Mke wangu Adelina Kimambo

Chawa wa lumumbashi

JF-Expert Member
Nov 19, 2022
793
1,749
Good morning!

Huyu mwanamke nampenda sana na wala mpaka sasa sijaamini kwanini yupo na mimi aisee, jinsi mimi nikijiangalia wala hata siamini kabisa japo mimi naishi Marekani na ako pesa za kubadilishia mboga lakini siamini kabisa.

Mke wangu Adelina Kimambo kwanza ametokea familia ya kitajiri na yenye pesa sana kuizidi familia ya x wangu. Yenye alikuwa Mkerewe ila ni mnafiki, 'low standard', danga na ana uchawa fulani wa kijinga sana.

Mke wangu Adelina Kimambo ni msomi na ana PhD ya mambo ya moyo, kwa maana ni Cardiologist Bachelor Degree, amesomea University of Oxford, Masters amesomea University of Calfonia na PhD amechukulia Cambridge University huko Uingereza na anafanya kazi hospital ya Laurie's Children Hospital huko Chicago.

Mke wangu anamiliki gari tatu na appartment za kutosha sana huko huku Missouri na Minnesota.

Wakuu leo ninaondoka Qatar narejea Marekani kuna dharura imetokea ofisini kwangu Marekani, so nikasha solve nitaenda kwenye fungate sehemu nyingine, kwa maana nitaelekea Barbados 🇧🇧 kwenye fungate nikamalizie mwezi huku.

Nawasilisha wakuu.
 
,
JamiiForums1977282533.gif
 
Wakuu leo ninaondoka Qatar narejea Marekani kuna dharura imetokea ofisini kwangu Marekani, so nikasha solve nitaenda kwenye fungate sehemu nyingine, kwa maana nitaelekea Barbados kwenye fungate nikamalizie mwezi huku.

Nawasilisha wakuu.
Nipe namba zake nami nipate ulaji mkuu.
 
Mwanamke mwenyewe ni huyo Mchaga wa wapi sijui?!

Weka akiba ya mhemko!

Hao mwanzoni huwa hivyo subiri baada ya muda mkishakuwa ndani ya dari moja!
 
Mtoa mada akiwa anatafta feelings za adelina kabla hajaanza zoezi lake la mkonobao
Screenshot_20221013-132855_Quora.jpg
 
me - google mekutana na picha ya mdada mzeee ..nkafunga link haraka sana
 
Good morning!

Huyu mwanamke nampenda sana na wala mpaka sasa sijaamini kwanini yupo na mimi aisee, jinsi mimi nikijiangalia wala hata siamini kabisa japo mimi naishi Marekani na ako pesa za kubadilishia mboga lakini siamini kabisa.

Mke wangu Adelina Kimambo kwanza ametokea familia ya kitajiri na yenye pesa sana kuizidi familia ya x wangu. Yenye alikuwa Mkerewe ila ni mnafiki, 'low standard', danga na ana uchawa fulani wa kijinga sana.

Mke wangu Adelina Kimambo ni msomi na ana PhD ya mambo ya moyo, kwa maana ni Cardiologist Bachelor Degree, amesomea University of Oxford, Masters amesomea University of Calfonia na PhD amechukulia Cambridge University huko Uingereza na anafanya kazi hospital ya Laurie's Children Hospital huko Chicago.

Mke wangu anamiliki gari tatu na appartment za kutosha sana huko huku Missouri na Minnesota.

Wakuu leo ninaondoka Qatar narejea Marekani kuna dharura imetokea ofisini kwangu Marekani, so nikasha solve nitaenda kwenye fungate sehemu nyingine, kwa maana nitaelekea Barbados 🇧🇧 kwenye fungate nikamalizie mwezi huku.

Nawasilisha wakuu.
The return of kidukulilo😂😂😂
 
Back
Top Bottom