NAKAZIA: Acha ujinga, usimpe pesa mwanamke ambaye si mke au mchumba wako

Kiboko ya Jiwe

JF-Expert Member
Apr 7, 2020
12,702
36,131
Wanaume,

Acheni kutoa pesa kirahisi kwa wanawake. Wanawaona mapimbi tu mkiwapa pesa.
Penzi huja automatically, halinunuliki. Unaweza kupewa mpaka maku lakini hupendwi, just unaonjeshwa tu utelezi ili akuchune zaidi.

Wanaume wengi waliyodhani wanapendwa kumbe wanaliwa tu, baadaye hufilisika na ndipo hujikuta hawana mpenzi, wanabaki kama mazuzu. Ukiwa bahili ndiyo unakuwa mwanaume wa kweli. Pesa ngumu. Unaipata kwa shida halafu anatokea mtu anakubania pua unampa buku, buku 2 mpaka laki moja.

Siku mirija ya fedha ikifungwa ndipo utajiona wewe ni boya.
Nakuombea ufulie wewe mjinga unayewanyima wazazi wako fedha kisha unaenda kununua utamu ambao kiasili uko ndani yako. Amka, unayalaani maisha yako wewe mwenyewe.

Chukua hata 50 ambayo unaiunguza siku moja kwenye starehe mtumie yule shangazi yako aliye kijijini uone maombi atakayokumiminia.

Malaya mmoja juzi anasema nikafanye naye mkesha kisha nimpe 80. Nikamwambia nakupa 60 akasema nimpe 100 maana anataka aongezee 100 akanunue smart phone. Yaani nilipomwambia ninampa 60 akajua kuwa nina pesa akabadili gear angani.

Nilimblock nikabaki nacheka mwenyewe. Raha tupate wote halafu mimi nitoe pesa? Hiyo 80 au 100 nikiongeza kuku 6 wakubwa baada ya miezi 6 takuwa nimesonga mbele kwa Km ngapi?

Nikihonga tena mimi mniite......!
 
Huo unaitwa uwekezaji wa ndani ila mbaya mda wowote mwekezaji anaweza akafukuzwa kwenye eneo alilowekeza akachukuliwa mwekezaji mwingine akala manufaa ya mwekezaji aliepita, akili kichwani mwako
 
Huo unaitwa uwekezaji wa ndani ila mbaya mda wowote mwekezaji anaweza akafukuzwa kwenye eneo alilowekeza akachukuliwa mwekezaji mwingine akala manufaa ya mwekezaji aliepita, akili kichwani mwako
Huu ujinga umejaa dunia ya tatu tu
 
Back
Top Bottom