Kwa aliyetayari kuolewa mke wa pili

John-Q

JF-Expert Member
Oct 4, 2016
643
957
Habari zenu,

Kama kichwa cha mada kinavyojieleza, wasifu wangu, mimi ni kijana wa miaka 35, nina mke na watoto watatu, muislam, nimejiajiri naishi Dodoma.

Nahitaji kuoa mke wa pili, sifa zake awe na umri kati ya miaka 23 - 28, kazi au biashara siyo kipaumbele, awe muislamu, asiwe ameolewa kabla au kuwa na mtoto nje ya ndoa. Atokee mkoa wowote ila makazi yake aikishaolewa itakuwa Dodoma.

Aliyekua nia tuonane DM.

Shukran.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom