tafadhali soma nilicho andika kwa kurudia mpaka uelewe).
Nashukuru sana mkuu tupo pamoja.
 
Habari wana jamvi kama kichwa kinavyosema hapo juu nina omba kujua ukiwa na mshahara wa laki 5 mpaka laki 7 ambayo ni take home, Unaweza kupata mkopo wa maximum kiasi gani? Na itabaki shilingi ngapi?

Je, naweza kopa ikabaki Tsh. 100,000/= nitapata mkopo kiasi gani na nitalipa kwa muda gani? In case of 25M to 30M, Je kwa l200,000/ = itatoa gape ya mkopo kiasi gani? Na nitaulipa kwa miaka mingapi ? Inawezekana ukapata 30M or more au kama pungufu sema pia .

Ushauri, Kejeli, Dhihaka ni muhimu hata ukitaka kucheka ni wewe tuu. Lengo langu ni kutaka kujua mkopo at maximum kwa take home ya laki 5 mpk laki 7 naweza kupata shilingi ngapi?

Wataalamu wa account karibuni au niseme wafinenshia na watu wote walio jaribu kukopa kwa malengo tofauti tofauti naomba kujua hili linawezekanaa kupata kiasi gani kwa ukubwa ? au kiwango cha mkopo.
CRDB miaka 6, mkopo wa milioni 10.2 makato laki 2.7
Ukitaka miaka 7 sijui data zake
 
Hesabu za mkopo Wa mshahara inabid utupe na gross ili tutafute 1/3 ndo tunaweza kukushauri vema BT take home ya 500k ni gross ya 800k.

Jua kwanza lazima ubakiwe na 1/3 say 1/3*800k ni 266k so unaweza kulipa Rejesho LA 500-266 sawa na 233k

Hili Rejesho unaweza Kukopa hadi 12.5M kwa uzoefu wangu Ka 7 year Riba ya 14% reducing.

Kwa usahihi zaidi tembelea

huu uzi inanihusu ngoja nikae hapa nami niulize benki ipi inatoa riba ya14% reducing. na je hiyo riba ya reducing inakuwa kwa mwaka au kwa mwezi?
 
Kwa take home yake ni kama vile yuko TGS D au E. Hakuna benki atakayoweza kukopa milioni 30 kwa hapa bongo.
Akipata sana ni 15-20 tena kwa miaka 8.
 
Back
Top Bottom