Mbunge Josephine Genzabuke, aishukuru Serikali ya CCM kwa kupata Mkopo wa Sh. Bilioni Laki Tatu

Replica

JF-Expert Member
Aug 28, 2017
622
1,000
Mbunge Viti Maalum, Josephine Genzabuke: Naomba niishukuru serikali ya CCM inayoongozwa na Jemedari, Mheshimiwa Rais, mama yetu Samia Suluhu kwa kufanikisha mkopo wenye Masharti nafuu kutoka benki ya maendeleo ya Afrika tukaweza kuahidiwa pesa dola za Kimarekani 140 sawa na shilingi laki tatu elfu ishirini na nne point nne Bilioni.

Na meza zikagongwa kushangilia, hivi anazijua pesa alizotaja! Trilioni 300 ni bajeti yetu ya miaka 10:eek:

King Kong III

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
41,930
2,000
Mbunge Viti Maalum, Josephine Genzabuke: Naomba niishukuru serikali ya CCM inayoongozwa na Jemedari, Mheshimiwa Rais, mama yetu Samia Suluhu kwa kufanikisha mkopo wenye Masharti nafuu kutoka benki ya maendeleo ya Afrika tukaweza kuahidiwa pesa dola za Kimarekani 140 sawa na shilingi laki tatu elfu ishirini na nne point nne Bilioni.

Na meza zikagongwa kushangilia, hivi anazijua pesa alizotaja!:eek:

KMMK wallah kodi inatumika vibaya sana!! Huyo hesabu zilimpiga chenga.
 
King Kong III

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
41,930
2,000
Mbunge Viti Maalum, Josephine Genzabuke: Naomba niishukuru serikali ya CCM inayoongozwa na Jemedari, Mheshimiwa Rais, mama yetu Samia Suluhu kwa kufanikisha mkopo wenye Masharti nafuu kutoka benki ya maendeleo ya Afrika tukaweza kuahidiwa pesa dola za Kimarekani 140 sawa na shilingi laki tatu elfu ishirini na nne point nne Bilioni.

Na meza zikagongwa kushangilia, hivi anazijua pesa alizotaja!:eek:

USD 140 = Tsh 324,400 Bilioni.

Hawa ndio wamepita bila kupingwa na ndio think tank wa THITHIEMU.
 
residentura

JF-Expert Member
Mar 1, 2017
4,053
2,000
Mbunge Viti Maalum, Josephine Genzabuke: Naomba niishukuru serikali ya CCM inayoongozwa na Jemedari, Mheshimiwa Rais, mama yetu Samia Suluhu kwa kufanikisha mkopo wenye Masharti nafuu kutoka benki ya maendeleo ya Afrika tukaweza kuahidiwa pesa dola za Kimarekani 140 sawa na shilingi laki tatu elfu ishirini na nne point nne Bilioni.

Na meza zikagongwa kushangilia, hivi anazijua pesa alizotaja!:eek:

Vilaza na vilaza wenzao.
Saddam Hussein ni rais wa Kuwait!!
 
The Elephant

JF-Expert Member
Dec 18, 2014
4,346
2,000
Bilion laki tatu inaandikwa hivi TSH 300,000 Bilioni- Sasa ukiandika kwa tarakimu tu badala ya neno bilion ongeza sifuri Tisa(9) ambayo sasa itakuwa hivi TSH 300, 000, 000,000,000/- ambayo ni sawa TSH 300 Trilioni.

Inakaribiana na trilioni za makinikia za mwendazake tulizokuwa tunawadai Barrick.

Kwa mawazo yangu yuko sahihi kumuenzi mwendazake
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom