Naombeni ushauri kumuokoa rafiki yangu, Huu ukarimu wa baba mwenye nyumba umepitiliza, nahisi kamzalisha mke wa rafiki.

NetMaster

JF-Expert Member
Sep 12, 2022
1,454
4,853
1668250430958.png

Nahisi baba mwenye nyumba yupo hatua 5 mbele zaidi kuliko rafiki yangu.

Ipo hivi, rafiki yangu kapangisha kanyumba kadogo anaishi na mke wake, kwenye kiwanja kuna nyumba ndogo mbili, nyumba nyingine kuna mpangaji mwengine ila hua anasafiri sana.

sasa mke wa rafiki yangu alijifungua kama wiki 2 hivi zilizopita, miezi hii kumekuwa na shida kubwa sana ya maji, baba mwenye nyumba aliposikia mke wa rafiki kajifungua aliwapa hongera sana na aliahidi kuchimba kisima na kweli ahadi ikatekelezwa baada ya siku chache.

Katoa ofa watumie maji bure kwa miezi mitatu.

Rafiki yangu alifurahi sana lakini kwa upande wangu nimelitazama hili jambo kwa kina nimeliona tofauti,

Huku kujali kote nimeona kuna mchezo unafanyika huenda rafiki kageuzwa house boy wa kulea mtoto ambae si wake.

Ni vipi naweza kumu approach rafiki nimwambie kwamba mtoto anaweza asiwe wake ?

Ni vipi anaweza kuhakikisha mtoto ni wake bila mke wake kujua ?
 
Yaani kwa kisima tu ndio unaona hivyo au Kuna lingine?

Yaani mtu kuchimba kisima tena kwake ndo unaona Kazaa na shemeji yako?

Aisee Kuna watu mnajua kuishi kwa kujipa mateso dah! Yaani wewe kila kitu unaamua kukichukulia negative ili uteseke. Aisee huo moyo wako umejaa sumu hadi inatisha
 
View attachment 2414420

Nahisi baba mwenye nyumba yupo hatua 5 mbele zaidi kuliko rafiki yangu.

Ipo hivi, rafiki yangu kapangisha kanyumba kadogo anaishi na mke wake, kwenye kiwanja kuna nyumba ndogo mbili, nyumba nyingine kuna mpangaji mwengine ila hua anasafiri sana.

sasa mke wa rafiki yangu alijifungua kama wiki 2 hivi zilizopita, miezi hii kumekuwa na shida kubwa sana ya maji, baba mwenye nyumba aliposikia mke wa rafiki kajifungua aliwapa hongera sana na aliahidi kuchimba kisima na kweli ahadi ikatekelezwa baada ya siku chache.

Katoa ofa watumie maji bure kwa miezi mitatu.

Rafiki yangu alifurahi sana lakini kwa upande wangu nimelitazama hili jambo kwa kina nimeliona tofauti,

Huku kujali kote nimeona kuna mchezo unafanyika huenda rafiki kageuzwa house boy wa kulea mtoto ambae si wake.

Ni vipi naweza kumu approach rafiki nimwambie kwamba mtoto anaweza asiwe wake ?

Ni vipi anaweza kuhakikisha mtoto ni wake bila mke wake kujua ?
Pole mkuu. Mkeo hajazaa na mwenye nyumba. Ni ukarimu wake tu.

Maana kuna info umejichanganya umezitoa na ni info ambazo rafiki hawezi kukusimulia na wala mtu wa nje ya hiyo nyumba mnayokaa hawezi kuzijua
 
Mwenye nyumba kachimba kisima kwenye nyumba yake ..sijaona tatizo

Katoa of a KWA wapangaji wake wachote miez 3.. huu n uungwana

Nilipopanga mm kila unapoanza mwezi SHABANI hadi RAMADHANI (Miezi 2) mwenye nyumba hutusamehe Kodi na mwezi mfungo hutoa futar kwa wapangaji wote uwe muislam au mkristo Kama Mimi yeye hajari

Je naye anagegeda wake zetu

UPO KATIKA NGAZI YA 9 YA UNAFIKI. UMEBAKIZA MOJA UINGIE KWENYE UCHAWI

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Hahahaaa hiyo aya ya mwisho nimecheka sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwenye nyumba kachimba kisima kwenye nyumba yake ..sijaona tatizo

Katoa of a KWA wapangaji wake wachote miez 3.. huu n uungwana

Nilipopanga mm kila unapoanza mwezi SHABANI hadi RAMADHANI (Miezi 2) mwenye nyumba hutusamehe Kodi na mwezi mfungo hutoa futar kwa wapangaji wote uwe muislam au mkristo Kama Mimi yeye hajari

Je naye anagegeda wake zetu

UPO KATIKA NGAZI YA 9 YA UNAFIKI. UMEBAKIZA MOJA UINGIE KWENYE UCHAWI

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Jamaa mnafiki sana,,,,
 
mleta mada naamini upo kwenye ile idadi ya watu wenye matatizo ya akili si bure.

yaani mimi nichimbe kisima kwenye eneo langu nyumba zangu kwa matumizi yangu ambapo faida ntaipata mimi alafu wewe uhisi nimetembea na mke wa rafiki yako.

sasa kamwambie kua mtoto anaweza asiwe wake na akipanic namfukuza kwenye nyumba yangu alaf tuone nani kali yao.

Inavyoonekana ukioa ww utagongewa sana mkeo maana hujiamini na hakuna mwanamke anataka mwanaume asiejiamini mbwa koko
 
Hata kama kweli baba mwenyewe nyumba anazama ndani inakuhusu Nini? Au shobo kwanza wewe ke au me punguza shobo dundo Sasa Kwa mambo yasiokuhusu.
 
Back
Top Bottom