mkataba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. D

    Nahitaji Trucks (Canter na Fuso kwa mkataba)

    Hello. Nahitaji magari yafuatayo kwa mkataba. Kama ambavyo watu hutoa mkataba wa pikipiki na gari za Uber. Nahitaji; 1. Fuso 10 Tone. 2. Canter 3.5 Tones. Au Eicher au Tata.
  2. INAUZWA Nauza Duka la vinywaji (Container, Crates na mkataba wa eneo) GOBA Njia nne

    Habari zenu, Kama title inavyosema, nina duka la vinywaji baridi na moto, ila nimeamua kuuza kutokana na kukosa msimamizi na shughuli zangu zimekuwa zinanibana sana. Hivyo Ninauza 1. Containter (20FT) Pamoja na 2. Crates za beer (TBL 78, SBL 45) 3. Soda (Coca 40, PEPSI 28) 4. PIKIPIKI TVS 5...
  3. Bigirimana wa EPL ataka 700M kuvunja mkataba Yanga

    Yanga ipo tayari kuachana au kumtoa kwa mkopo Gael Bigirimana kutokana na kushindwa kuonyesha kiwango bora kikosini hapo, lakini ugumu unakuja mchezaji mwenyewe hayupo tayari kutoka kwa mkopo na kama kuondoka, basi wavunje mkataba ambao Yanga italazimika kulipa zaidi ya 700 milioni za...
  4. M

    Viongozi wa Yanga Feitoto ameshageuka adui yenu, achacheni naye

    Leo Feitoto akiwa na lawyers wake walikuwa wakipambana na TFF kuhusu terms of contract, Feitoto anasema hapana mkataba unaniruhusu huku Yanga wakisema no, law of contract haisemi hivyo. Huko tuwaachie wanasheria wenzangu, hoja yangu mimi ni hapa tumefikaje? Leo Feitoto anagombana na timu...
  5. M

    HII TIMU INAYOMRUBUNI FEI TOTO ILI IMSAJILI MPAKA AKAVUNJA MKATABA NA KLABU YAKE YA YANGA MBONA AIMTAMBULISHI MPAKA SASA KAMA YUKO HURU?

    Mpaka sasa sijaelewa kuna tatizo gani kwa mchezaji aliyevunja mkataba na klabu yake na akaona yuko sahihi kisheria na yuko huru kusajiliwa na timu yoyote ile nashangaa timu iliyomrubuni na kumpa mamilioni ya pesa akalipe na kuvunja mkataba imeshindwa kumtambulisha mpaka sasa, Mchezaji huru tena...
  6. H

    Yanga: Tutavunja mkataba na Azam

    Viongozi wa Matawi ya Yanga wamesema watavunja mkataba na Azam kama ikijulikana walihusika kumshawishi mchezaji wao Feisal salum kuvunja mkataba.
  7. J

    Aliyekuwa Mkurugenzi wa Sheria TFF amaliza utata: Asema Fei Toto amekosea, mkataba hauvunjwi kienyeji vile

  8. Makamba aipiga chini ETDCCo kusaini mkataba mpya wa Usambazaji Umeme Vijini (REA)

    Waziri wa Nishati Januari Makamba amezuia Kampuni ya Usambazaji umeme ya ETDCCo kusaini mkabata wa usambazaji umeme akitoa madai ya kuwepo kwa uzembe. Makamba amezui mkataba huo leo Desemba 19, 2022 jijini Dar es Salaam wakati wa hafla ya utiaji saini mikataba ya utekelezaji wa mradi wa...
  9. M

    Naweza kupata mkopo benki kwa dhamana ya mkataba wa biashara?

    Naomba kufahamu kama kuna uwezekano wa benki kuwezesha biashara ambayo ndiyo inaanza kwa namna ya wao kama benki kutumia mkataba wa makubaliano ya kibiashara kati ya kampuni yangu na ya China kwenye biashara ya pembejeo?
  10. Mkataba ushirikiano wasainiwa DIT na Taasisi ya Ufundi (CQVIE) ya China

    WANAFUNZI TANZANIA NA CHINA KUBADILISHANA UZOEFU Na WyEST DSM # Mkataba ushirikiano wasainiwa DIT na Taasisi ya Ufundi (CQVIE) ya China # Prof. Mkenda ashuhudia utiaji saini makubaliano Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda ameshuhudia utiaji saini wa makubaliano ya...
  11. W

    Karamagi wa TICTS' ahaha kwa wahariri, wabunge

    Karamagi wa TICTS' ahaha kwa wahariri, wabunge * Ni baada ya mkataba wao kufutwa bandari ya Dar es Salaam * Kampuni ya PR ya Capital Plus yapewa kazi kuisafisha TICTS * Wapanga uhujumu wa huduma za makontena bandarini baada ya kuenguliwa WAZIRI mstaafu Nazir Karamagi na mfanyabiashara Yogesh...
  12. Tetesi: Cristiano Ronaldo ajipeleka Real Madrid, aomba mkataba wa miezi 6

    Inadaiwa kuwa Cristiano Ronaldo amewaambia Real Madrid kuwa yupo tayari kujiunga na klabu hiyo kwa muda wa miezi sita. Ronaldo (37) ambaye yupo mbioni kuachana na Manchester United anataka kwenda kuziba nafasi ya Karim Benzema ambaye ni majeruhi. Man United inaendelea kujipanga kisheria ili...
  13. Huu hapa Mkataba kati ya walipa kodi wa Kenya na Benki ya Exim ya China

    Huu unahusu ile reli yao. Hizi ni punch line. Kwenye mkataba kunakataza mkataba kuweka hadharani, sasa Ruto kaamua kuweka. Pesa zote watakazokopeshwa lazima watumie kununua bidhaa za china. Endapo kenya ata default kwenye mojawapo ya madeni yake mengine, basi nae mchina apewe kipaumbele kwenye...
  14. Huu hapa mkataba wa Kenya na Benki ya China ya kupata mkopo kwa ajili ya SGR

    Mkataba huu wa Kenya kuomba $1.6 Bilioni, mkopo wa kibiashara ambao una riba ya 2%. Umesheheni masharti ya kutosha kwa kuwa ni kama mkopo wa kibiashara. Aidha vitu vyote vitakavyonunuliwa kwa ajili ya mradi huo havitatozwa kodi.
  15. Bunge laibana Serikali kuipa KADCO mkataba wa uendeshaji uwanja wa Ndege KIA badala ya TAA

    Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) imemtaka Waziri Prof. Makame Mbarawa kueleza sababu za Serikali kuuacha Uwanja wa KIA kwa Kampuni ya Uendeshaji wa Kiwanja cha Ndege (KADCO) ambaya haipo. Spika Dkt. Tulia amesema “Wanasema mkataba unamalizika Juni 2023 ni mkataba gani? wakati hiyo...
  16. Harmonize atakiwa kuwalipa Tsh. Milioni 20 Killy na Cheed kwa kuvunja mkataba nao

    Oktoba 10, 2022, kupitia kurasa rasmi za mitandao ya kijamii za Konde Music Worldwide, Harmonize alitangaza kusitisha mikataba na waimbaji Killy (Ally Omar) na Cheed (Rashid Mganga). Harmonize hakutoa maelezo yoyote ya kusitishwa kwake ikiwa ni miaka miwili aimepitia tangu Harmonize atuhumiwa...
  17. Sheria ya ndoa ifanyiwe marekebisho kuruhusu ndoa za mkataba

    Naingia kwenye mada moja kwa moja na kwa ufupi bila kumchosha mtu yeyote. Kwa utafiti binafsi niliofanya hivi karibuni, ndoa nyingi hapa nchini, na katika nchi nyingine za kiafrika, huingia migogoro au kuvunjika kabisa kwa sababu ya wanawake kuwa na uhakika wa ndoa ya kudumu, hasa hizi ndoa za...
  18. SI KWELI Simba SC wavunja mkataba na kocha wao Msaidizi, Selemani Matola, leo Oktoba 28, 2022

    Yameibuka madai kwamba Simba SC imefikia uamuzi wa kuvunja mkataba na kocha wake msaidizi Selemani Matola. Madai hayo yamechochewa na barua inayodaiwa kuandaliwa na Simba kusambaa mitandaoni.
  19. Adidas yavunja mkataba na Kanye West baada ya kuonesha chuki dhidi ya Wayahudi

    Kampuni kubwa ya mavazi ya Adidas imevunja mahusiano ya kibiashara na rapa Ye, anayejulikana kama Kanye West, na kusema "Haivumilii chuki dhidi ya Wayahudi na matamshi yoyote ya chuki". Ushirikiano wa Adidas ya Yeezy na Mr West uliingia kwenye mgogoro baada ya Ye kuonesha muundo wa fulana ya...
  20. Ajira za mkataba za walimu wa sayansi Ilala DSM

    Habari za wakati huu wadau, mimi ni mwanachuo niliyemaliza mwaka huu masomo Physics na Mathematics, katika pita pita zangu nimekutana na hii kwamba manispaa ya Ilala inatoa ajira za mkataba kwa walimu wa sayansi. Nilitamani kuielewa hii kwa undani kwa watu wenye kulijua hili kwasababu pia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…