mkopo

  1. Sarikiaeli

    JamiiForums Tanzania HESLB: Awamu ya pili 7,364 wapangiwa mikopo; wengine watapangiwa Oktoba 25

    Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imetangaza leo (Ijumaa, Oktoba 22, 2021) orodha ya awamu ya pili yenye wanafunzi 7,364 wa mwaka wa kwanza waliopangiwa mikopo yenye thamani ya TZS 19.4 Bilioni kwa mwaka wa masomo 2021/2022 unaotarajiwa kuanzia wiki ijayo. Mkurugenzi Mtendaji...
  2. C

    JamiiForums Tanzania Kuna usawa wowote kuhusu upataji mkopo kati ya waliosoma shule za serikali na binafsi?

    Wakuu, Kuna thread nimeona inaeleza usawa kati ya waliosoma gvt na pvt katika kupata mkopo Hapana kabisa, najua watu wanaolipia watoto wao kwa mwaka mmoja 2m-m5 kuanzia nursery had advance ndo uje kusema wana haki ya kupata mkopo wa 1.2 -2.0mil ya chuo kikuu? How comes Wale yatima na kaya...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Mkopo wa Mfadhili waanza kuliwa Chalinze

    Leo Watanzania mnasherekea mkopo wa IMF na kufurahia maekekezo tu kuwa tunakwenda kumaliza tatizo la vyumba vya madarasa na wasimamizi ni wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya chini na watendaji. Lakini tujue maeneo mengi ya nchi yamejaa upigaji. Na wapigaji ni wasimamizi wenyewe. Shida ipo hapo...
  4. Sarikiaeli

    JamiiForums Tanzania Bodi ya mikopo (HESLB) yawapangia wanafunzi 37,731 mkopo awamu ya kwanza kwa mwaka 2021/2022

    Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imetangaza leo (Jumapili, Oktoba 17, 2021) orodha ya Awamu ya Kwanza yenye wanafunzi 37,731 wa mwaka wa kwanza waliopangiwa mikopo yenye thamani ya TZS 99.9 bilioni kwa mwaka wa masomo 2021/2022 unaotarajiwa kuanzia wiki ijayo. Mkurugenzi...
  5. ngotho

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi kuhusu marekebisho ya form ya mkopo

    Wakuu habarini za wakati huu. Husika na mada tajwa hapo juu, hapo nyuma form yangu ya mkopo ilikuwa na shida, kuna sehemu ilikosewa wakati wa kuaply mkopo.( Yaani alijichanganya akaandika LOCAL POSTGRADUATE badala ya LOCAL UNDERGRADUATE ). Sasa form ikawekewa alama nyekundu pale...
  6. Tripo9

    JamiiForums Tanzania Log in account yako ya Bodi ya Mikopo uone kama kuna makosa ya kurekebisha

    Uki log in account yako ya HESLB utaona kama kuna masahihisho yoyote unatakiwa kufanya. Mfano cheti cha kuzaliwa hakijawa verified Rita watakueleza verify then submit. Mpaka dakika hii bado hawajawezesha button ya Ku resubmit document uliyokosea wanasema mpaka wiki ya kwanza ya October ndio...
  7. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Benki gani haisumbui kutoa Mkopo na yenye Riba nafuu?

    Wadau naomba mnisaidie ushauri bank gani nzuri kwa mfanyakazi au mfanyabiashara katika kutoa mikopo na kuwa na Riba Nafuu? Ukiondoa NMB na CRDB. naombeni ushauri katika hili ili leo hii nikafungue account. Kuna watu wa banks flani wamenikwaza sana. Nataka kuhama hizo banks.
  8. beth

    JamiiForums Tanzania Tanzania kupokea dozi milioni 2 za chanjo aina ya Sinopharm

    Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema Tanzania inatarajia kupokea Dozi Milioni 2 za Sinopharm kutoka Nchini China. Kwenye chanjo hiyo, mtu atapokea dozi mbili tofauti na Johnson & Johnson ambayo inachomwa mara moja Akizungumza kutoka Mkoani Singida, Msigwa ameeleza kuwa idadi ya...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Maoni yangu binafsi kuhusu mkopo wa Trilioni 1.3 ya COVID-19

    Jana kwenye taarifa ya habari tulihabarishwa kuwa Serikali ya Jamhuri ya Tanzania imepokea mkopo wa 1.3 trillioni ili kupambana na ugonjwa hatari ya Covid-19. Binafsi sisemi au sikatai mkopo huu ila nasema fedha hizi ni nyingi sana kwa ajili ya mkopo. Kama juzi juzi tulipokea dozi millioni...
  10. C

    JamiiForums Tanzania SoC01 Umuhimu wa Wanafunzi wa Vyuo vya Kati kupata mkopo

    Habarini wana jamii. Katika kada ya Elimu hususani vyuoni Kuna umuhimu mkubwa wa wanafunzi wa vyuo vya Kati kuwekwa katika bajeti ya kupata mkopo. Jumla ya wanafunzi katika vyuo vya kati au vyuo vya ufundi hujitegemea kwa kiwango kikubwa katika kujihudumia kuanzia malazi, makazi hata malipo ya...
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Tanzania imepokea bilioni 67.82 kutoka Serikali ya Ujerumani kupitia Benki yake ya Maendeleo ya KfW

    Tanzania imepokea msaada wa Euro milioni 25 sawa na shilingi bilioni 67.82 kutoka Serikali ya Ujerumani kupitia Benki yake ya Maendeleo ya KfW, kwa ajili ya mradi wa Uhifadhi endelevu wa Maliasili na Mifumo ya Ikolojia nchini. Mkataba wa msaada huo umesainiwa jijini Dar es Salaam na Katibu Mkuu...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Jinsi gani naweza kupata mkopo wa biashara?

    Naomba mwenye ufafanuzi wa namna ya kupata mkopo kuanzia kiwango cha 10m na kuendelea wa biashara na riba yake per one year anisaidie au anipe ufafanuzi ili niweze angalia kama naweza kufanikiwa kuongeza mtaji
  13. njumu za kosovo

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mkopo wa pikipiki

    Umuofia kwenu. Mimi ni muajiriwa wa serikali katika mkoa huu wetu Dsm, kutokana na changamoto za usafiri nimeona nijiongeze hata na tuk tuk kwanza, hivyo basi kama kuna kampuni inakopesha naomba tufahamishane na pia kama kuna mtu ana piki piki used anichek tuelewane kidogo kidogo nimpe ;note...
  14. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Hongera serikali ya CCM, malipo ya ndege tano, mradi wa kufua umeme (JNHPP) yafanyika bila mkopo

    "Serikali imefanya malipo ya awali ya ya shilingi bilioni 212.95 kwa ajili ya Ndege 5, Ndege kubwa 2, za masafa ya kati 2 na Bombardier ndogo 1, pia serikali imefanya malipo ya Bil. 50 kwenye mradi wa kufua umeme wa Julius Nyerere"- MsigwaGerson
  15. OllaChuga Oc

    JamiiForums Tanzania Ninahitaji mkopo wa million mbili tu kiwanja kipo maeneo ya kisongo kama bondi.

    Wakuu kwema ..nahitaji mkopo wa Million mbili nina kiwanja kipo kisongo naweka kama bondi nimekwama sehemu hivyo nahitaji hiyo pesa. Kwa mwenye nia anisaidie kupata hiyo pesa then ndani ya miezi miwili kuanzia mwezi wa kumi na moja na kumi na mbili nitarudisha. Asante ni kila kitu kipo...
  16. Ze Bulldozer

    JamiiForums Tanzania TLP: Tunampongeza Rais Samia kwa kuondoa VRF ya 6% kwenye HESLB pamoja na mkopo wa bilioni 106 kwa wanafunzi elfu 10 walionyimwa

    Ndugu Wananchi wenzetu, Mpaka Rais Samia anaingia madarakani zaidi ya watoto wa masikini elfu 10 hawakupewa mikopo, Leo tayari ameongeza Tshs 106BL sawa na 23% yaani kutoka Tshs 464BL FY2020/21 hadi 570BL FY2021/22 Kwa Sasa,kila mtoto wa masikini aliyefaulu kwenda chuo kikuu kupatiwa mkopo...
  17. fkimwaga88

    JamiiForums Tanzania Msaada juu ya rejesho la jumla la mkopo benki X kuzidi makato

    Nawasalimu wanajukwaa! Natatizwa na Jambo kuhusu mkopo wa benki Fulani, itakapolazimu nitaitaja. Mimi ni mtumishi wa umma ktk halmashauri Fulani, nimeomba mkopo wa wafanyakazi kwa makato ya sh 138000 kwa Kila mwezi kwa muda wa miaka 8. Ukizidisha sh 138000 kwa miaka 8 ni jumla ya sh isiozidi...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Tanzania yakopa Benki ya Dunia tsh 2.7 trilioni kwa ajili ya Elimu, Barabara na Mawasiliano!

    Benki ya Dunia imeikopesha Tanzania jumla ya tsh 2.7 trilioni kwa ajili ya sekta za Elimu, Barabara Mawasiliano na uchumi jumuishi. ---- Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imepokea mkopo wa masharti nafuu wenye thamani ya shilingi trilioni 2.7 kutoka Benki ya Dunia (WB). Waziri wa Fedha na...
  19. U

    JamiiForums Tanzania Naombeni kujua ni kozi zipi zenye uwezekano mkubwa wa kupata mkopo

    Naombeni kujua ni kozi zipi zenye uwezekano mkubwa wa kupata mkopo kwa uhakika, mimi nmeomba economics and agribusiness, vipi nikibahatika kudahiliwa, nitaweza pata mkopo kwa uhakika?
  20. Black Bolt

    JamiiForums Tanzania PRE-FORM ONE: Mkopo au muwekezaji anahitajika kufanikisha Pre-Form One Programu

    Habari Tumefanikiwa kufungua kituo cha Tuition maeneo ya Charambe Majimatitu, mwezi ujao tunafanya programu ya Pre-Form One kwa wanaomaliza darasa la saba. Tumefanikiwa kuweka matangazo ya kitambaa na karatasi. Cost zilizobaki A) kwenda mashuleni (shule 5). B) Vipeperushi & T-shirt C)...
Back
Top Bottom